issa

Īrṣyā (Sanskrit; Pali: issā; Tibetan: phrag dog) is a Sanskrit or Buddhist term that is translated as "jealousy" or "envy". It is defined as a state of mind in which one is highly agitated to obtain wealth and honor for oneself, but unable to bear the excellence of others.Irshya is identified as:

One of the fourteen unwholesome mental factors within the Theravada Abhidharma teachings
Belonging to the category of dosa within the Theravada tradition
One of the ten fetters in the Theravada tradition (according to the Dhammasangani)
One of the twenty subsidiary unwholesome mental factors within the Mahayana Abhidharma teachings
One of the five poisons within the Mahayana tradition
Belonging to the category of anger (Sanskrit: pratigha) within the Mahayana tradition

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Terrorising Academic Freedom in Tanzania

    Author: Issa G. Shivji, Professor Emeritus, University of Dar es Salaam | Source: CODESRIA Bulletin Online, No. 10, July 2026 The Arrest of Melkisedeki Kitunzi Kaijage Melkisedeki Kitunzi Kaijage, an assistant lecturer in Political Science and Public Administration at the University of Dodoma...
  2. JamiiForums Tanzania A Voice of Courage in an Age of Silence: Kudos to Professor Issa Shivji!!

    M. M. Mwanakijiji Professor Issa Shivji remains a flickering light of intellectual courage atop a hill darkened by clouds of fear and compromise. Among Tanzania's intellectual elite—in academia, the legal profession, and public service—Shivji is often viewed as a troublemaker. For more than...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar - Mafunzo kutoka kitabu "Pan-Africanism or Pragmatism?" cha Prof. Issa Shivji https://www.youtube.com/watch?v=AcK2xEIZJN8
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kamati Maalum ya CHADEMA Zanzibar yaridhia Said Issa kufutwa uanachama,

    MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CHADEMA ZANZIBAR KILICHOFANYKA PEMBA TAREHE 07 JUNI 2026. Kamati Maalum ya CHADEMA Zanzibar ilifanya kikao chake cha kawaida tarehe 07 Juni 2026, Kisiwani Pemba chini ya uongozi wa Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Mhe. Said Mzee Said. Kikao hicho...
  5. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumfukuza Said Issa Mohamed ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA

    JMT! Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali.. hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende. Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
  7. JamiiForums Tanzania I goes to the name of Issa Ally Mchungahera

    CCM Kazi munayo... hivi hawa watu huwa munawachuja namna gani mpaka munawaleta sebuleni kwa kadamnasi? Sikilizeni wenyewe hapa: https://youtube.com/shorts/DteGyHfWMlI?si=G2EpvTOYd3oogcVh
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof Issa Shivji: Watanzania sio wajinga. Kiungo kati ya AMANI na HAKI ni UWAJIBIKAJI. Hatuwezi kupiga hatua bila viongozi wakosaji kujiwabika!

    https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05 ANASEMA: Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026

    Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya CHADEMA leo Aprili 15, 2026. Chama kimesema kimepokea taarifa hiyo kutoka mahakamani na kuahidi kuujulisha umma kuhusu matokeo ya uamuzi huo mara tu utakapotolewa. Kesi hii inahusiana na mgawanyo wa mali na...
  10. JamiiForums Tanzania Maktaba: Mazungumzo na Muhidin Issa Michuzi

    https://youtu.be/_6FtBWyaQ-w?si=CfeqLGmWTZcyH5zI
  11. JamiiForums Tanzania Quran inasema Issa bin Maryam ni Mkuu kuliko Mohamad na ndo anastahili kufuatwa

    Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini? Ushahidi kutoka Qur’an Surat Maryam (19:16–21): “Na mtaje Mariamu katika Kitabu, alipoweka...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Issa atuhumiwa kubaka na kulawiti watoto watatu

    Mwanaume anayefahamika kwa jina la Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kwa kumbaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa sehemu za siri. Tukio hilo linadaiwa kutokea mnamo Agosti...
  13. JamiiForums Tanzania Yani Mtu akazaliwa akaitwa Yeshua mwana wa yosef aliezaliwa na miriam, nyie baada ya karne kazaa mkasema aitwe issa, 😂😂

    Mi nafikiri kama alivyosema solomoni kila kitu chini ya anga ni ubatili alikuwa sahihi.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe Nabii Issa ameshuhudia na kutabiri mwenyewe kwenye kurani 19:30-31 kuhusu , siku ya kufa na kufufuliwa kwake

    Wadau angalia wenyewe ushuhuda huu. "Maryam akaashiria kwake (yule mtoto wamuulize yeye). Wakasema:“Tutazungumzaje na aliye bado mtoto kitandani? (19:29) (Yule mtoto) akasema: “Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Amenipa kitabu na Amenifanya Nabii. Amenifanya mbarikiwa popote...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Said Issa dhidi ya CHADEMA yaahirishwa hadi Septemba 10, 2025; nyaraka za mali na fedha zaombwa Mahakamani

    Kesi ya madai namba 8323/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama hicho imeendelea tena leo, Alhamisi Agosti 28.2025 Mahakama Kuu ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mgombea wa CCM Temeke, jimbo litakwenda mikononi mwa ACT-Wazalendo, Shehe Issa Ponda kushinda mchana kweupe

    KWA AINA YA MGOMBEA WA CCM TEMEKE, JIMBO LITAKWENDA MIKONONI MWA ACT-WAZALENDO – SHEHE ISSA PONDA Katika harakati za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu, macho mengi yameelekezwa katika majimbo yenye ushindani mkali – mojawapo likiwa ni Jimbo la Temeke. Kauli kali iliyotolewa na Shehe Issa Ponda...
  17. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shehe Issa Ponda kushinda jimbo la Temeke mchana kweupe - Mikiki katika kutetea wanyonge ndio turufu yake Temeke

    SHEHE ISSA PONDA KUSHINDA JIMBO LA TEMEKE MCHANA KWEUPE - MIKIKI KATIKA KUTETEA WANYONGE NDIO TURUFU YAKE TEMEKE - MAMBO MANNE KUMBEBA JIMBO LA TEMEKE. Uislamu unaweza kumbeba sana Shehe Issa Ponda kisiasa, hasa katika muktadha wa Jimbo la Temeke – na hapa kuna sababu kuu nne za msingi: 1...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Issa Tambuu huwa mnamuelewa?

    Inasemekana ni tajiri Lakini mbona hajakaa kama tajiri, kuchekacheka hovyo, kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi. Yani sioni kama kuna tajiri pale, labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu ana majina mengi kila nchi (Jesus, Yesu, Emmanuel, Yoshua, Jisos, Jesu, Issa)

    Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa mtu tafauti! unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi...
  20. JamiiForums Tanzania Garatwa: Emmanuel Ntobi, Henry Kileo, Boni Yai, Martin Maranja, Yericko Nyerere ni Vijana wanaomuunga mkono Mbowe kwa sababu ya Bia na Konyagi tu.

    Na; Garatwa Francis Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…