jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Tanzania yakabidhi msaada wa chakula kwa Msumbiji

    TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Msaada huo umekabidhiwa Machi 24...
  2. Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kongo: Mtandao wa Intaneti wazimwa!

    Wakati uchaguzi wa uraisi unaendelea jamhuri ya kongo mtandao wa NetBlocks umetangaza kukatika kwa intaneti karibu nchi nzima. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa NetBlocks, Alp Toker, kiwango cha muunganisho wa intaneti kimeshuka hadi karibu asilimia 3 ya kiwango cha kawaida, hali inayoweza kupunguza...
  3. Askofu Bagonza (PhD) aipongeza na kuishauri Jamhuri

    NAIPONGEZA JAMHURI na KUISHAURI Wale mnaopenda kuwapopoa kwa mawe wale msiokubaliana nao, nawaomba mnipopoe. Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili “Mtundu” wa Taifa, Tundu Lisu, imeamua kukata rufaa kwa kesi ambayo haijahukumiwa au haijafika mwisho. Wamejuaje kuwa wameshindwa na kuamua...
  4. Mawakili wa Jamhuri vs Tundu Lissu: Tafsiri ya Shahidi na Ushahidi

    1. Vita ya Tafsiri: "Shahidi" vs "Ushahidi" Hapa ndipo kiini cha pambano kilipo. Hoja ya Katuga: Anasema kifungu cha 308 kipo kumlinda mshitakiwa asishtukizwe, hivyo wanatoa taarifa (Notice) ili kuleta mambo mapya ambayo hawakuyaingiza mwanzo kwa shahidi yuleyule (ACP Mahamba). Jibu la Lissu...
  5. K

    Dodoma Jiji VS Simba Sports Club Jamhuri Stadium 22/2/2026.

    Mtanange ukiwa unaendelea, mzani ushaanza Kuwaelemea Wenyeji. Mnyama yuko mbele kwa bao 2... Kipute kinaelekea halftime
  6. H

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
  7. DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  8. PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  9. M

    Kuna hatari Jamhuri ya Kiislam ya Iran kuanguka

    Maandamano yanakuwa kwa kasi Wairan wanashusha bendera ya Jamhuri ya Kiislam na kupandisha bendera ya Jua na Simba. Kobazi wanajukumu gumu mbele yao, 1. Kuua watu kama Samia alivofanya 2. Kukubali kuaguka https://x.com/ShayanX0/status/2009024757883371597...
  10. H

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  11. H

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  12. R

    Kwanini gazeti la Jamhuri limesitisha uchapishwaji? Let us speculate intelligently

    To me, nahisi by 99% ni ile interview ya Warioba. Why? Manyerere aliyemhoji Warioba ni News reporter wa Jamhuri media. Ile interview ulikuwa mwiba mkali sana kwa serikali na matendo yake ya 29 October 2025, maana it was TRUTH TRUTH TRUTH DEEP IN THE BONES of which watawala hawataki kusikia...
  13. S

    Gazeti la Jamhuri halionekani leo mitaani baada ya kuandika habari za Warioba, kulikoni?

    GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa kuliona kulikoni? au limezuiliwa kutoka leo? Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa...
  14. Sikukuu ya Jamhuri Kenya; Je, William Ruto anasoma au anatoa kichwani hii hotuba?

    Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
  15. PostGE2025 Rais Samia: Lililotokea ni tukio la kutengenezwa, ni mradi wenye nia ovu kuangusha dola ya nchi yetu

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu. Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
  16. Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  17. PostGE2025 Rais Samia: Asilimia 56.7 ya wabunge wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni wapya

    "Takwimu, zinaonesha kuwa wabunge 223 kati ya wabunge 393 sawa na asilimia 56.7 ni wabunge wapya kabisa. Aidha, asilimia 45 ya wabunge wote ni wanawake." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bungea la 13
  18. PostGE2025 Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
  19. Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  20. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli Bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…