israel

  1. President of China

    JamiiForums Tanzania 'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

    Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini. Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo...
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Israel washambulia Total Energies za Mfaransa

    Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa. Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi, maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa huko Beirut Lebanon. Hii inajiri baada ya Macron kutangaza hawatowapa Israel silaha tena na kuzitaka...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel, Yoav Gallant ziarani Marekani. Jumatano atakuwa na kikao kizito pentagon na Waziri wa ulinzi Lloyd Austin

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa ulinzi wa Israel komandoo yoav galant na Waziri mwenzake Lloyd Austin watafanya kikao kizito makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani pentagon siku ya jumatano Oktoba 8, 2024. Taarifa kamili hapo chini: Defense Minister Yoav Gallant will travel to the...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda kikosi cha anga IRGC Jenerali amiral atunikiwa nishani ya heshima na Ayatollah kufanikisha shambulizi dhidi ya Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha huko Tehran! Israel kazi anayo kwani mashiha hawataki mchezo wanazidi kupongezana Jenerali Amir Ali Hajizadeh Kamanda Mkuu kikosi Cha wanaanga wa Jeshi la Mapinduzi la Iran amepewa nishani ya juu ya heshima kwa kufanikisha vema shambulizi la makombora ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Oktoba 7 na maadui 7 wakiwa vitani na Mteule wa Mungu, Israel.

    MWANZO 32:28 ... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda. Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Israel kuishambulia Iran kesho Oct 07, 2024

    Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali vya habari vimesema kwamba Israel inajiandaa KUISHAMBULIA Iran apo kesho Oct 07 Kama kumbukizi ya shambulio la Oct 07 lililofanywa na hamas Kule Israel, Tayari wakuu wa kijeshi wa Israel walikutana na kupanga mipango ya kuishambulia Iran kesho tar 07...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

    Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia...
  8. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la kijasusi Israel kurudisha ndege zake nyuma kuto ishambulia Iran

    Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana. Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag. FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to have been carried out by a group that is not actually responsible: Credit definition Geogle Walicho...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

    Wanaukumbi. BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza. "Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸...
  10. ward41

    JamiiForums Tanzania Kuna maombi ulimwenguni kote kuliombea taifa la Israel (pray for Israel)

    Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱 Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱. Nini maana yake? Israel ni taifa ni...
  11. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Trump aishauri Israel ilipue nuclear sites za Iran, kinyume na ushauri wa Biden

    My take; Just take the Islamic republic out, weaken them enough for the people of Iran to take care of the rest. When the people get rid of the Islamic republic and the Ayatollah goverment nobody needs to worry about any nuclear wars.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kivita ya Iran imeingia Lebanon kupambana na Israel

    Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel. Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

    Wanaukumbi. BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah. https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw UP DATE….. ========================...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Iran wamalizane na Israel haraka sana Kabla Trump hajaingia Ikulu, Trump aliifubaza Iran na akirudi ataendelea alipoishia.

    Zikiwa zimebaki siku 30 kuelekea uchaguzi wa Rais wa Marekani, Upepo wa ushindi unavuma zaidi kwenye kambi ya Trump, Ikiwa atashinda hali inaweza kuwa mbaya sana kwa Iran. Aliyekuwa kiongozi mzito mwenye ushawishi zaidi kwenye jeshi la Iran, Qasem Soleimani aliuawa 2020 kufuatia agizo la Trump...
  15. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Kipigo Kikubwa Kwa Israel Mossad Spy HQ, Na ngome muhimu ya IDF Zimeshambuliwa

    Hezbollah imeripoti kuwa imefanikiwa kubamiza vituo muhimu vya kijeshi vya Israel, ikiwa ni pamoja na makao makuu ya upelelezi ya Mossad na kambi muhimu ya IDF, wakati wa mgogoro unaoendelea kufuatia uvamizi wa ardhi wa mazayuni kusini mwa Lebanon. Jionee...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera wasema inachofanya Israel sasa haikuwahi fanya before

    Sitasitakih
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Wananchi zaidi ya milioni moja wa Lebanon wafanywa wakimbizi, Israel inaendelea kudondosha makombora

    Mliimba akbar akbar kila mara pale magaidi wa waislamu, Hezbollah walipochokoza Israel, mkaambiwa msitishe maana mkijibiwa msije mkalia, sasa imekua kilio Lebanon, watu milioni moja wakimbia makwao, na isisahaulike humo Lebanon kulikua wakimbizi wengi sana waliotoroka Syria wakitegemea Lebanon...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Hofu dhidi ya Israel yasababisha Hassan Nasrallah aliyekuwa kiongozi mkuu Hezbollah, kufanyiwa maziko ya muda eneo la siri

    Wadau hamjamboni nyote? Hassan nasrallah aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amezikwa kwa muda eneo lisilojulikana wakihofia mazishi makubwa ya wazi upo uwezekano mkubwa wa Mossad na IDF kutumia hiyo fursa hiyo kufanya yao! Hivyo wanasubiri siku za usoni mazingira yakiwa sawa basi watamfanyia...
  19. ITR

    JamiiForums Tanzania Picha za uharibifu wa shambulizi la Iran dhadi ya Israel zimeanza kuvuja

    Picha za satalait zinazo onesha uharibifu kwenye base 2 za anga za Israel. shirika la habari la AP lilionesha picha za setalait za Ovde air base na Nevatim air base zikiwa zimeharibiwa vibaya sana.
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini naamini Iran Ilikirupuka kuishambulia Israel kwa sababu lemavu?

    Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni 1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael. 2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni. Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi...
Back
Top Bottom