"CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
10 May 2026
Jaji Warioba Aongea: Ripoti ya Chande, Maridhiano, Katiba, Aonya Kuzuia Mawazo: Watanzania Wanaogopa
https://m.youtube.com/watch?v=sZv8yMHKNII
Mazungumzo haya yalifanyika mnamo Mei 09, 2026, ambapo Jaji Joseph Warioba aliweza kupokea maswali kutoka kwa Mzee Jenerali Ulimwengu na...
Kumekuwa na utata wa wasifu wa mwandishi wa habari mkongwe, Jenerali Ulimwengu, hasa baada ya kutakiw akuomba upya uraia, enzi za Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa.
Akizungumza katika mahojiano maalum, Jenerali Ulimwengu anasimulia safari yake tangu alipozaliwa wilayani Ngara mkoani...
Japo Jenerali Ulimwengu anasema hakuwa na urafiki wa karibu na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, wawili hao wana historia ya kufanya kazi pamoja, tangu wakiwa gazeti la Daily News miaka ya 1973- 74 na baadaye walipokutana kwenye siasa.
Hata hivyo, ilifika mahali wawili hao wakatofautiana na hapa...
Licha ya Mataifa ya Afrika kuridhia mfumo wa vyama vingi kuanzia miaka 1989, baadhi yao yameshindwa kuendeleza demokrasia ya vyama vingi, huku watawala waliochaguliwa na wananchi wakiziendesha nchi zao kidikteta.
Tanzania iliyoridhia mfumo huo mwaka 1992, imepita katika milima na mabonde...
Namnukuu "Hakuna kabisa msamaha au sababu zinazoweza kuhalalisha kile kinachotokea Tanzania sasa hivi — uuaji wa watu wetu; kabisa hakuna! Acha wazimu huu wa kudhani kwamba watu wetu ni watumwa wenu na hawawezi kujiondoa chini ya mnyororo wa utumwa wenu. Ndiyo, wanaweza na watafanya hivyo, na...
Hivi karibuni kulikuwa namjadala pale Four Points ambapo wadau mbalimbali wasiasa walihudhuria kujadili masuala ya ukatili dhidi ya wanawake wakati wa uchaguzi. Katika watu waliokuwepo ni pamoja na msajili wa vyama vya siasa, na Jenerali Ulimwengu.
Katika maoni mzee Ulimwengu aliongea wazi...
Wajuzi wa mambo naomba mnieleweshe hivi kwanini Jenerali Ulimwengu alizinguana na Benjamin Mkapa? Wakati kati ya watu ambao walimshawishi Benjamin Mkapa kugombea urais ni pamoja na Jenerali Ulimwengu na pia Jenerali Ulimwengu alikuwepi kwenye uzinduzi wa kampeni za Benjamin Mkapa?
Ila baadae...
https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf-
Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi
Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo.
Rais hupelekewa orodha na yeye huenda akawa anawafahamu baadhi tu hivyo wanaotengeneza orodha ndio...
“Tunaendelea na hicho kinachoitwa michezo ambacho kingetakiwa kiitwe kwa jina lake halisi, yaani kamari. Hakuna mtu aliyeweza kutajirika kwa kamari. Tuache kudanganywa na wajanja wachache wanaotajirika kupitia mgongo wetu. Acha kucheza kamari na iepuke kuliko ukoma na UKIMWI.” – Mwanahabari...
Ifikie wakati tuache kuona kila anachofanya Raisi ni msaada kwetu na si majukumu yake.
Hizi sifa za uongo zimekuwa nyingi mpaka kuondosha mantiki ya uhalisia wa utendaji wake.
Alichosema Jenerali Ulimwengu
"Mimi inanichosha kusikia sifa za rais kila dakika. Rais ni mtu mwema nadhani. Lakini...
Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo!
Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za...
Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni.
Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja.
Hapana wanasiasa wamekikandamiza...
KAVAZI LA DR. SALIM: JENERALI ULIMWENGU, GAZETI LA RAI NA UGOMBEA WA SALIM UCHAGUZI WA 1995
Katika Kavazi la Dr. Salim anaeleza simu aliyopigiwa na Jenerali Ulimwengu tarehe 29 March 1995 na walizungumza kuhusu Burundi, siasa za Tanzania na Uchaguzi Mkuu.
Mimi nilivutiwa na hili la Uchaguzi...