jamii

  1. Kitabu cha Nabii Amosi

    Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
  2. Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

    Wana jukwaa habari za wakati huu, ni matumaini yangu mu wazima. Huwa nashea mambo yanayotokea kwenye jamii yangu kama ilivyo ada. Hapa ninapoishi kuna mmama jirani yangu ana watoto watatu wakike mmoja na wakiume wawili, sasa huyu mtoto wa kike ni binti wa karibu miaka 22 hadi 23 hivi...
  3. Aisee hivi katika historia ya dunia kumewahi kutokea na jamii katili kama Wamongoli na Watimuridi?

    Katika moja ya campaign yake huko Afghanistan, Genghis Khan alipewa taarifa kuwa mjukuu wake pendwa ameuliwa akiwa vitani, jamaa alichoamuru ni kuua kile chochote chenye uhai katika jamii hio alipofia. Kuna wakati waliuua watu wakatengeneza pyarmid ya miili yao kwa kutofautisha wanaume, wanawake...
  4. Uongozi wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu waahidi kuelekeza nguvu kusaidia Jamii inayozunguka mgodi kupambana na maambukizi ya VVU

    UONGOZI wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga umeihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi kwamba mbali na kushiriki kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya afya, pia itaelekeza nguvu katika kusaidia jamii inayozunguka...
  5. Jamii yetu ina (Bullying) ya unyanyasaji wa kimaisha katika saikolojia si rahisi kuitafakari ila kwa sasa ndio inaonekana wazi kabisa

    Tumeona mada nyingi ambazo watu wakieleza au kupitia kuhusu jinsi maisha ya utafutaji kuwa ya mekwenda ndivyo sivyo,kukosa ajira,kushindwa kuoa au kuolewa n.k. Hii bullying niliyotaja kwenye kichwa cha habari si rahisi miaka ya 90 kushuka kukutana nayo ila kwa sasa ndio inazidi kukuwa kama...
  6. Kwanini JamiiForums hamtaki kuanzisha AI yenu?

    Dunia sasa inaenda kasi, ili jamii forums izidi kuwa bora na kubadilika kuendana na teknolojia ya wakati uliopo na ujao. Inabidi waboreshe sana hii application ikiwa ni pamoja na kubuni akili mnemba au bandia, itayoweza tusaidia kung'amua matatizo yetu ya kila siku. Kwa sasa user interactions...
  7. Habari wana JAMII FORUM je nikitaka kuuza madini lazima niwe na kibali ?

    Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
  8. Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  9. D

    Kuwepo kwa Jamii Intelligence mimi naona nikama kikwazo katika jamii

    Kuwepo kwa jamii intelligence mimi naona nikama kikwazo katika jamii kwa sababu huu mfumo unaenda kuaribu sekta ya ajira kwa vijana wa Kitanzania
  10. Mambo 8 Ambayo Huenda Hukuyajua Kuhusu Mila na Desturi za Jamii ya Wamaasai

    Wamaasai ni kabila la Wanailoti wanaoishi Kaskazini, Kati na Kusini mwa Kenya na Kaskazini mwa Tanzania. Wao ni miongoni mwa wenyeji wanaojulikana zaidi kimataifa kutokana na makazi yao karibu na mbuga nyingi za wanyama za Maziwa Makuu ya Afrika, na mila na mavazi yao tofauti. Wamaasai...
  11. Wanaume kulegeza standards zetu ni chanzo cha ustawi na maadili ya jamii kuporomoka.

    Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao. Women lost their dignity because in our current generation there are no...
  12. Watengeneza maudhui huko x kumbe kuna muda wanachukua content humu jamii forum?

    Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter. Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
  13. Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  14. Hizi simu mnazokamata kwa matapel nashauri zigawiwe kwa jamii kusaidia mawasiliano kama yatima na wajane

    Nimeona ma simu zaidi ya 60 kwenye taarifa ya habari wamekamatwa matapeli WA simu Naamini KUWAPATA WAHUSIKA n NGUMU sana Kama n hivyo hizi SIMU TUNASHAURI tukawape wale wanasaidia jamii kama vituon vya YATIMA wajane na wenye kutunxa walioathirika na ...na wale wanaotunza wazee
  15. Kifaduro na kisonono cha wakataa ndoa, zimwi la kuogopwa sana kwenye jamii

    Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono lililochangamka😂 Kifaduro ni ugonjwa wa kifua.. Sio ugonjwav wa aibu na hauna kificho.. Kwakuwa hata...
  16. R

    Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

    Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp Bill Gates - Windows, Xbox, n.k. Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k. Steve Jobs (RIP) - iPHONE Sam Altman - Chat GPT n.k. Ni nini kinachochangia hali hii? Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia? Je, kuna uhusiano nakazi...
  17. Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  18. Makala zenye mafunzo na faida kwa jamii

    China imejenga barabara kuu bila kuharibu mashamba na mabwawa ya wakulima, kuhakikisha maendeleo na asili vinaenda sambamba. 🌿🚜 Mfano kamili wa jinsi miundombinu inaweza kukua bila kuharibu mazingira. 🌏 Maendeleo endelevu ni siku zijazo! 💚
  19. Lake Zone ni zone pekee nchini inaweza jitegemea na kuwa nchi

    Amini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
  20. Hello Jamii Forums!

    My name is Mr Anova
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…