israel

  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken na waziri wa ulinzi Lloyd Austin, watoa ovyo kwa Israel

    Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli...
  2. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

    Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo. Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana. Tafadhali naomba wale wazee wa miaka...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi atinga kibabe kambi ya Jeshi la Israel lilopigwa na drone za Hezbollah Golan!

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi Israel aibuka na kutinga kibabe kwenye kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan Leo --- October 14, 2024 IDF chief visits base hit in ‘serious and painful’ drone strike IDF Chief of Staff Herzi Halevi talks to soldiers at a Golani base in northern...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

    Wadau hamjamboni nyote? Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan. Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel. Netanyau amesema watahakikisha wanawasaka magaidi wa Hezbollah kila sehemu waliyojificha huko Lebanon ikiwemo mji Mkuu...
  5. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Siyo mchezo na rahisi ki hivyo kuweza anayoweza Israel

    Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel. Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa Taifa lao pasi na kujali wanasaidiwa na nani. Honestly wa Israel ndiyo binadamu wasio na hakika ya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laazimia kusambaratisha kitengo 127 cha uzalishaji na uendeshaji wa drone cha Hezbollah pamoja na kuua makamanda wote

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha! Mayahudi wamecharuka! Kufuatia shambulizi baya kabisa kwenye kituo cha mafunzo cha Jeshi la Israel huko milima ya Golani jana usiku, Jeshi la Wanahewa la Israeli limeweka lengo la kusambaratisha kabisa kitengo cha 127 cha Hezbollah almaarufu unit 127...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la anga la Israel laua watu 18 na kujeruhi watu 4 nchini Lebanon

    At least 18 people have been killed in an Israeli air attack on northern Lebanon, the Lebanese Red Cross says. Israel air attack on northern Lebanon kills at least 18 At least 18 people have been killed in an Israeli air attack on northern Lebanon, the Lebanese Red Cross says. At least...
  8. ward41

    JamiiForums Tanzania Ulinzi uliopo Israel ni mkubwa kuliko taifa lolote duniani

    Tumeonya Sana, tumehubiri Sana, tumeshuhudia sana kuhusu Vita zinazoendelea ya middle East. Viongozi na watu mbalimbali wameonywa Sana kuhusu taifa LA Israel. Mpango wa Mungu kuhusu Israel lazima ukamilike. Ahadi ya Mungu kuhusu Israel lazima ikamilike. Biblia imesema waziwazi kwamba wa Israel...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

    Wanaukumbi Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la Netanyahu la kuondoa vikosi vya UNIFIL. Ufaransa ilisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa UNIFIL katika...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je anachofanya Israel kinakuza au kuondoa Ugaidi ?

    Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi kunakoonekana kila kona, ni kwamba unawapa njia rahisi magaidi wa kesho au magaidi wa leo kuweza kufanya...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Baada ya mfumo wa ulinzi wa THAAD kufungwa Israel ni bora raia wa iran kuhama nchi yao bila shuruti

    Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran. Jana Rais Joe Biden...
  12. U

    JamiiForums Tanzania News alert Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa nchini Lebanon na kuua watu 51 huku 174 wakijeruhiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: BBCIsraeli strikes killed 51 on Sunday, Lebanese health ministry says published at 07:46 British Summer Time 07:46 BST The Lebanese health ministry says 51 people were killed across the country on Sunday by Israeli air strikes...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

    Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia. Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

    Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya. Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo. MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu...
  15. ward41

    JamiiForums Tanzania Israel VS Iran kwenye sekta ya Uchumi

    Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa pakubwa kwenye kilimo, high tech, kijeshi. Uchumi wao ni GDP 550 billion usd. Uchumi wa Iran ni GDP 450...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi Israel lamnasa kamanda Hezbollah alijificha handakini chini ardhini lenye silaha na mahitaji muhimu, apelekwa Israel kuhojiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Shughuli inaendelea huko Lebanon Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano Mungu ibariki Israel Taarifa zaidi kwa kimombo hapo chini: October 13, 2024 IDF troops capture Hezbollah fighter in underground bunker...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Mambo bado mazito huku maandalizi mazito yanazidi kufanywa. Jeshi la Marekani limeamua kufunga mitambo ya kisasa kabisa ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu huko Israel Yadaiwa ni sehemu tu ya maandalizi ya Israel kuishambulia Iran. Mitambo hiyo aina ya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Nicaragua yatangaza kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel, yaituhumu kuwa ya Serikali kifashisti na mauaji ya halaiki

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel yazidi kutengwa kimataifa Serikali Nicaragua inayoongozwa na Rais mhafidhina Daniel Ortega imetangaza kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel wakipinga uvamizi huko Gaza. Hatua hiyo imetangazwa rasmi na Makamu wa Rais Bi Rosario Murillo ambaye...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Msemaji Hezbollah Mohamed Afif adai kipaumbele kuichakaza Israel kijeshi ila wanaunga mkono juhudi zozote za kusitisha mapigano

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya za Msemaji wa Hezbollah Kwamba wao kipaumbele ni kuishinda Israel kijeshi japo wanakaribisha kwa mikono miwili juhudi zote za ndani na nje ya nchi kusitisha "uvamizi" wa Israel --- Hezbollah says priority is defeating Israel, but open to efforts to halt...
Back
Top Bottom