jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tunaliomba Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi wa kifo cha Mtwenya Silas aliyepatikana akiwa amechinjwa Kahama na kuzikwa Oktoba 1, 2024

    Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu. Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado haijajulikana chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas. Hivyo basi tunaliomba Jeshi la polisi...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

    Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu . Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya polisi wanakusanya mapato kwa nguvu kwenye malori ya mizigo kwa kulipisha faini za mchongo

    Baadhi ya polisi wa barabarani wamekuwa wakiandikia fine malori ya mizigo kwa makosa ambayo hayapo ili wajipatie pesa. Mfano kosa la gari bovu. Gari limetembea kutoka Mwanza hadi Dar ila wanasimamisha wanaandika gari bovu kisa hamna nati moja au mbili au bumber limechomoka. Gari bovu linawezaje...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Jeshi la Polisi linatumia kisingizio Cha intelelejinsia kuminya haki ya kufanya siasa Kwa chama Cha CHADEMA?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza. Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sababu za Boniface Jackob kunyimwa Dhamana zinazidisha hoja ya Wanaoidharau Mahakakama ya Tanzania, Inatumika kijinga sana!

    Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi la Polisi lamjibu Wakili Mwabukusi na wanaharakati kuhusu mamlaka waliyonayo katika kuzuia maandamano

    Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo. Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne...
  7. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jeshi la Polisi liajiri watu wenye angalau Degree 1 yenye GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea

    Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole. Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Haki itendeke katika ajira za Jeshi la Polisi

    Mwezi May 2024 Jeshi la Polisi lilitoa tangazo la ajira kutokana na viwango vya elimu na kada mbalimbali. Tar 22/07/2024 Tangazo la kuitwa kwenye usaili lilitangazwa, ambapo kwa Tanzania bara idadi ya vijana walioitwa ni 31930(ambapo kwa wenye fani ni 2238). Kwa upande wa Zanzibar vijana 2068...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Polisi kuendelea kuzingira ofisi za CHADEMA wakati kuna uhalifu wa watu kutekwa unaendelea

    Jeshi la Polisi Tanzania limeonekana likizingira ofisi za CHADEMA Mikocheni hadi leo hii sijui sababu hasa za kufanya hivi ni nini. Kuna matukio mengi ya uhalifu yanaendelea nchini ni vyema polisi wakasambazwa kushughulikia matukio haya kama walivyasambazwa kushughulika na waandamanaji.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Polisi arekodiwa akiwaamrisha wananchi watawanyike la sivyo wanaweza kufa wakati wa maandamano ya CHADEMA

    Watu wengi wanapotea kwa taarifa kua walichukuliwa, waliitwa ama kukamatwa na Polisi ilihali maiti ikiokotwa sehemu kadhaa, na imefikia hatua Halmashauri ya Mkuranga kutangazwa kazi ya kuzika maiti ambazo wenyewe hawajulikani. Tazama clip hii watu wakiamriwa na jeshi la polisi wachague ama...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Polisi lawamani kwa mauaji Arusha - marehemu adaiwa kufariki na pingu mkononi. Mauaji mpaka lini?

    Yaani kwanini Jeshi la Polisi ?? Kijana Johnson Josephat ambaye shughuli yake inaelezwa ni kuuza vyuma chakavu mkazi wa mtaa wa Mulieti amefariki dunia katika mtaa wa Eso ambapo ameifanya kwa miaka 6 bila kupata tatizo lolote lakini amepatwa na umauti kwa kile kinachoelezwa ni mzozano ambao...
  12. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

    Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hizi ni nyumba za jeshi la polisi

    Hii picha inayosambaa mitandaoni ikionesha nyumba za bati na kuelezwa ni za jeshi la polisi, imekaaje wadau?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Law Society (TLS): Jeshi La Polisi limekosea katika kuzuia maandamano

    🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU. Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September 2024 walikosea https://m.youtube.com/watch?v=azUKcQAt0jc Rais wa TLS akiongea na jopo la...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi wamemdhihirishia Rais na CCM kuwa hawana uwezo wa kuishinda CHADEMA bila wao

    Kulikuwa na haja gani kwa jeshi la polisi kutumia gharama kubwa kufanya gwaride nchi nzima kwa mwezi mzima, na kutumia silaha za kivita kuja kumkamata Mbowe asubuhi na kumwachia jioni. Upuuzi! Kulikuwa na haja gani ku deploy polisi zaidi ya elfu moja DAR kuleta magari ya washawasha kutoka...
  16. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Wakulima nchini - hongera sana kwa Jeshi la Polisi kwa ulinzi na udhibiti wa viashiria vya hatari nchini

    Tanzania ni kisiwa cha AMANI NA UTULIVU duniani. Tukiharibikiwa hatuna pa kukimbilia - majirani zetu wote wako ktk maisha ya mshikaki. Wakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakitangaza mfululizo habari za kuwepo maandamano kila mkulima nchini alipata wasiwasi juu ya matokeo ya maandamano iwapo...
  17. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Wachokonozi watuma Ujumbe kwa Rais Samia na Jeshi la Polisi

    Rais Samia, Jeshi la polisi pamoja na watekaji kuna ujumbe wenu hapa toka kwa WACHOKONOZI. https://youtu.be/51JvA4Kv3nY?si=-ci71dg-gP5igOcr
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waandishi 2 kutoka Mwananchi Communications na 1 wa EATV wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Waandishi wa Habari Wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na mmoja wa EATV wamekamatwa na Jeshi la Polisi walipokuwa wakiripoti katika #Maandamano ya Amani yaliyoitishwa na CHADEMA. Waandishi wa MCL waliokamatwa ni Michael Matemanga aliyekamatiwa Msimbazi na Lawrence Mnubi...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Baada ya viongozi wa CHADEMA kukamatwa, je tutegemee tamko kutoka ubalozi wa Marekani?

    Wanabodi, Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao. Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
Back
Top Bottom