january

January is the first month of the year in the Julian and Gregorian calendars and the first of seven months to have a length of 31 days. The first day of the month is known as New Year's Day. It is, on average, the coldest month of the year within most of the Northern Hemisphere (where it is the second month of winter) and the warmest month of the year within most of the Southern Hemisphere (where it is the second month of summer). In the Southern hemisphere, January is the seasonal equivalent of July in the Northern hemisphere and vice versa.
Ancient Roman observances during this month include Cervula and Juvenalia, celebrated January 1, as well as one of three Agonalia, celebrated January 9, and Carmentalia, celebrated January 11. These dates do not correspond to the modern Gregorian calendar.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

    Something is not right, s'thing is quite wrong mazee.. Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!
  2. Marafiki wa January Makamba na Wadau Neutral kimitizamo karibuni

    Hello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kabisa, nchi hii ina umpumbavu mwingi, makosa ya wazi kabisa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri. Mfano, hii ishu ya tozo January...
  3. Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  4. UVCCM wangekuwa wanajali maslahi ya wananchi wangemshinikiza Rais Samia amfute kazi January Makamba na Mwigulu Nchemba

    UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao. Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha. Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku...
  5. Barua ya wazi kwa Waziri January Makamba; Tuliamini utaleta mapinduzi kwenye sekta ya NISHATI, lakini matarajio yetu yanapotea

    Wakati tunapokea taarifa za uteuzi wa Uwaziri wako bwana January Makamba, watu wengi tuliamini kuwa wewe ndiye utakaye leta mageuzi makubwa sana kwenye Wizara yako. Lakini nasikitika kuona kuwa matarajio tuliyo kuwa nayo kwako yamepotea. Ulipoteuliwa tu na kuapishwa ulionesha mwelekeo kwamba...
  6. Sasa ni rasmi January Makamba Waziri wa ovyo kuwahi kutokea kwenye sekta ya Nishati

    Habari wanabodi naandika hapa nikiwa Na masikitiko makubwa Na huyu Waziri aliyepewa wizara nyeti kabisa Kwanza niweke wazi sijawahi mchukia Ila niliamini ni Waziri mzuri kutokana alivyofanya mambo mazuri akiwa Waziri wa Mazingira . Ila toka amepewa wizara ya Nishati madudu yamekuwa makubwa...
  7. Waziri Makamba una majibu mepesi, Mawaziri wote hubanwa kwenye utendaji. Jibu maswali ya Kamati ya Nishati

    Waziri Makamba umeonyesha kiwango kidogo cha ukomavu, kwa kusema wabunge wanakubana kwa sababu ya uwaziri wako. Hii ni kauli inayopaswa kutolewa na mtu ambae sio msomi, hakuna wabunge wenye shida na uwaziri wako bali wanachofanya ni wajibu wao kwa maana wanawakilisha wananchi. Wabunge wanarudi...
  8. Kunani makato ya mikopo kwenye mishahara ya wafanyakazi Januari 2022?

    Kumekuwa na sintofahamu kwa wale wenye mikopo taasisi mbalimbali ukiangalia balance ya Desemba na ukatoa balance ya January utaona marejesho yamefanyika mara mbili. Nusu umelipa wewe na nusu nyingine imelipwa na asiyejulikana. Kwa maana kama ikiwa hivi mfanyakazi aliyekuwa na mkopo wa miaka 6...
  9. On 30th January 2022 Phil Collins turned 71, with his daughter Lily celebrating

    We remember the hit songs of Phil Collins in 90s, from one more night.
  10. January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

    Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine. Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza...
  11. January vipi huko kwenu?

    Wasalaam, Eti jamani huko kwenu vipi January imesha tayari?sie huku ndio tunafika ukingoni. Huku kwetu kila mtu analalamikia huu mwezi,yaani full lawama, eti ni mwezi mgumu sana,watu Ni mwendo wa ndondo mixer kabeji ukiuliza kuna nini kwani mbona ratiba za mezani hazieleweki majibu Ni yaleyale...
  12. H

    American Top 40 with Ryan Seacrest (January 22, 2022)

    American Top 40 [January 22, 2022] LW TW Artist-Title Peak So Far Weeks at #1 Weeks On 40 40 Duncan Laurence - Arcade 07 38 38 39 Marshmello/Jonas Brothers - Leave Before You Love Me 08 31 37 38 Olivia Rodrigo - Traitor 04 23 35 37 Olivia Rodrigo - Deja Vu 02 40 [DE] 36 88rising/BIBI - The...
  13. Car4Sale Ist namba DBH kwa milioni 7 tu

    Bei ya kulenga kabisa hii chombo haina tatizo lolote. ipo mawasiliano, Dar. njoo ukague gari 0713096076 CHANGAMOTO ZAKE Imepauka Rangi Bampa linahitaji marekebisho kidogo, like 40,000 Tshs. Picha ninazo hizi tu
  14. Ni ujinga kushangilia madaraka ya Nape na January

    Tusiwe wasahaulifu kiasi hiki, uchaguzi wa 2015 ulikua na dosari kubwa ambazo waasisi na wasimamizi walikua by then ni "Vijana" walioaminiwa. January Makamba ambaye sasa ni Wazuri, huyu ndio alikua kiongozi wa tallying center ya CCM ambayo ilibuni matokeo, kwa mfano, wapiga kura kwenye jimbo...
  15. Yaliyomkuta Magufuli kwa kinana, Nape, January na Wengine mama angefanyaje?

    Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani, akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo. Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk. ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga utawala wake kwa mfano?
  16. Ahsante sana January

    Usiku wa kuamkia leo mida ya saa 6 hivi niliangukiwa na bahati ya mtende baada ya January kufanya yake. Hapa mtaani Kuna pisi moja Kali kutoka kwa mzee PK inafundisha lugha za kigeni kwenye shule hizi za kishua.Ina nyodo sana ukimpa salamu anakujibu kifaransa Ila jana ndiyo nimejua kumbe anajua...
  17. H

    Naiomba serikali sikivu ya Rais Samia iongeze wiki moja kwenye ufungzuzi wa shule January 2022 mshahara utakuwa umetoka

    Kupanga ni kuchagua na maendeleo hayana vyama. Huu ni usemi maarufu alipenda kuutumia hayati John P. Magufuli mjeshi au jiwe mtu aliependa kuona kitu kinafanyika na kuonekana na sio hadithi. Kama mnavyojua hizi sikukuu mbili ni balaa tupu. Christamass na mwaka mpya watu huwa wanajiachia...
  18. Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

    Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imeifutia usajili Skuli ya Eden inayomilikiwa na Shirika la Afrika Agape Association kuanzia Januri 3 mwakani. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizara kubaini mmiliki wa Skuli hiyo kuendesha Skuli kinyume na sheria, miongozo na kanuni za Wizara...
  19. Rais Samia, kwa sasa anayekuharibia ni January, mfukuze watu wapone!

    Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana! Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima. Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
  20. Bukoba, Moshi, Arusha na Mbeya ndio wanaoichangamsha nchi hii? Tarehe 25Dec na 1 January miji mingine hupoa kama kuzimu

    Habari Wakuu! Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii. Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania? Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…