jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

    CCM OYEEEEEEE! Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya kipekee katika makao makuu ya nchi DODOMA. Haijawahi kutokea kwa Chama chochote kufanya kampeni ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wafanyabiashara uwanja wa wazi Jamhuri Dodoma wabomolewa kupisha uwanja wa kampeni

    Licha ya kuwa na mikataba na manispaa na kufuata masharti ya mkataba ikiwemo kutojenga ofisi za kudumu na kujenga vibanda vya muda yaani temporary, wafanyabiashara kwenye uwanja wa barafu au jamhuri dodoma wamefurumushwa Katika eneo Hilo na manispaa ya jiji huku Tonga tinga likibomoa misingi na...
  4. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Uturuki | Türkiye Cumhuriyeti

    Jamhuri ya Uturuki, Türkiye Cummhuriyeti au Republic of Turkey Uturuki ni taifa lenye mipaka baina ya Asia na bara Uropa, asilimia 97 ya taifa limelalia upande wa Asia huku 3 ikiwa Ulaya. Uturuki yenye mipaka na bahari ya Mediterrania 'Mediterranean Sea', bahari ya Aegea 'Aegean Sea', peninsula...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Lipumba kupokelewa kesho Agosti 13,2020 jijini Dar es Salaam

    Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof.Ibrahim Haruna Lipumba atapokelewa kesho agosti 13,2020 akitokea jijini dodoma kuchukua fomu ya NEC.atapokelewa ubungo na viongozi wakuu wa chama,wanachama na wapenz kwa ujumla.
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yabatilisha uamuzi wa Mahakama Kuu kesi ya dhamana ya makosa makubwa

    Katika hukumu iliyotolewa leo tarehe 5 Agosti, 2020, Jopo la Majaji watano wa Mahakama ya Rufani limekubaliana na Serikali kuwa kifungu cha 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai ,Sura ya 20 ya Sheria za Tanzania kinachozuia dhamana kwa makosa makubwa ya jinai yakiwemo mauaji...
  8. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Mashariki ya Uruguay | República Oriental del Uruguay

    Jamhuri ya Mashariki ya Uruguay, República Oriental del Uruguay, Oriental Republic of Uruguay au República Oriental do Uruguai Uruguay ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini likiwa na mipaka na Ajentina, Brasil na rasi ya Rio de la Plata ndani ya bahari ya Atlantiki. Bendera ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tafadhali mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee

    Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki. Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 CUF: Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kujulikana Julai 27, katika Mkutano Mkuu wa Chama

    SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27 "Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo katika mahojiano na Waandishi wa habari kuwa Tarehe 27 mwezi huu ndiyo siku ya Mkutano Mkuu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Chile | República de Chile

    Jamhuri ya Chile | Republic of Chile au República de Chile Chile ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini likiwa na mipaka baina ya Ajentina, Bolivia, Peru, milima ya Andes na bahari ya Pasifiki. Bendera ya Jamhuri ya Chile Taifa hili lenye ukubwa wa Kilomita za mraba 756,950 sawa na...
  12. JamiiForums Tanzania Nina ndoto ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku moja huko mbeleni

    Amani iwe nanyi wadau! Kama kichwa cha uzi kinavojielezea hapo juu hii ndo ndoto yangu kuu siku moja. Na kwa kadri siku zinavyozidi kwenda naona hii ndoto inazidi kuwa na muamko mkubwa. kwanza kabisa Mimi ni mfuasi wa sera za kipebari kiuchumi kumaanisha kila mtu anakuwa huru kushiriki kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi inakuajekuaje kati ya mamilioni ya watu, unaibuka kupata bahati ya kuwa Rais wa Nchi?

    Bado najiuliza ni bahati iliyoje kati ya mamilioni ya watu MTU mmoja tuu unapata bahati ya kuwa rais wa Nchi,cheo ambacho unaweza kuwataka watu wote wasitoke majumbani,ukiagiza ghorofa lijengwe linajengwa japo litachelewa, Mliosoma history za viongozi mtujuze makuzi ya watu hawa huwa yakoje...
  14. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Ajentina | República Argentina

    Jamhuri ya Ajentina | Argentine Republic au República Argentina Argentina ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini likiwa na mipaka baina ya Bolivia, Brazil, Chile, Paraguái, Uruguay na bahari ya Kusini Atlantiki. Taifa hili lenye ukubwa wa Kilomita za mraba 2,766,890 millioni sawa na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali mnaziona Magufuli joging Clubs? Je, kukianzishwa Mbowe jogingi club msimu huu kutakuwa na makosa ya Kisheria?

    Ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kumeshaanzishwa magufuli jogingis ushahidi Ni channel ten. Naomba kuuliza taasisi za serikali za kiulinzi na kisheria CHADEMA wakifanya hivyo litakuwa kosa? CHADEMA wameminywa hawana watetezi sisi wapenda haki tusioegemea upande wowote tunauliza...
  16. JamiiForums Tanzania Michezo: Serikali imezuia Mashabiki wa JKT Tanzania fc kuingia uwanjani kwa mechi zote zilizosalia kweye uwanja wa Jamhuri

  17. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Shirikisho la Brazil | República Federativa do Brasil

    | Jamhuri ya Shirikisho la Brazil, República Federativa do Brasil au Federative Republic of Brazil Ni taifa linalopatikana bara la Amerika ya Kusini, lenye ukubwa wa eneo zipatazo millioni 8,511,965 Km2 sawa na millioni 3,286,488 Square Mile's. Brazil iliyopakana na Argentina, Bolivia...
  18. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Wadiya: Taifa la Afrika lisilotambulika

    Ukitazama filamu iitwayo “The Dictator” iliyoingia sokoni kwa mara ya kwanza mwaka 2012 (sasa inapatikana katika mtandao wa Netflix na Youtube) utabaini kuwa kuna taifa barani Afrika linaloitwa Jamhuri ya Kidikteta ya Wadiya, maarufu kwa jina la Wadiya. Ni filamu iliyoigizwa katika nchi mbili...
  19. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Paraguay | República del Paraguay

    | Jamhuri ya Paraguay, Republic of Paraguay, República del Paraguay au Tetã Paraguái ni taifa linalopatikana Amerika ya Kusini, likiwa na ukubwa wa eneo zipatazo 406,705 Square Kilometers sawa na 157,047 Square Mile's. Bendera ya Jamhuri ya Paraguay Paraguay yenye idadi ya watu takribani...
  20. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Nicaragua | República de Nicaragua

    | Jamhuri ya Nicaragua, Republic of Nicaragua au República de Nicaragua ni taifa linalopatikana Amerika ya Kaskazini. Nicaragua yenye ukubwa wa 129,494 Square Kilometers sawa na 49,998 Square Mile's ni nyumbani kwa watu wapatao takribani millioni 6,625,560 kufikia 1 April 2020. Bendera ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…