israel

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hizbullah waingiza uwanjani kombora la FAD-3.Wapiga milima ya Golan,jimbo la Syria lililotekwa na Israel mwaka 1967

    Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo, Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Pigo lingine kwa Hezbollah. Jeshi la Israel lamuua kamanda mkuu wa kikosi cha mizinga na makombora

    INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN Rest in Peace aliekuwa Kamanda wa Hezbollah kikosi cha mizinga, Ibrahim Muhammad Qabisi, ameuawa akiwa ndani ya nyumba aliyojificha jijini Beirut, Lebanon. Ni baada ya Mossad kupata intelejensia sahihi kwa wakati sahihi na mahali sahihi, wakazifowadi...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eti Iran anamshutumu Israel kwa kushinikiza machafuko zaidi utafikiri alimuomba hezbollah amchokoze. Yani unachezea moto alafu unalalamika unaangua.

    Hawa radicals wa middle east ni watu wa ajabu sana. Wana sugu ya fujo fujo ndani ya mioyo yao. Ni aina ya watu amabao wana taka uishi kutokana na misingi yao ya fujo fujo. Wakipigana na wewe hata kama unawashinda watataka ushinde wanavyotaka wao. Unasema unapigana na Israel kuitafutia haki...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka vikosi Liebanon kuokoa raia wake huku waziri mkuu Mikhail Mikat akikimbilia UNO kupeleka malalamiko kutokana na uchokozi wa Israel

    Marekani tayari ina jumla ya askari 400,000 maeneo ya mashariki ya kati pamoja na meli kadhaa za kivita zilizowasili hivi karibu muda mfupi kabla Israel kuanza mashambulizi makali nchini Lebanon. Pamoja na hivyo wizara ya ulinzi ya Marekani imesema itaongeza askari siku chache zijazo ili kuwa...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hizi pesa za silaha za vita palestina israel hezbollah zinatokea wapi jamani aisee

    Nikijaribu kuangalia Sudan Wanavyomalizana Congo wanavyomalizana Ethiopia wanavyomalizia Kule Chad nako wameanza kumalizana Narudi kwa vita vya Ukraine wanavyomalizana na Russia Nirejee Israel vs Palestine gaza na sasa vs Lebanon na wa hesbollah Nawaza ty hizi silaah zote zinatokea wapi...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

    Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

    Wanakumbi. ⚡️BREAKING: Mji wa Haifa, kutoka mashariki hadi magharibi hadi kaskazini hadi kusini, uko chini ya makombora ya Hezbollah, ving'ora havikomi. Zaidi ya walowezi 300,000 wamekimbia kwenye makazi. Ripoti za awali za roketi zilizoanguka karibu na eneo la Chuo Kikuu cha Haifa na eneo...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Watoto 21 wuawa Lebanon katika mashambulio ya Israel huku idadi ya vifo ikifikia 274

    Mamlaka za Lebanon zimesasisha hivi punde kuwa idadi ya waliofariki kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel leo imefikia watu takriban 274 sasa. 21 kati yao ni watoto, kulingana na wizara ya afya ya Lebanon. Watu wengine 1,024 wamejeruhiwa katika mashambulio hayo, wizara hiyo inaongeza...
  9. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yamzika kamanda aliyeuawa katika shambulio la Israel huku mzozo ukiongezeka

    Tunakuletea sasa taarifa kutoka kwa mazishi ya kamanda mkuu wa Hezbollah, Ibrahim Aqil. Aliuawa katika shambulizi la Israel kwenye viunga vya kusini mwa Beirut siku ya Ijumaa. Shambulio hilo liliashiria kuongezeka kwa awamu ya sasa ya mzozo wa Israel-Hezbollah, ulioanza tarehe 8 Oktoba. Hivi...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mashule na maofisi jiji la bandari la Haifa vyafungwa.Maelfu ya raia wa Israel waingia kwenye mahandaki

