JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.
JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.
Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi...
Ni takribani masaa 12 sasa tangu BBC Swahili kuchapisha habari inayomhusu mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Chivayo, ikiwemo picha yake akiwa Ikulu ya Tanzania. Tukio hili limeibua mjadala mzito huko mitandaoni: watu wanahoji je, TCRA itachukua hatua sawa na zile ilizochukua dhidi ya...
Habari wakuu
Jamiiforums inapaswa kuunga mkono ubunifu wa kidigital ili kufufua kiwanda kilicho lala kwenye teknolojia hapa Tanzania,
Katika enzi ya mabadiliko ya kidijitali, mitandao ya jamii na majukwaa ya dijitali yana nafasi muhimu katika kuendesha ukuaji wa kiuchumi na kibiashara. Maneo...
Mfano mtu akituma uzi wa lugha mbaya au akiamua kutukana hata serikali. Huo uzi si utaachwa tu mpaka siku 90 ziishe ndo Mods watakuja uona?
Maana wakiuondoa itakuwa mgogoro na TCRA wameuondoaje na wakati wamefungiwa? Je wanaingia JF kupitia VPN? kosa jingine.
Nikakumbuka habari ya Mlinzi...
Disclaimer:
Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
Nimeyachukua maneno niliyoyatumia kwenye kichwa cha habari cha makala haya kutoka kwenye moja ya vipindi vya YouTube vinavyozalishwa na mchumi na mchambuzi wa Kiingereza, Gary Stevenson, anayeendesha kampeni dhidi ya hatari ya kukua kwa pengo kati ya walionacho na wasionacho nchini humo na...
Balozi aliyejiuzulu na Katibu wa zamani wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amesema kitendo cha TCRA kufungia Majukwaa ya JamiiForums wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 ni Udikteta, Unyanyasaji na Uvunjifu wa Uhuru wa kupata Taarifa.
Polepole ameongeza kuwa...
Nimesikitika sana watu ndo kwaaanza wanataka jiunga JF. Kuna group letu tupo watu 970 watu wameomba kujua hiyo JF ni nini. Na haraka wamejiunga baada ya kupewa VPN bure kwenye group mtu anajichagulia tu a install ipi.
Nipo Ughaibuni naona nako kuna watu wanataka kuijua hiyo JF. Kifupi hesabu...
Habari za Jumapili wadau wa JamiiForums!
Leo nimekujieni na hii thread, haswa baada ya jana kusikia kuwa JamiiForums imepigwa ban ya siku 90 na TCRA kwa kile wanachodai ni maudhui yanayopotosha! (Kulingana na taarifa rasmi za TCRA Septemba 6, 2025, hii suspension inaanza mara moja na...
Muungano wa Asasi Za Kiraia unaotetea Haki ya Upatikanaji wa Taarifa (Coalition on Right to Information - CoRI) umelaani vikali uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuisimamisha kwa siku 90 JamiiForums, jukwaa maarufu la majadiliano na uwazi nchini Tanzania.
Uamuzi huo umetangazwa...
Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
Safari yetu katika ndege hii ya "JF Airlines" inaendelea vyema mno. Abiria tunajisikia raha kwa sababu hatusikii mawimbi wala mitikisiko ya kututia hofu. Yote hii ni kwa sababu ya uongozi imara wa Captain wetu DoubleM pamoja na crew wake mahiri wanaojituma kuhakikisha kila abiria anafurahia...
Kuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi
..
Nalaani vitendo kama hivi, ila umma utaujua ukweli hivi karibuni
UPDATE: Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa kwenye ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu...
Humphrey Polepole amesema JamiiForums walianza kukusanya kero za wananchi kidigitali, na hapa kweli nawashukuru wananchi na JamiiForums kwa kuwa msaada kwa serikali katika kutatua changamoto kidigitali. Ambapo mbali na kuishukuru kaichana serikali kutoshughulikia kero zinazokuwa zimeibuliwa na...
Habari zenu wanajamii,
Problem
Kwa sasa ni wazi kuwa kuna tatizo la kurasa za Jamiiforums kuchelewa kuload, hasa pale ambapo chapisho lina picha au video zenye ukubwa mkubwa. Hii sio jambo geni hata kwa watumiaji wa kawaida kuliona, hali inayopelekea matatizo mengi kwa mtumiaji ikiwemo...
Suggestions for Media Performance Optimization on JamiiForums
Salamu Habari Wakuu,
Nilikuwa nimeona vitu kadhaa ambavyo ningependa vifanyiwe maboresho ya haraka hapa JamiiForums ili kuboresha mtandao huu, hasa katika sehemu ya media (videos na picha) na kuhakikisha ufanisi wa matumizi ya data...
Wakuu habari za asubuhi, jana nimefungua uzi kuelezea sisi tusio kuwa nacho maisha tunayopitia mpaka kukosa chakula na kuishia kula mlo 1 tu kwa siku nawenyewe kwa mbinde
Wapo walioguswa na kutoa ushauri mzuri nini cha kufanya pia wapo walio kejeli ( hawakosekanagi hawa ) pia wapo walioponda...