Hii ni moja ya picha (MJ look-alike) inayo trend sana hivi sasa mitandaon, inasemekana jamaa ni mtu kutokea Mexico, amefanana kinoma noma na The late Michael Jackson.
Watu wanadai hakuna video Clip yoyote kuhusiana na huyu jamaa na kwa umri wake na ukubwa wa teknolojia, basi tungefahamu muda...