israel

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vita vya kuingizwa Israel inaiingiza marekani

    Hii clip tazama Israel Netanyahu anajaribu kila njia kuwaingiza wamarekani kwenye vita kuipiga Iran, kama alivyofanya kwa Iraq, Huyu jamaa anapenda kuona umwagaji wa damu. Hapendi Amani. https://youtube.com/shorts/UU7ZESW0NtU?si=FKjt0CABqj2SkjeB
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

    Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

    Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Israel Mbonyi ni msanii wa studio

    Najua huyu mnyarwanda Israel Mbonyi anapendwa sana na mashabiki wake na kama mnavyojua mapenzi upofu. Ila sio mzuri kwenye kuimba live ameshindwa kabisa kuonesha uwezo kwenye show yake mlimani city. Huwezi mfananisha wa waimba gospel kama Paul Clement . Mbonyi ni aina ya wasanii wanaotoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

    Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry. Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Saud Arabia, UAE, USA na Israel Kushambulia Al Hudaida Yemen ili Kumuokoa Israel

    Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground forcei na Air force wao ndio watanza kushambulia pamoja na UAE, na kuna fununu pia USA na Israel...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 50,000 wa Israeli Wanashindwa kuteka Kijiji Kimoja cha Lebanon

    Wanaukumbi. 50,000 Israeli Soldiers Keep Failing to Occupy a Single Lebanese Village Yedioth Ahronoth reported that "after a month of ground operations, 5 Israeli military divisions & a reserve brigade—over 50,000 soldiers, triple the number deployed in the 2006 July War—have failed to...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Lebanon yalalamika Israel wamegoma kusitisha mapigano. Bado waendelea kuishambulia Beirut

    #Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war.⁠ .⁠ “[Israel’s] repeated threats to the population to evacuate entire cities and villages, and its...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi wa anga ya S-300 ya Iran ilivyo haribiwa na Israel na kuiacha Iran ikiwa uchi kiulinzi

    Katika shambulio la wiki iliyopita dhidi ya Iran, Israel iliharibu mifumo yote ya juu zaidi ya ulinzi wa anga na kuuacha utawala huo "uchi" kwa mujibu wa maafisa. Maafisa wa Marekani na Israel wamesema katika duru mbili za mashambulizi mwaka huu, Israel imeharibu betri zote nne za mifumo ya...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei maji yamemfika shingoni. Aomba liundwe jeshi la mataifa mbalimbali kupambana na Israel

    Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
  11. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

    Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba...
  12. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muda wowote kutoka sasa Iran ataishambulia Israel kabla ya uchaguzi wa Marekani November 5.

    Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5. Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran Yajiandaa na Operation True Promise 3 kutekelezwa kabla ya Tarehe 5 November. Vyombo vya habari Nchini Israel vimeripoti

    Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Israel na Iran vimeripoti hii Leo kuwa Iran inajiandaa kuishambulia Israel kwa makombora ya ballistic. Imeelezwa kuwa hii Leo Iran imehamisha makombora yake kuelekea magharibi mwa Iran kwaajili ya maandalizi ya kujibu mashambulio dhidi ya Israeli...
  15. ward41

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Israel (Taifa lipo katikati ya dunia )

    Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia. Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe. Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake Ilikuwa rahisi kuleta injili Africa, Asia na Europe. Mungu ni fundi Wapagani kama kawaida yao watabisha
  16. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Floyd Mayweather aitembelea tena Israel

    Yeeeerrrrreeeeh Mwana masumbwi mmarekan mstaafu Floyd Mayweather aitembelea tena taifa teule (Israel) kwa mara ya nne tangu October 07 2023. Safari yake hii ya nne kawatembelea wanajeshi wateule (wayahudi) waliojeruhiwa vitani kwenye rehab. Floyd Mayweather akiwa kwenye rehab alizungukwa na...
  17. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

    Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel. Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao huku wanalia kwa uchungu

    Wanaukumbi. Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao kwa kuvizia huku wakilia kwa uchungu baada ya kupigwa na Hezbollah kwenye mipaka ya Lebanon. Cha kushangaza wao wanauwa watoto na wanawake Gaza na kushangilia kumbe na wao wanasikia uchungu wa vifo. Wanachopata kutoka kwa Hezbollah ni haki...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel yapiga maeneo kama 100 hivi ya Hezbollah. Safari hii hakuna kumswalia mtu yeyote

    Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni. Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa...
  20. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Hesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:- ..⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️ 𝟰𝟬 𝗠𝗲𝗿𝗸𝗮𝘃𝗮 𝗧𝗮𝗻𝗸𝘀 𝗗𝗲𝘀𝘁𝗿𝗼𝘆𝗲𝗱 𝗯𝘆 𝗛𝗲𝘇𝗯𝗼𝗹𝗹𝗮𝗵… Hezbollah has announced the destruction of two...
Back
Top Bottom