Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Taarifa kutoka Bukoba mjini zinasema kuwa Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata viongozi wa CHADEMA na makada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za CHADEMA mkoani humo.
Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka...
Wakuu,
Tunaweza kuwa tunalaumu sana mashitaka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA bila kuwa na uelewa kwamba anajihusisha na mambo hayo au hajihusishi.
Kufuatia press meeting aliyoifanya IGP Sirro akiwataka wanachadema kutokuonekana Mahakamani kupinga tuhuma zinazomkabili mwenyekiti na...
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu.
Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
Niko na jamaa yangu hapa maeneo ya Grocery ya Manka nakula double kick huku nikipiga story na wadau, kuna mdau mmoja mida ya mchana leo alikuwa mitaa ya mabibo anatupa mchapo wa ajabu kidogo
Inasemekana juzi kuna Askari Polisi alienda mitaa ya Mabibo Jeshini kwa wakurya kukamata gongo akapigwa...
Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi.
Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe.
1. Ni kwanini wamempeleka mahakamani Kisutu kisirisiri, bila kumuarifu yeye mtuhumiwa, ili aweze kutumia...
Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza
Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
Kitendo cha kumkamata Mbowe na kumtuhumu kuwa ni gaidi tunajaribu kutengeneza dhana mbaya sana mioyoni mwa watanzania masikini wapenda amani.
Tanzania miaka yote haijawahi kufikia hatua hii Wala kuwa na kikundi cha watu wenye kuwaza kuwa magaidi. Sana sana tulichoshuhudia ni utekaji...
Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?
Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo...
MOSHI: WAZIRI SIMBACHAWENE AMELIONYA JESHI LA POLISI KUBAMBIKIZA WATU KESI.
#Moshi: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amelionya Jeshi la Polisi kwa tabia za baadhi ya askari wake kubambika watu kesi, huku pia akitaka mafunzo ya awali ya askari yaongezwe kutoka miezi tisa hadi 12 ili...
Kuna tatizo la vyombo vingi vya habari kuandika kwa sehemu kubwa habari za kihalifu na jinai kuliko habari za maendeleo, kiukweli watu wakiwa wanasoma hizo habari mara kwa mara kunaleta adiction fulani watu kuanza kuutekeleza uhalifu ule au kuanza kujenga hofu kwenye jamii.
Kwa muda sasa...
Vyombo vya habari vya nchi wanaoisaidia Tanzania tayari vimeanza kutumulika.
Kufuatia Polisi mkoani Mwanza kuwazuia wana CHADEMA kufanya kongamano lao la kudai katiba mpya.
Wahenga walisema kuwa hata mbuyu ulianza mdogo kama mchicha na sasa ndiyo naona wana CCM na viongozi wao wameanza...
Meja Jenerali Hassan Ahmed
Watu wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed.
Meja Jenerali Ahmed aliuawa usiku wa Alhamisi nje kidogo ya Abuja wakati gari lake liliposhambuliwa kwa risasi, akitokea jijini Lokoja...
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema...
Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia Melita Ndaletyan, mfugaji na mkazi wa Noondoto wilayani Longido, baada ya kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni Kaka yake Kiseri Ndaletyan, baada ya mtuhumiwa kuzuiliwa kumuingilia kimwili mke wa kaka yake huyo.
====
Mwanaume...
"Ukiifuatilia kwa karibu sana katiba yetu, moja ya haki ya raia yoyote wa nchi hii ni kuwa na uhuru wa maoni au mtizamo, kwa hiyo ukikuta kwenye kundi kubwa wachache wanamtizamo kwamba hawana imani na polisi hiyo pia ni haki kikatiba ni mtazamo".
Kamanda Kanda Maalum DSM, ACP Muliro
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...