jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua
  2. JamiiForums Tanzania Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai

    Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi uliwakilishwa na Mawakili Peter Kibatala, Hakima Mwasipu, Dickson Matata, Michael Lugina, Josephat Msanga na...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu?

    Jana jioni majira ya saa 11 Jioni nilitaka kufanya malipo ya king'amuzi kupitia benki flani mtandao ukawa unagoma kukamilisha muamala huo, nikajaribu benki nyingine shida ikawa ni ileile. Nikajaribu kununua umeme shida ikawa the same kwenye benki tatu tofauti, nikajaribu kununua kwa simu pia...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

    Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
  5. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya jana dhidi ya al masry ..Simba waliona mbali kukimbia derby

    Baada ya matokeo ya jana 2-0 dhidi ya al masry ambayo ni sawa na kmc au coastal union,ni dhairi kama wangecheza na yanga wangekutana na kiama/kipigo kitakatifu. Kama ni karata basi mangungu na walace karia walilamba dume kuikimbia yanga
  6. JamiiForums Tanzania Mwana Simba SC anayeamini kabisa kuwa Simba SC ya Jana Misri itaifunga Al Masry Goli 3 na Kufuzu CAFCCSF awahi sasa Hospitali ya Wendawazimu akatibiwe

    Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma HGE advance, nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o level

    Natamani kusoma HGE advance. Nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o_level. Hivi itawezekana kuchaguliwa hii combination natamani?
  8. JamiiForums Tanzania Mme wa mtu jana kayatimba milioni 5 zamtoka kizembe

    Jana nilirudi mapema kutoka mishe mida ya saa 12 nikajimwagia maji nikaingia mtandaoni kuperuzi kidogo mpaka mida ya saa moja nikaenda kusali nikarudi nikakaa sebuleni kucheki move hapo imesha gonga saa 2 usiku. Sasa kipindi naendelea kucheki move nikasikia kama zogo nyuma ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kufuatia matokeo dhidi ya Al Masry SC, ni vema tukamrudisha Aishi Manula kuwa kipa wa kudumu

    Jana Klabu ya Simba imecheza na Klabu ya Al Mastry na kufungwa magoli mawili kwa bila. Binafsi kama mpenzi wa Simba yale magoli yaliyofungwa kama Manula ndiye angekuwa kipa jana tusingefungwa yale magoli. Bado Manula anamzidi Camara kwa ustadi wa kulinda mipira ya hatari. Sasa ni wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  11. JamiiForums Tanzania Jana shetani alirudi na flight ya jioni.

    Hehehehee Mida ya saa kumi na mbili hivi kuelekea saa moja kamili si ndo ile ndege ikatua, jamaa kashuka zake baada ya kuwa break mwezi mzima. Aisee sio kwa ufuska nilioona jana, ngoja niishie hapo ila kabla sijaishia hapo walau niseme kisa kimoja. Nilikua club moja hapahapa mjini baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyashuhudia jana kwenye usaili wa tra,nashauri bora hizi ajira ziwe zinasimamiwa na PSRS tu.

    Habari za asubuhi wakuu. Jana nilikua miongoni mwa watanzania tuliobahatika kuhudhuria usahili wa mamlaka ya mapato Tanzania,kituo changu cha usahili kilikua kule sabasaba.nilifanya nafasi za Tax management officer ii na Customs officer ii. Kuna dosari nyingi sana niliziona nikahisi ni either...
  13. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya dola dhidi ya TZS kwa siku ya jana na leo yaantisha

    Hali inatisha sana soon tutafika 3000. Ila tutumba anasema uchumi unaimariks aha ha ah ha ha
  14. JamiiForums Tanzania Vini Jr Jana kakutana na watu kama yeye

    Kwenye match za kimataifa anaanza kutamba kuwa ana TWO UCL😁 HAKIKA uyu dogo hamnazo kabisa kama alivyosema Neymar he is the most ugliest player.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa kaibiwa simu Kariakoo halafu kwenye laini yake ya Yas mixx kulikuwa na milioni 5, wameiba zote

    Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alishapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini Leo anakuta Salio zero inawezekana vipi Hawa wezi kutoa pesa huku wakiwa hawana namba ya Siri Wala...
  16. JamiiForums Tanzania Mkenya aliyepazwa kunyongwa jana huko Vietnam amefikia wapi ?

    Toka jpili march 16 mkenya aliyepatikana na dawa za kulevya ktk nch ya Vietnam alitarajiwa atanyongwa march 17 saa 8.30 za usku. Hadi kufika Leo sijaona taarifa yoyote kuhusu mkenya huyo na serekali ya kenya ili kuwa ina haha kutafuta jinsi ya kumnasua mwezao huko Vietnam asinyongwe...
  17. JamiiForums Tanzania Jana nimepita daraja la wami nimekiri maono ya Hayati Magufuli na ajali za mara kwa mara pale darajani!

    Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha ikulu...wazalendo wa kweli,wanaCCM..machozi yawawabubujika kuondokewa na mwana maono alikuwa gumzo ulimwengu...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumtengenezea yule njiwa kabox ili akaemo. Maana hata jana mchana alienda kupiga masafa akarudi tena kwangu. All in All nimeamuachia Mungu!

    Ngoja nimpe hifadhi tu jamani. Soma pia: https://www.jamiiforums.com/threads/njiwa-kaingia-nyumbani-na-wala-haoneshi-dalali-ya-machachari-na-wala-hataki-kuondoka.2318538/ https://www.jamiiforums.com/threads/jamani-yule-njiwa-alieingia-nyumbani-nikamtoa-nje-leo-tena-amerudi.2318795/post-53177554
  19. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Ccm ni wale wale Jana Leo kesho na hata milele

    Ukiusikiliza ule wimbo wa Ccm mbele Kwa mbele Kuna maneno yanimbwa " Ccm ni Ile ile na makali ni yaleyale" hii nikweli Vijana kama mnategemea sisiyemu itawalete kitu kipya sahauni sana sana wanaboresha namna ya kuifisadia hii Nchi. Kikwete si alituahidi ajira Kwa Kila kijana? Magufuli si...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

    Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya. Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi. Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani. Leo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…