jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyejaribu kumuua Donald Trump alipigana kwenye vita vya Ukraine. Maswali mengi yaibuka

    Ryan Wesley Routh: Picha na Reuters. Shirika la upelelezi la FBI laendelea na uchunguzi wa jaribio la kumuua mgombea wa kiti cha uraisi wa Marekani bwana Donald Trump katika viwanja vya mchezo wa golf vya Trump internation Golf Course. Mtu aliejaribu kumuua bwana Trump ametambuliwa kwa jina la...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wa shoka hawawezi kufanya jambo hili.

    Na Fred Putin. Jambo moja ambalo mwanamume anayejiamini hawezi kamwe kufanya hadi kifo kitakapomchukua : "KUFANYA PUSSY KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE BINAFSI. " Wanaume wanaojiamini hawaabudu nyash, hawaabudu matiti. Wanachoabudu ni kusudi, malengo, furaha, amani, mafanikio na Mungu wao...
  3. JamiiForums Tanzania Godbless Lema ana PHD ngapi mpaka awe mjuvi wa kila jambo duniani?

    Hivi majuzi nimesoma post ya mtu anayeitwa Julius Mtatiro (siku indie Mhe DC ama majina yamefanana) amepost hio post huku pembeni yupo Godbless Lema Mbunge Mstaafu wa Arusha. Baada ya kuisoma post hiyo nikajipa assignment kufuatilia platforms zote za Mbunge Mstaafu wa Arusha, nikajikuta nastuka...
  4. JamiiForums Tanzania Kabla ya Ijumaa jioni litatengenezwa bonge la movie ili kufunika jambo

    Kwa uzoefu wangu nina uhakika 100% kuwa kabla watu hawajalala siku ya Ijumaa tayari movie itakuwa ishatoka. Ni mwendo wa movie tu. Movie hii itatolewa kufukia jambo. Watanganyika msitolewe kwenye reli kwa aina yoyote ya movie hata kama hiyo movie itahusisha kutolewa watu uhai. Akili yangu...
  5. JamiiForums Tanzania Taja kitu au jambo ambalo unaamini linafanyika Tanzania tu

    Kitu au jambo gani ukilisikia tu au kuliona unajua linafanyika Tanzania hakuna sehemu nyingine. Naanza na mimi Kuunga kifurushi cha wiki kikaisha ndani ya siku moja
  6. JamiiForums Tanzania Jambo lililopotoshwa sana, kuliko mengine

    CHUKIZO LA UHARIBIFU NI UTENDAJI WA MAMLAKA YA KIBINADAMU KUPINGA AMRI NA MAMLAKA YA MUNGU Unabii wa utendaji wa Chukizo la uharibifu lililonenwa na nabii Danieli umeandikwa katika Danieli 7, 8 na 9. Ni vipindi vitabu tofauti tofauti vya kihistoria ambavyo kanisa la Mungu lingelikabiliwa ma...
  7. JamiiForums Tanzania Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.

    Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Tundu Lissu kuwa makini, huenda kuna jambo linapangwa dhidi yako na usidhani anakukubali

    Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire. Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi wa hili jambo nitaelezea kidogo ufahamu wangu

    Habari hii picha inamaana nitaelezea ila naomba ufafanuzi kwa anayejua zaidi. 1. Nitaanza na sunlight kwamba jua lina vitamin muhim kwanhiyo ni vema wkt flan kufurahia uwepo..wake na sio kukaa ndani muda wote. 2. Kupunzika. Baada ya kazi ni vema kupata muda wa kutosha upunzishe mwili na...
  10. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui?

    Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui kama linakukwaza. Tupa jiwe gizani ujumbe ufike
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo. Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwa hili jambo

    Amesimuliwa wife akiniomba ushauri nikaona nami nililete humu nipate msaada wa MAWAZO Kwan JF ni kisima cha maarifa HATUSHINDWII Wife anafanya Kaz kwenye taasisi moja inayoshughulika na watoto, Sasa Kuna mtoto wa kike mmoja kamsimulia yanayomsibu ipo hivi huyo mtoto wa kike tumuite Jane(sio...
  13. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia katika Jamii yetu yoyote mkiwa na Mtu asiyeeleweka eleweka ni HATARI sana kwani Binadamu ni lazima uwe na Upande juu ya Jambo fulani

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob azua jambo kuhusu kingereza cha Msigwa. Msigwa ajibu na kuendelea kuharibu

    Someni, mimi siongezi wala sipunguzi neno: Baadae Msigwa akajibu.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna jambo linaniumiza toka kwa mke wangu, nimwambieje?

    Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi. Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane, Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania kila kukitokea Jambo lisilo jema, la mjadala na la kuichafua Demokrasia ya nchi huamua Kulifunika kwa Teuzi za ghafla?

    Nitashukuru sana kama Machawa Wao Gegedu wakija hapa kutuelimisha Sisi tusio na uelewa wowote. Angalizo. Nimesema Marais wa Tanzania na si lazima awe wa sasa au wale waliopita. Imeisha hiyo......!!
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

    Vitisho vya aina yoyote ile na Lobbying yoyote ile kwenye Media kuelekea Press conference ya Mhe. Freeman Mbowe @freemanmbowetz havina nafasi kwenye Uhuru wa Habari. Kwani Freeman Mbowe hapaswi kupewa nafasi ya kusikika na Watanzania kupitia vyombo vya habari? Kama kurusha Matangazo ya Mkutano...
  18. JamiiForums Tanzania Lipo jambo fiche- huenda

    Lini mlishuhudia kaabiri kwenda nje na kurejea siku lilelile!? Lini alidumu na kuzunguka kwake kutafuta na kupima upepo wa ki siasa kama ilivyo hivi karibuni!? Lazima lipo jambo tena lililo na hofu ndaniye. Mda utasema.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna jambo wanasimba sijui kama mmeliona?

    Salama jamani, leo nawakumbusha tu wazee wa ubaya ubwela ule upinzani wa uwanjani uliokuepo kati ya simba na Yanga ni kama haupo tena, yahani Kwa sasa mpinzani wa Yanga nawezakusema ni Azam na Simba wamebaki kama watani wa jadi tu. Tangu msimu uliopita battle kubwa ilikua ni kati ya Yanga na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…