israel

  1. JamiiForums Tanzania Iran yakataa wito wa Ulaya kutoishambulia Israel. Kama hawapendi vita wangeilaani Israel kwa mauwaji inayofanya

    Baada ya kuwakatalia watawala wa mashariki ya kati wiki iliyopita kutoishambulia Israel,sasa nchi hiyo imefanya kama hivyo kwa nchi za Ulaya' Raisi mpya wa nchi hiyo na waziri wa mambo ya nje wamezijibu simu wanazopigiwa na wenzao wa Ulaya kwa madhumuni hayo katika matamko makali...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Waandamanaji wa Israeli waandamana kupinga 'haki ya kubaka' wafungwa wa Palestina

    Taifa la kiyahudi kila siku zinavyokwenda linazidi kujipambanua rangi zake zilizokuwa zimejificha mwanzoni mwa vita kati yake na wapalestina. Wako mawaziri ambao wameandamana na wafuasi wao wakaitaka waruhusiwe kufanya ibada ndani ya msikiti mtakatifu wa Aqsa jambo ambalo halikutajwa hapo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafikiri hii vita ya Iran na Israel itatokea kweli?

    Maoni yangu hii vita haitatokea. The fact kwamba wahasimu hawa wawili, wakiwashirikisha Super Power walio upande wao wamefikia hata kuzungumzia silaha za Maangamizi (kunazungumzwa sasa Nuclear), hii inanifanya nikumbuke Maandiko ya Biblia kuwa Mungu hataacha mwanadamu aiharibu dunia beyond...
  5. JamiiForums Tanzania Roketi za Hizbullah zatajwa kuilemaza mitambo ya kujilinda ya Israel, ndio maana zimepenya na kupiga maeneo ya Israel

    Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Spika bunge Lebanon aiambia Israel kuwa Kisasi kinakuwa Chakula Bora zaidi kinapotolewa au kuliwa kikiwa baridi

    NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold) Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha Mashariki ya kati Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lapiga marufuku marubani wake kusafiri nje ya nchi, yahofia kipigo kutokea Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limepuga marufuku marubani wake wote kusafiri nje ya nchi hiyo kama tahadhari ya maandalizi ya vita dhidi ya Iran, Hezbollah na washirika wao Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa kikosi cha Anga Meja Jenerali Tomer Bar, Taarifa kamili hapo chini: === Amid...
  8. JamiiForums Tanzania Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

    Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye. Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi yake!

    Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi ya Iran! Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu hayo ni mapya kutoka Tehran Kwa naibu waziri mambo ya nje Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ALI BAGHER. Naibu waziri...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Kizayuni: Kiyama kitaishukia Israel kama Iran na Hizbullah zitashambulia kwa pamoja

    Gazeti moja la Kizayuni limetangaza kuwa, kiyama kitaishukia Israel iwapo Iran na Hizbullah zitaamua kufanya mashambulio ya pamoja dhidi ya utawala wa Kizayuni. Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronot limetangaza habari hiyo katika toleo lake jipya kabisa na kusisitiza kuwa, utabiri wa mashirika...
  11. JamiiForums Tanzania DW: Israel yaapa kumuangamiza kiongozi mpya wa Hamas Yahaya Sinawar

    Wakuu hii ndiyo habari mpya kwa Sasa, Israel imetangaza dhamira ya kumuangamiza kiongozi mpya wa Hamas Yahaya Sinawar kwa kile ilichodai ni kuhusika kwake na mashambulizi ya Octoba 7 nchini Israel. Yahaya Sinawar itabidi Aishi kama panya maana kwa msala huu hakuna atakaye taka kukaa naye...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

    Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu. Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine? Kwa hakika Gen Z wamepata funzo: "Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha." Kwamba vita ni rasilimali ziwe...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

    Breaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo Wadau Hamjamboni nyote? Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani Rais amemuonya Kiongozi wake Mkuu kuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Israel: Hamas imechagua mtu hatari zaidi kuongoza harakati hiyo baada ya Haniyeh

    Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki. Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48

    Iran imesema kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 yajayo Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba Iran unaweza kuyatumia makundi yake yanayowaunga mkono kutoka nchi za Lebanon, Syria na Yemen kuishambulia ISRAEL apo kesho usiku. Na katika...
  16. JamiiForums Tanzania Israel hapakaliki Wayahudi wanakimbia kama nzige

    Wayahudi wanaikimbia Israel nakwenda kusalimisha viwiliwili vyao Nchi za watu na kibaya zaidi image yao imechafuka chuki dhidi yao imeongezeka kuliko enzi za WWII ⚡️🇮🇱BREAKING: Israeli director Barak Heymann in an article on "Haaretz": More Israelis are leaving and do not want to live in such...
  17. JamiiForums Tanzania Israel yaenda kwa swahiba yake Misri kutaka mazungumzo ya kusitisha vita na Hamas, huku Iran ikikataa unafiki wa nchi za kiarabu kutaka kuzuia vita

    Hapo juzi wajumbe wa Israel walielekea nchini Misri bila mwaliko rasmi ikitaka mazungumzo yaliyodorora ya kusitisha vita yafufuliwe tena.Hiyo ilikuwa ni siku mbii tangu kuuwawa kwa Ismail Haniye ndani ya Iran ambapo Iran imeahidi kulipiza kisasi. Sambamba na hatua hiyo ya Israel leo Iran...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyau na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama yaani IDF, shin bet na mossad kilichoketi muda mfupi uliopita kimeamua kufanya shambulizi dhidi ya Iran badala ya kusubiri kujibu shambulizi kutoka Iran Taarifa kamili zikipatikana muda...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mahandaki maalum kwa Viongozi wakuu wa Israel yameandaliwa na Idara ya ujasusi ya shin bet, yapo Jerusalem

    Wadau hamjamboni? Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita Taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

    Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel. Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni. Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…