jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya

    WARAKA WA KICHUNGAJI (PASTORAL LETTER) KWA RAIS SAMIA BAADA YA JESHI LA POLISI KUWAPIGA NA KUWAUMIZA WAPINZANI MBEYA. Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa Rais! Tunakusalimu kwa Jina la Bwana Mungu wa Majeshi, ambaye kwa neema, kudra...
  2. Influenza

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Hatutaripoti Polisi. Hakuna Kiongozi wetu atarudi kwa mashtaka hewa haya!

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Mkutano ulioitishwa na Chama hicho amesema Viongozi wa Chama hicho wamefunguliwa mashtaka na kisha kujidhamini na kutakiwa kuripoti kwenye vituo tofauti vya Polisi. Amesema hakuna Kiongozi wa Chama hicho atakayerudi...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana. Pia limesema ambao hawakuachiwa ni wale walioshindwa kukidhi masharti ya dhamana au kuwa na makosa zaidi...
  4. Bams

    Tusiishie kutaka Polisi iwaachie huru watu wasio na hatia, bali tutake uwajibikaji

    Vyombo vya dola, ni taasisi muhimu sana katika nchi. Mkikosea kwenye vyombo vya dola, basi mmetengeneza mateso na maangamizi kwa watu wengi, tena wasio na hatia. Tanzania, kama kuna chombo cha dola ambacho angalao kina uweledi, ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Hata kama linaweza kuwa na...
  5. Erythrocyte

    Mjadala: Rais anapokuwa Mzanzibar kuna haja ya Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wote wa juu wa Jeshi la Polisi kuwa Watanganyika

    Hii ni kwa sababu ya kudhibiti Conflict of interest. Asikudanganye mtu, Nyumbani ni nyumbani tu, hili tunaliona kwa macho yetu. Huyu Masauni haya anayowafanyia Watanganyika hajawahi kuyafanya kwao wala Pemba, ni lazima tuwe na kiongozi ambaye kabla ya kutenda jambo ajiulize nikirudi nyumbani...
  6. Kaka yake shetani

    Jeshi la polisi unapokuwa na kesi uchukua simu au kompyuta ubaki nazo na mwisho wa siku unakuta wanaziuza kwa wauza simu mtaani

    Kuna tatizo sana la jeshi la polisi kwa upande wa ukamataji kama kutakuwa na kesi ukimbilia simu au kompyuta kwa sababu wanazojua wao. Mapolisi wengi wana hii tabia na mwisho wa siku simu yako inauzwa mtaani.
  7. Q

    TAKUKURU: Jeshi la Polisi ni kinara wa Rushwa nchini

    Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) 2022/2023, imezitaja sekta zinazoongoza kwa vitendo vya rushwa nchini, huku Jeshi la Polisi likishika nafasi ya kwanza kwa asilimia 45.6 kati ya nne vinara. Kwa takwimu hizi uadilifu wa Jeshi la polisi uko wapi hadi...
  8. Tulimumu

    Jeshi la Polisi limeichafua taswira ya Tanzania kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu

    Jana taswira ya Tanzania imechafuliwa na Jeshi la polisi kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu wote. Kongamano kama hilo la vijana wa CHADEMA limeshafanywa na vyama vingine kama CCM na ACT Wazalendo bila shida. Jana vyombo vyote vikubwa vya kimataifa vimeripoti...
  9. Hismastersvoice

    Jeshi la polisi kutumia mikutano Chadema kukamata jinai ni kuwatisha wananchi kujiunga na Chadema.

    Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
  10. Mystery

    Kwa tuhuma zinazoendelea hivi sasa nchini, ni lazima Jeshi la Polisi likawa na "overseer" mwenzake Ili mambo yaende sawa

    Kwa hali inayoendelea hivi sasa nchini, Kwa tuhuma za matukio kadhaa ya uvunjifu wa sheria, madai ya kupotezwa Kwa watu kadhaa, na kudaiwa kuuawa Kwa raia wasio na hatia. Matukio yote haya, yanadaiwa kuhusishwa na Jeshi letu la Polisi, kuwa ndiyo watekelazaji wakubwa, Kwa hiyo inalazimu hivi...
  11. Allen Kilewella

    PreGE2025 Hivi hili swali la Oscar Oscar kati ya CCM na jeshi la Polisi nani wanaotakiwa walijibu?

    Nimeona Clip moja Oscar Oscar anauliza swali lenye mantiki Sana. Ingawa sikuona muendelezo wake kama alijibiwa swali Hilo, lakini mantiki ya swali lenyewe imenifikirisha Sana. Hapa JF ni "Home of Great thinkers" naona mnaweza kunisaidia kujua kati ya CCM na Jeshi la Polisi Tanzania ni nani...
  12. Zanzibar-ASP

    Je, vyombo vya usalama vinatumika vibaya (njama) kumharibia kisiasa mama ?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuzaa maswali yaliyokosa majibu kwa haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yakihusisha kupotea ovyo kwa watu, kamata kamata ya wapinzani, wanaharakati na waandishi wa habari. Taifa linalazimishwa kwa nguvu kubwa mnoo kuingizwa kwenye taharuki isiyo ya lazima. Vyombo...
  13. Stuxnet

    Kwa Kauli Hii ya Twaha Mwaipaya, Jeshi la Polisi Limechukua Hatua Stahiki

    Nimenukuu barua ya Polisi ya tarehe 11/ 08/ 2024 Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Twaha Mwaipaya anataka GEN Z ya Tanzania iigize yaliyotokea Kenya. Kongole Tanpol kwa hatua mliyochukua.
  14. J

    PreGE2025 Jeshi la polisi watanda Ruanda Nzovwe kudhibiti maadhimishi ya Bavicha

    Askari wa Jeshi la Polisi wametanda katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya kulipopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha). Maadhimisho hayo yalikuwa yafanyike leo Jumatatu, Agosti 12, 2024, lakini Jeshi la...
  15. Matulanya Mputa

    PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa ACT Wazalendo, yasema mikutano ya hadhara na ndani imezuiliwa

    Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na Polisi ndiyo watatumika.
  16. Tlaatlaah

    Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

    hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla. teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
  17. Heparin

    PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  18. W

    Jeshi la Polisi Mbeya: Tunachunguza kutoweka kwa Shadrack Chaula, aliye na taarifa za mahali alipo atutaarifu

    Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Agosti 8,2024, Kamanda Kugaza amekiri kuwepo kwa tukio la kutoweka kwa kijana Shadrack huku akiomba wananchi kutoa ushiriano. Jeshi la Polisi limesema kuwa lilipokea taarifa na kwa sasa wako katika uchunguzi kujua watu waliomchukua na...
  19. wakunyonya

    Aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa Yombo atiwa mbaroni

    Aliyesambaza taarifa kapatikana waarifu Bado hawajapatikana😂# JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Amos Lwiza (54) mkazi wa Tegeta Wazo wilaya ya Kinondoni mkoani humo, kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo mitandaoni kuwa binti mkazi wa Yombo Dovya ambaye video zake...
  20. chinatown

    Embu Watanzania tuache Siasa kwenye mambo ya msingi

    Sijajua kwa nini Jeshi la Polisi limechelewa hivi kutoa taarifa kwenye tukio la kinyama lililofanywa na Watanzania wanaume wanne dhidi ya mdada mdogo wa Kitanzania. Ukisikiliza ile video anaongea victim kuwa amefanyiwa vile kwa sababu ya kutembea na mume wa mtu. Sasa kunashindikana vipi...
Back
Top Bottom