jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yuko Wapi!? Sasa hivi angepiga hela

    Na huenda angefanikiwa. 😂😂😂✍️✍️✍️
  2. JamiiForums Tanzania Wahadimu jamaa wenye Zanzibar yao kama ilivyokuwa Dar kwa Wazaramo

    Wenyeji wa Zanzibar ni hasa watu wa kabila la Wazanzibari, lakini hili si kabila kwa maana ya kijadi kama ilivyo kwa Wachaga au Wanyakyusa, bali ni utambulisho wa watu wa visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba), ambao kwa kiasi kikubwa ni mchanganyiko wa makabila na tamaduni mbalimbali kutokana na...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa akisema kitu ni kweli au kinakuwa

    Kwa mfano akisema wewe ni demu...kweli wewe ni demu na kama ulikuwa man unageuka kuwa demu kabisa. Mtagombana naye utajikuta unaanza andika kama demu au unamtukana kama demu. Nimeona akiwasema watu wawili humu kuwa si mademu jamaa kadri wanavyojitetea kuwa wao si men ni mademu ndo...
  4. JamiiForums Tanzania Nimekutana na video ya huyu binti, imenikumbusha kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa kileo hawako resistant na ushawishi wa jamaa mwenye pesa na jina

    Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂 Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake ataakuambia "aah yule tunasumbuana"
  5. JamiiForums Tanzania Tazama Video hii, nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki

    Nimekutana na Video hii iki-trenda Nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndo sifa za jamaa zangu fulani waitwao mamodinyo

    Jamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:- 1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko. 2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala. 3. Wanijiona Sana...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ungewaambia hapa kwamba siku moja watahimizwa kwenda VETA wasingekuelewa unamaanisha nini

    😂😂
  8. JamiiForums Tanzania Kutana na jamaa mmoja aliyetembea kilomita 7,000 ili kukubaliwa kimapenzi

    Kuna jamaa mmoja anaitwa Yahushi Takahashi Aliweza kutumia zaidi ya Miezi Sita kuizunguka Japan akisafiri umbali wa kilomita 7,163.7 kwa mguu, kwa gari, kwa kutumia boat, treni na na baiskeli yote hayo ili kuweza kukubaliwa pendekezo lake la ndoa. Alikua anatumia kifaa cha GPS kuweza...
  9. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu jamaa anaedai kuibiwa vitu na hela milioni tano na alie kuwa mke wake wa ndoa.

    Huenda jamaa kamuua mke wake. Na hii story ametengeneza kama Alibi. Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
  10. JamiiForums Tanzania Sidhani kama nitamsamehe huyu jamaa

    Kama wewe ni mpenzi wa filamu mkongwe ebu weka neno kwa huyu mwamba hapa! Binafsi ni mhusika wangu namba moja kwa kumchukia.
  11. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Miaka ijayo mtu akamuozesha mke wake mwenyewe kwa jamaa mwengine

    Naona zipo dalili kwa wanaume kukosa misimamo katika ndoa zao,jambo ambalo linenifanya nifikirie mbali zaidi kwa kuona Tunaweza kuingia katika utamaduni mpya wa ndoa. Wengi wataozesha wake zao kwa sababu za kifedha au kuendeshwa na wake zao ama wazazi. #UziTayari
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuwa ananiazima gari! Nakua namtoa kishikaji

    Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana. Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza. Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei za kukodi kwa ajili ya kugain experience. Niko mwanza.
  13. JamiiForums Tanzania Wazee kuna jamaa yangu ametapeliwa kiwanja anaomba msaada afanyaje

    Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kiwanja kilikua kimepimwa Kwa maelezo yake wakati ananunua muuzaji alitoa mawe ya namba za kiwanja kimya kimya ndio zkamuuzia mwaka 2018 jamaa akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa kaibiwa simu Kariakoo halafu kwenye laini yake ya Yas mixx kulikuwa na milioni 5, wameiba zote

    Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alishapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini Leo anakuta Salio zero inawezekana vipi Hawa wezi kutoa pesa huku wakiwa hawana namba ya Siri Wala...
  15. JamiiForums Tanzania Eti hawa jamaa ndio wanaitishia Marekani 😂😂😂

    Masikini, vijana hawa ni wafu watarajia kwa sababu ya kuwa wahanga na watumwa wa itikadi za watu binafsi amabao asili yao ushujaa wa kipuuzi. Mtu anasema anaipigania dini, mara anaipigania palestina, mara sijui blah blah nyingi, mara ya mwisho yeye kujipigani ni lini???? HOUTHI NI UTAPELI...
  16. JamiiForums Tanzania Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

    Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na Dr Mpoki aliyeogonza jopo la madaktari Dodoma Hospital kuokoa maisha yake 2017; Dr Mpoki amwaga chozi kumuona jamaa anadunda.

    Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻 ".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa akina Sativa,Taivina na punter wengine wa paripesa mbona ukiscan mikeka yao haipo??

    Wakubwa Habari... Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa? Ni mimi ndio sielewi ? Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge? Ama ile option ya betslip scanner...
  19. JamiiForums Tanzania Kiranga na jamaa zake wanaweza wasionekane kwenye thread mbalimbali lakini uzi wowote unaomsifia Mungu huwakosi

    Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake. Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa. Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anahitaji ushauri wa haraka ili kuokoa uhai wake

    Jamaa anaonekana ni kama ana tatizo la kisaikolojia. Amekuwa akijirekodi na kujirusha katika mitandao ya kijamii akinywa pombe kali mbalimbali. Style yake akiweka chupa mdomoni hatoi mpaka ahakikishe kinywaji kimeisha. Mnaomfahamu, huyu kijana anahitaji msaadana ushauri wa haraka la sivyo uhai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…