Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia...