Bodaboda
Bajaji
Dereva wa magari
Saidia fundi n.k.
Suala la kuwa tajiri au kufanikiwa na kuenjoy matunda mpaka uzeeni , ni ngumu sana ,hizo kazi ukilala kitandani mwezi mzima Kwa maradhi lazima urudi nyuma hata ulivyo nunua unauza
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
madola 5 ya kijeshi, yakiwa na maelezo ya mwaka yalipoanza kutawala kwa nguvu na mwaka yalipoporomoka:
1. Dola la Roma (Roman Empire)
Mwanzo wa utawala wenye nguvu: 27 KK (chini ya Augustus Caesar)
Kuporomoka: 476 BK (Dola la Roma ya Magharibi)
Maelezo: Jeshi lake lilitawala Ulaya, Afrika...
https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV
Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly yakiwalenga watesi wake - CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake...
Soma pia PreGE2025 - Askofu...
Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao.
sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo.
Jeshi la polisi tanzania kumbukeni mna familia na ukoo je mnavyo shindwa kuzibiti na kufanya haya kisa...
Kama CCM isipoweza kutafuta mbinu au njia mpya ya kutawala watu,uwenda miaka 10 mbele kusiwepo tena na chama cha Siasa kinacho itwa chama cha mapinduzi
Zaidi ya 50% ya Watanzania ni vijana waliozaliwa Miaka ya 2000’s,yani kwenye sensa ya mwaka 2002 Watanzania walikuwa ni million 30 lakini leo...
Sina maneno mengi.
Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo
Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6.
Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki
Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni
Waafrika waliuzwa kama njugu
Fedha walizouzwa Waafrika...
Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
UN is watching YOU.
AU is watching YOU.
EU is watching YOU.
SADC is watching YOU.
ICC is watching YOU.
EAC is watching YOU.
COMMONWEALTH is watching YOU
INTERNATIONAL NGO's are watching YOU.
COUNTRY FRIENDS are watching YOU.
NEIGHBORS are watching YOU.
YOUR FRIENDS are watching YOU.
TANZANIA...
Mayi! Achana na ICC. Wao waendelee kutafuta vikao na kupiga simu huko kimataifa ili wamalize kidipolomasia.
Wamesahau jambo moja lipo kundi moja muhimu ambalo hilo tayari lishakuwa upande wetu. Hiyo tarehe tunaenda kuwagea suprise walahi hawataamini.
Nawaambia siye tupo karibu nao. Twasema...
Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ...
Shida ya Nchi hii ni CCM
Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara..
Kwanini?
Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza,
Utu/watu baadae...
Hiyo ndio slogan yao..
Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa...
TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100
Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank).
Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye...
Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-
1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili...
Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote
Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
Dunia nzima inaitazama Tanzania
Majirani zetu Kenya wanatutazama
Tayari walishaatuonesha njia
Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka
Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana.
mchana mwema!
Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha.
Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi.
Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.