Kipindi Irani inaongozwa na vibaraka wa Marekani ndio ilikuwa hivyo hapo Sasa ndio Marekani ilikuwa inajisikia raha maana walikuwa na nafasi ya kufanya biashara zao za
Pombe
Madawa ya kulevya
Umalaya
Ushoga
Na kuiba rasilimali za Irani
Watu wenye akili kama akina Komenei wakasema hili...
Habari ndugu zangu wa Tanzania.
Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika.
Nina jambo muhimu sana...
Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video.
Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini.
Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
Ndugu wa Jukwa mko poa.
Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni.
Sijui kwanini ameacha kusafiri
Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU
kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu siku izii
Jamani povu sitaki ila naomba msaada wenu wachumi hivi ni kweli awamo ya sita serikali imelamba mkopo wa 30 Trilioni while other awamu walikopa 60 Trilioni wastan wa 12 Trilioni kwa kila awamu yaani kila awamu ilikopa 12 Trilioni
Sasa inakuwaje awamu ya sita wapige 30 Trilion na hakuna wakuhoji...
Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo,
Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Ni muhimu sana kwa wale wote ndani ya CCM,
wenye nia ya kugombea nafasi hizo muhimu za...
Kumekuwa na michango Mizuri kutoka kwa wabunge wetu,lakini pia kumekuwa na michango ya wabunge ambayo aijeng na aiwasaidii wapga kura wao,hivyo nimeona hapa tuwe na jukwa huru kuleta mawazo tofauti kutoka kwa wabunge ili watu wasome na kuweza kuchakata ni nini wamekifanya katika Miaka 5 hasa...
Mhandishi Kabendera ameandika mambo mazito na magumu sana ila ameniliza amenitoa machozi na sasa nina taka kuamini Tabiri zangu Mungu alikuwa na Mimi.
Kifo cha Ben Saanane kiukweli kimnishituwa sana japo sishangai kwa maana kwa wale tuliona mbali tulijuwa kijana anacheza na moto wa makaa ya...
Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya jamhuri!ni kwanini tumeamua kuidogosha jamhuri na kukuza majina ya wanasiasa na vyama vyao!!?
Ni nani tumpe...
Mwaka 2025 nimwaka wa wana kusadikika kuamini yakuwa Taifa lao chini ya idara zao bado wanaweza kufanya mambo hayakusadikika ktk masikio ya wana kusadikika.
Project zilianza pale wana elite ndani yakusadikika kumpoteza kipenzi chao. Inasemekana kwa hali ilivyokuwa hapakuwa na njia ilibidi elite...
Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini.
Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini kuna sheria kandamizi katika chombo cha habari katika utoaji wa taarifa.
Jamii Forums miaka sita...
Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na...
Kwa yanayoendelea sasa hapa nchini sambamba na mengine ya siku za nyuma, nikisema hii ni Jamuhuri ya Watu wa Kukurupuka nitakuwa nakosea?
Kabla ya kujibu hili swali, tafakari mfululizo wa matamko kuanzia yale ya kusitisha mishahara na haya mengine ya leo.
Tuna safari ndefu sana wabongo!!
Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow.
https://dai.ly/x8o0qen
Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.