japan

  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya kustaajabisha kuhusu Japan

    Je, wajua kuwa Japan wanalo onyesho la uume 😌 maonyesho haya yanajulikana sana kama "KANAMARA MATSURI" ikimaanisha onyesho la kuiba uume huwa yanaonyeshwa kila mwaka mwanzoni mwa mwezi wa nne kila Jumapili ya kwanza. Pia Japan ina idadi ndogo ya watoto wazaliwao ikiwa inatokea kwa sababu watu...
  2. JamiiForums Tanzania Ipi ni kampuni bora ya kuagiza gari Japani

    Wana Jf habari, Pameibuka makampuni mengi sana, ambayo yanajihusisha na uuzaji magari kutoka japan kuleta huku Na kila moja akijitangaza kuwa bora zaidi. Kitu ambacho kwa wageni ambao wanahitaji kufanya maamuzi ya uagizaji, huwa kinawachanganya, wasijue ipi ni sahihi ipi sio. Naamini tunao...
  3. JamiiForums Tanzania Japan: Older people are wearing exoskeletons to delay retirement

    Older people in Japan are strapping on exoskeletons to help meet the physical demands of their jobs and remain in the workforce for longer. Older workers use an exoskeleton to help with lifting. Older people in Japan are strapping on exoskeletons to help meet the physical demands of their...
  4. JamiiForums Tanzania Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

    Njoo agiza chochote unachokitaka kutaka Japan au South Africa Tuna agaiza bidhaa mbalimbali kwamuda mrefu kwauaminifu sana.Kupita kwenye platforms zetu mtu yoyote aliko Japan au South Africa Tanzania unaweza kupost bidhaa zako na kuuza kupita kwenye website yetu. Tuambie bidhaa gani...
  5. JamiiForums Tanzania Job Offer: Sales Executive at CarHunt Japan, Tanzania Office

    Job Description We are looking for experienced, competitive and trustworthy sales executives for the CarHunt Japan branch office in the Tanzania market to build up business activities. The line of business is selling used cars, trucks, and Machinery to customers in Tanzania. Job position...
  6. JamiiForums Tanzania Japan: Mshambuliaji David Villa asema atastaafu kucheza soka mwishoni mwa msimu huu

    Mshambliaji wa timu ya Vissel Kobe ya Nchini Japani, David Villa, 37 raia wa Hispania asema kuwa ataastaafu kucheza soka mwaka ujao baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu nchini Japan. Mshambuliaji huyo aliyejiunga na timu ya Kobe Desemba mwaka jana amesema kuwa ana mpango wa kustaafu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lengo la kujaza fomu yoyote ni kupata taarifa siyo kutegana

    Injinia Kagoshaki kutoka Japan ameshangaa inakuwaje mtu anayegombea uongozi wa serikali anajaza fomu kwa mkono! Kagoshaki anasema Japan unapojaza fomu yoyote hata ya kuomba chumba cha kulala Hotelini utatumia kompyuta ambayo itakuwa inakupa mwongozo ili usikosee. Lengo la kujaza fomu ni kupata...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  10. JamiiForums Tanzania Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan

    Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan. Kulingana na shirika la Kyodo, mvua kubwa imekuwa ikinyesha tangu jana, mji mkuu wa Tokyo katika wilaya ya mashariki ya Ciba. Mkoa wa Fukushima kaskazini umepoteza mtu mmoja. Mito 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…