    Jeshi la Israel limetoa ripoti yenye mkanganyiko baada ya Hizbullah kurusha maroketi mengi nchini humo. Katika taarifa mpya jeshi hilo limesema mashule yote katika mji wa Haifa yatabaki yamefungwa mpaka itakapotolewa tangazo jengine. Maelfu ya watu vile vile walilazimika kujificha kwenye...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel kwawaka moto.Hezbollah katumia aina mpya ya silaha

    Baada ya makambi ya jeshi la Israel kushambuliwa wananchi wote wametakiwa kukaa karibu na mahandaki yao kuhofia maroketi zaidi. Hali hiyo imetokea kwenye maeneo kadhaa ya Israel hasa kaskazini baada ya Hizbullah kurusha aina mpya ya maroketi ambayo yana ufanisi zaidi katika kupiga eneo lengwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hezbullah Kashambulia Base na Airport ya Haifa na Miji Mingine ndani y Israel

    Habari ya mjini ndio hio Israel kunawaka moto na wanazuia TV zisionyeshe wa Kwanza Al Jazeera kavamiwa office zake. https://youtu.be/gge7jCaNeak?si=5UYU-0btNIMmIjBz https://youtube.com/shorts/uXpvm4PoKA0?si=xuE4CotYcKnosYVr Base inawaka moto wanazuia wasionyeshe aibu zao. Base imesambaratishwa...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyoizuia China ili Israel ifanikiwe katika shambulizi la vifaa vya mawasiliano (pagers)

    Kwanza kabisa, mnamo Februari 2024 kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliwaamuru wanachama wake kuacha kutumia simu kwa sababu zinaweza kunaswa kwa urahisi na kufuatiliwa na majasusi wa Israeli. Miezi 2 baada ya agizo la mkuu wao yaani April 2024 wakaagiza hizo pagers ndivyo hata BBC na...
  14. U

    JamiiForums Tanzania News alert baada ya Sabato kumalizika, Israel yaanzisha mashambulizi mapya muda huu yakilenga na kusambaratisha maeneo zaidi ya 180

    Wadau hamjamboni nyote? Myahudi hajapoa kama unadhani hivyo nikupe pole Mara tu baada ya Sabato ya kiyahudi kuisha IDF wamefanya mashambulizi mapya makali usiku huu yakilenga shabaha maeneo takribani 180 Taarifa kamili hapo chini New wave of strikes in Lebanon as Israel braces for potential...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

    Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine. Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Ayatollah alalamika sana kwa kipigo kinachotembezwa na Israel

    Huyu mzee na lile kanzu lake alikuwa mstari wa mbele kuagiza magaidi ya Waislamu yashambulie Israel, sasa wanapata majibu na bila aibu analalamika.... ________ Jerusalem Post breaking newsBREAKING NEWS Iran's Supreme Leader says Israel is committing 'shameless crimes' against children By...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

    Kamanda Mkuu wa operations za kijeshi wa kundi la Hezbollah ndugu Ibrahim Aqil ameuawa mchana leo kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Israel Jijini Beirut nchini Lebanon. ======= Hezbollah official Ibrahim Aqil in an undated photo. (US Department of State) A source close to Lebanon’s...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hizbullah waanza kutumia ile silaha yao kuzima umeme Israel

    Siku mbili baada ya mashambulio ya kielektronik nchini Lebanon yaliyofanywa na Israel na kufuatiwa na mashambulizi ya maroketi nchini Lebanon,hizbollah nao wamefanya shambulizi la aina yake lililolenga mifumo ya umeme ndani ya Israel Baada ya mashambuli ya kuripuka kwa simu na walkie talkie...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia Lebanon kwa ndege za kivita na makombora. Maghala ya silaha na vituo vya kurushia roketi zaidi ya 100 zalipuliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imetekeleza mashambulizi makubwa ya anga kusini mwa Lebanon, ikibainisha kuwa ndege zake za kivita zimepiga zaidi ya roketi 100 za Hezbollah na maeneo mengine ya "kigaidi," ikiwa ni pamoja na ghala la silaha. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema vizindua...
Back
Top Bottom