jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa na kukulia kijijini je ukiwa unafikiria jambo huwa unafikiria kwa lugha yako ya Asili mfano kisukuma n.k

    Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.? Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
  2. JamiiForums Tanzania Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    Mipango ni Mingi sana ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻 Britanicca
  3. JamiiForums Tanzania Hili ni jambo la mafanikio kwa nchi pia au kwa kampuni binafsi tu?

    Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

    Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa. Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta. Wanasema iran wana mitandao yao...
  5. JamiiForums Tanzania Pombe imewahi kukusababisha kutenda jambo gani ambalo unalijutia?

    Wanywaji wa Pombe wamegawanyika katika makundi mbalimbali, 1. Kuna ambao wanakunywa kwa wingi na bado wanajitambua na huwezi kuona wakigombana au kusumbua wengine, in short wanaweza kuji control, 2.Kuna wengine wakilewa ni vurugu mtaa mzima, ugomvi, matusi, kelele nk 3.Wengine wanaweza hata...
  6. JamiiForums Tanzania Utamkumbuka Kassim Majaliwa kwa jambo lipi?

    Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa. Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu. Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu. Majaliwa anaingia...
  7. JamiiForums Tanzania Kila nikiwatathmini wanaochukua fomu za kugombea ubunge,Najifunza hili jambo

    Wadau,salamu wote. Ipo hivi kila nikifuatilia aina ya watu wanaochukua hizi fomu ,sio kwamba wana interest sana na kutatua matatizo ya watu na kuleta maendeleo. NEVER. Wengi wa hawa watia nia wanatafuta kitu kinaitwa "political muscle" au nguvu ya kisiasa kwa ajili ya Kuziwekea ulinzi...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa humu ukiwasoma kichwani unaona.... Wanafaa kuwa Wabunge tu maana kwa akili zao hamna jambo la maana wanaweza kufanya

    nafasi ambayo ni rahisi sana kuipata kwa sasa na ambayo haina changamoto yoyote kwa kazi zake. mtu yeyote anaweza fanya ni Ubunge kwa sasa. hii ni nafasi ya kutumikia wananchi kirahisi sana ambayo mtu yeyote as long as anajua kusoma na kuandika anaweza igombea na kupata. kuna watu humu ukisoma...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Dudubaya yeye anajua kila kitu hapa Duniani mpaka awe anatolea ufafanuzi wa kila jambo lenye utata?

    Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani. Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle east na upi ni msimamo wake. Imenishangaza kidogo, sasa msimamo wa dudubaya kwenye siasa za middle...
  10. JamiiForums Tanzania Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

    Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji. Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani la aibu umewahi kulifanya bila watu kukushtukia?

    Kuna siku bana, niko kwenye mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa wanatukana kuwa nani huyo asiye na adabu kajamba,mimi nikawa nimejikausha nazuga eti na mimi kufunika...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna jambo zito natamani kulileta humu ila nikifikiria naona bora niseme tu Mitanotena.

    Wakuu october tunatiki na tunakwenda na mama yetu kipenzi cha watanzania, mama aliyeingia mioyoni mwetu.
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi operation "rising lion" ilivyogeuka kuwa operation "sleeping lion". Nini tunajifunza kuhusu jambo hilo?

    Niaje waungwana Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kinanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE" Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani...
  14. JamiiForums Tanzania JF: Kuna jambo langu hili halijanipendeza

    Salaam. Mimi ni member wa miaka mingi hapa. Sijawahi kuwa na ukorofi na mtu hapa jukwaani wala mtaani. Nimepost jambo langu hili serious imekuwaje mkalipeleka sehemu ya chit-chat and jokes...
  15. JamiiForums Tanzania Je hili jambo lipo sawa. Na je angekua anafanya CHADEMA hivi si ingekua mapolisi washawakamata

    Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich. Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho. Afu...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kuijadili Tanzania siyo jambo la afya!

    Sikiliza hapa wanajadili kesi za Tundu Lissu. https://twitter.com/EduTalkTz/status/1934829754852491305?t=TiZp-zvXELlD5i62LV7I2Q&s=19
  17. JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Tundu Lissu kujitetea Mwenyewe. Huwezi jua pengine kati ya Mawakili wake kuna akina Yuda Eskarioti

    GT Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi. Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya...
  18. JamiiForums Tanzania Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
  19. JamiiForums Tanzania Nishauri jambo kuhusu QT

    Wakuu habari zenu. Kuna binti alimaliza kidato cha nne 2022. Lakini alisoma Art subjects, sasa anatamani kusomea afya awe nurse. Sasa anauliza kama anaweza kusoma QT masomo ya science ili apate credit za masomo ya physics na chemistry na bios, japo biology alipata B kwenye matokeo yake ya fm4...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Dudu baya ndio nani kila jambo kuhusu dunia hii yeye kawa mchambuzi na kuna watu wanamsikiliza kweli

    Kuna wakati kunatakiwa kuzuia hawa wanahabari kujua mahojiano na wanataka kuwahoji. Yani huyu Dudu baya kila jambo yeye kawa mchambuzi mpaka maisha ambayo hakisikia Lucas Mwashambwa kachanganyikiwa kesho dudu kahojiwa. Wanaompa Airtime ni kwamba hawana content za kutengeneza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…