jeshi

  1. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Kumbe ile zawadi ambayo Trump aliisema amepewa na Iran ni huyo kamanda wa jeshi la majini

    Dunia ina mambo. RIP kamanda
  2. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi ashuhudia Jeshi la Wananchi na Jeshi la Marekani wakisaini Makubaliano ya Ushirikiano Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
  3. M

    Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

    Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa? Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
  4. Ritz

    Trump: Tumezamisha meli zote za Iran, hawana tena jeshi la majini

    Wanaukumbi. Video za IRGC za 2025 zinaonyesha vichuguu vya chini ya ardhi vilivyo na boti za mashambulizi ya haraka, makombora ya kuzuia meli na kile kinachoonekana kuwa migodi ya majini. Marekani iliharibu meli juu ya uso. Kilichojificha ndani ya vichuguu hivi ni shida nyingine kabisa...
  5. Travis Kitengo

    TRA NA JESHI LA POLISI BUNDA MNA HABARI KUHUSU HUYU JAMAA ANAYEUZA STICKER FEKI ZA TRA?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
  6. U

    Jenerali wa kwanza mwenye nyota nne mwenye asili ya Afrika ateuliwa jeshi la Navy Marekani tangu miaka 246 ya kuanzishwa jeshi hilo

    Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general. General Michael E. Langley has made history. Commissioned...
  7. Dalton elijah

    UZUSHI Iran yamnyonga jenerali wake wa jeshi kwa kumhisi ni msaliti

    Kumekuwepo na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Jeshi la Iran kupitia Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limemnyonga Jenerali Esmail Qaani, ambaye ni kiongozi wa Kikosi cha Quds. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyochapishwa na ukurasa wa Smart tv...
  8. M

    Yani kiongozi wa nchi anaejitamba ana jeshi bora anauawa ndani ya sekunde 60, kuna jeshi kweli hapo ?

    Ni ngumu kuamini kiongozi anaejisifu ana jeshi bora kauawa ndani ya sekunde 60 katika mashambuliz ya ufunguzi.
  9. B

    Donald Trump: Vyombo Vyote Iran Iwe Polisi, Jeshi, mgambo wekeni silaha zenu chini la sivyo utakabiliwa na kifo cha uhakika

    Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
  10. Mindyou

    Donald Trump: Jeshi la Iran shusheni silaha zenu chini na tutawapa kinga vinginevyo mtakutana na kifo

    Wakuu Akizungumza muda mfupi baada ya shambulio kwa Iran, Donald Trump amesema kuwa Jeshi la Iran linatakiwa ku-surrender na kuacha kupambana kumtetea Ayatollah "To the members of the Islamic Revolutionary Guard, the armed forces and all of the police. I say tonight that you must lay down your...
  11. T

    Tetesi: Msemaji mkuu wa kijeshi wa M23 aua na jeshi la serikali ya DRC

    Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga. Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma...
  12. M

    Kila kona wananchi wanasema hawakukuchagua hauna budi kuwa karibu na jeshi

    Inasemekana pale wananchi walipoimba iwe kama Madagascar ndipo jeshi likasaidia ukae madarakanai
  13. Q

    Boniface Mwabukusi: Iundwe Tume huru ya kulichunguza Jeshi la Polisi

    Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana. Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama. Soka na wenzake uchunguzi...
  14. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi lawakamata Watu watatu wakiwa njiani kutorosha Punda 21 kwenda Nchi jirani

    Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU) Kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ASPA limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa Watatu waliokuwa wakitorosha Mifugo aina ya Punda 21 kwenda Nchi jirani pasipo kuwa na kibali. Kamanda wa Kikosi hicho, Kamishna...
  15. K

    Tanzania tukiendeleza uchawa tutatawaliwa na Jeshi muda si mrefu

    Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama...
  16. A

    Kesi ya Mchongo ina dhalilisha Jeshi la Polisi, Offisi ya mwendesha Mashtaka, Mahakama, Majaji na Watanzania wote kwa ujumla wetu

    Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
  17. Dalton elijah

    Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

    Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio. Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina...
  18. H

    Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
  19. Mnyenz

    Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  20. Parabolic

    Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wafanya ziara nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi la Comoro, ikiwa ni hatua ya awali ya kuanzisha ushirikiano wa kimkakati katika kuboresha huduma za afya visiwani humo, hususan hospitali ya jeshi. Ziara hiyo iliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
Back
Top Bottom