israel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika ni nyani tunaoelekea kuwa binadamu. Kama unabisha Tazama vita ya Israel na Iran

    Israel ni taifa dogo sana sawa na mkoa wa Morogoro kila siku wanarusha ndege kwenda Iran na Wanarudi, Kila siku makombora yanaanguka kwenye miji yao lakini umeme, maji, mafuta na huduma zote za kijamii haziathiriki. Tanzania na Waafrika tuna mataifa makubwa yanakila kitu lakini hata vyanzo vya...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mji Mkuu wa Irani Umeshambuliwa vibaya sana na vikosi vya US na Israel

    Vyanzo vyangu kutoka Iran vinaripoti kuwa kumetokea milipuko mikubwa nchini humo. Video zinazoonyesha milipuko karibu na kituo kikubwa cha makombora nje kidogo ya mji wa Isfahan zimethibitishwa. Kitengo cha BBC Verify kimechambua video tatu zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo...
  3. JamiiForums Tanzania Operation ya uokozi ya Mareka & Israel huko Iran!!!

    Maelezo kuhusu operesheni ya uokoaji kulingana na vyombo vya habari vya Marekani na Iran: Rubani wa Marekani alijificha kwenye kilima kilichoinuliwa katika eneo la milimani na misitu ambapo alitua. Alitembea kwa miguu mbali na mahali aliposhuka kwa parachuti kisha akawasha Signal ya kuonyesha...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akitoa taarifa kuhusu Iran

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa Kirya: Pamoja na marafiki zetu wa Marekani, tunaendelea kukiponda kichwa cha utawala wa kigaidi nchini Iran. Katika siku za hivi karibuni, Jeshi la Anga limeharibu 70% ya uwezo wa uzalishaji wa chuma wa Iran. Kwa uratibu kamili kati yangu na...
  5. JamiiForums Tanzania Gaidi huyu aliomba kifo Israel wakamtimizia haja yake!!

    Siku mbili zilizopita, gaidi wa Hezbollah Abbas Awala alionekana katika moja ya video za Hezbollah akiendesha kifaa cha kurusha roketi huku akiwa amevaa sanda ya mazishi, tayari kwa kifo chake. Jana, IDF ilikubali ombi lake na kumuua bila huruma yoyote!! Allah-Akbar Adiosamigo mdogoee @gallna...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz amuonya Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika ujumbe kwa Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem: Utalipa gharama kubwa kwa kufyatua risasi kuelekea Israeli usiku wa kuamkia sikukuu. Hutaishi ili kuiona kesho yako kwa sababu utakuwa ndani kabisa ya kuzimu pamoja na wanachama wengine wa mhimili...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi kuhusu athari za vita inayoendelea baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran na hali ya mafuta nchini

    Vita baina ya Marekani, Israel dhidi ya Irani ilianza tarehe 28 Februari, 2026. Vita hiyo imeongezeka wigo kutokana na mashambulizi ya Irani kwa nchi za Saudi Arabia, Bahrain na Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ambazo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani. UTARATIBU WA UAGIZAJI WA MAFUTA...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi Israel, Katz: Wakazi 600,000 wa Lebanon kusini hawataruhusiwa kurudi kwenye makazi yao tena

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Katz: amesema; "Wakazi 600,000 wa kusini mwa Lebanon ambao wamehamishwa hawataruhusiwa kurudi hadi usalama wa wakazi wa kaskazini mwa Israeli utakapohakikishwa. Nyumba zote katika vijiji vilivyo karibu na mpaka wa Lebanon zitaharibiwa. Israeli itaunda eneo la ulinzi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Israel pamoja na kuwa nchi ndogo iliyopo vitani lakini Bajeti yao ni shilingi Trilioni 700, Nchi za Afrika tunakwama wapi hasa?

    Achana na ile misaada ya Marekani ya dola bilioni 4 kila mwaka (trilioni 10) ambayo huwa sio cash, huwa ipo katika mfumo wa silaha na vifaa Dola bilioni 271 ndio bajeti yao Israel, ni shilingi trilioni 700 kasoro vichenchi kidogo Mapato mengi ni kutokana na teknolojia, karibia kila kampuni...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Israel sasa Yaiomba Marekani kuhamishia kambi zake za kijeshi zilizokuwa mashariki ya kati na kuzileta wadanchini Israel

    Wadau hizo ni taarifa rasmi na siyo tetesiIsrael is set to invite the United States to relocate some of its bases in the region to Israel — and to establish new bases in the country — after the current war is over, Channel 12 reports, citing unnamed security sources. The security establishment...
  12. JamiiForums Tanzania Hezbollah Waingia ndani ya Galilee Israel na kuteka maeneo

    Wapiganaji wa Hezbollah wameingia ndani ya Mji wa Galile na kuteka mji huo pamoja wana Wanamgambo wa IDF waliojisalimisha kuokoa uhai wao Raia wameshauriwa kukimbia mji huo. 🚨 BREAKING: Hezbollah Forces Push Deep into Northern Israel – Galilee Communities Overrun, Mass Evacuations in Chaos...
  13. JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

    Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya USA Israel na Iran wote wameishiwa ADS imekua piga nikupige

    Ni hakika kabisa pande zote mbili katika vita hii ambayo USA akishirikiana na Israel kupigana na Iran,pande zote mbili zimeishiwa Air Defense Systems,kilichobaki hivi Sasa imekua ni piga nikupige. Ni kweli zipo chache zilizofichwa sana lkn naamini sehemu kubwa sana ya hizi ngao zimekwisha...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mwamba waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa ulimwengu!

    Taarifa ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu: "Tunaendelea kushambulia kwa nguvu malengo ya utawala wa kigaidi wa Iran. Jana usiku, tulimwangamiza Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi. Mtu huyu alikuwa na damu nyingi mikononi mwake; pia ndiye aliyeongoza kufungwa kwa Mlango-Bahari...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Iran Imetoa Tahadhari Meli Yoyote Inayo Kwenda Israel Itaishambulia

    Ujumbe ndio huo kila meli itakayo onekana ikielekea Israel itashammbuliwa https://youtu.be/SkIXpVcO5Gc?si=ee2rJ3HiqrHj5ccW Pia tazameni Israel target zake siku zote civilian afu yeye akipigwa anadai Iran inapiga civilian hahaha https://www.instagram.com/p/DWYtyRqk2Mg/?igsh=MXVocnR3eXllMXN1MQ==
  17. JamiiForums Tanzania FALSE This video shows Iranian Attack on Israel

  18. I

    JamiiForums Tanzania Pakistan yaipigia magoti Israel kuiomba isiwaue Abbas Araqchi na Mohammed Bakari kwani ni watu muhimu kwenye mazungumuzo.

    Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge, chanzo cha Pakistani chenye ufahamu wa mazungumzo hayo kiliiambia Reuters siku ya Alhamisi...
  19. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amejiuzulu kufuatia kuvuja kwa kauli za kibaguzi alizowahi kutoa

    Msemaji huyo, Ziv Agmon, alikanusha kuwa kauli zake zilikuwa za kibaguzi, akizitaja kuwa “za kipuuzi,” akidai kuwa yeye mwenyewe ana asili ya Morocco, hivyo hawezi kuwa mbaguzi dhidi ya Wamoroko. Hata hivyo, alitangaza kujiuzulu katika taarifa iliyochapishwa Jumatano jioni, baada ya mwanahabari...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

    .Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…