israel

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Netanyahu tu ndio analaumiwa Israel huku Rais wao akiachwa? Kwa nini ICC haijamtaka Rais ambaye ni mkuu wa nchi Israel?

    Tangu vita vya Israel na Hamas vianze anayesemewa kwa mabaya yote ni waziri mkuu tu wa Israel Benjamin Netanyahu wakati Israel wana Rais ambaye anasaini kila kitu! Kwa nini Rais wa Israel amenyamaziwa katika shutuma inazotupiwa Israel kuhusu utendaji wa jeshi lake dhidi ya Hamas wakati yeye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

    Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas yatuma ujumbe kwa Israel na walowezi, mtawamaliza mateka wenu kuwa mabomu

    Wanaukumbi. Thirty three Zionist captives were killed and some of them are missing, because of the criminal Netanyahu and his fascist army. By continuing your insane war, you may lose your captives forever. Do what you must do before it is too late. ============== Hamas yatuma ujumbe kwa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

    Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH" watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Israel ataanzisha mashambulizi makubwa mara tu Donald Trump atakapoanza Rasimi Uongozi wake hapo January

    Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole. Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King? Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha vita Gaza??.. yaan Trump aloitambua Jerusalemi kama mji Mkuu wa Israel? Subirini, sahizi Israel...
  6. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kile ambacho Israel inakifanya Gaza inaumiza sana. Hezbollah na Hamas mnatizama tu?

    Toka mwanzo nlisema hawa Israel suala la watu wao kutekwa walikuwa wanatafuta tu sababu. Now wamezidi imega Gaza. Wame advance kuchukua eneo kubwa zaidi Gaza. Wamejiongezea maeneo zaidi. Hawa jamaa waliitaka hii vita kwa hima fahima. Hii Vita ilianzishwa kiujanja ujanja sana. Israel walitaka...
  7. ward41

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kazi za ubunifu cha wa Israel ni hiki hapa

    Hawa watu wamekuwa wabunifu tangu zamani na Walipewa hiyo roho na Mungu MWENYEWE
  8. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Israel yasambaratisha kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah

    Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini: SOURCE...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  10. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Israel haitaki kusitisha mapigano yaendelea kushambulia Lebanon

    Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano yasimame. Huu ni ushahidi toka Al Jazeera siyo websites za vichochoroni za kinazi.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Hakujawahi kuwa na rafiki mkubwa wa Israel kutoka ikulu ya Marekani wa kumzidi Donald Trump

    Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel. Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
  12. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Madam Nderitu Mama Mkenya Ofisa wa UN Afukuzwa kazi kwa kulazimisha kusema Israel inafanya mauaji ya Kimbari - Inawezekana amekuwa kilaza

    Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
  13. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Wadau tuliangalie hili la Israel na vita vyao

    Kuna mambo yanashangaza na kustajabisha, Israel inapopigana vita na upande mwingine sikumbuki ni lini aliomba mazungumzo ya kusitisha vita. Ila ikitokea mapambano yanahamia upande wao ni wepesi sana kuomba kusitisha vita, sijaelewa kwanini wanakuwa wepesi kuomba mazungumzo?? Mfano turudi...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tuweka mihemko pembeni, Hezbollah kapigwa kachakaa, pona yao ni Biden kuinyima Israel silaha kulazimisha cease fire

    Wiki iliyopita Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini haikuwa hivyo kwa Rais, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta chochote cha kujisifia kwa siku 60 alizobakiza, Alimwambia Netanyahu akubali kustop mashambulizi lasivyo hamuuzii...
  15. 5523

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

    Hezbollah ilithibitisha "kupata ushindi" dhidi ya Israel, ambayo iliitaja kuwa "adui wa kufikirika", kwa zaidi ya miezi 13, baada ya usitishaji mapigano kuanza kutekelezwa na maelfu ya watu waliokimbia makazi yao kurejea katika miji na vijiji vyao, hasa kusini mwa Lebanon. Hayo yamejiri katika...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wapalestina hawadai kuwa raia wa Israel tu na Itakuaje siku Wapelestina wakitaka kuwa taifa moja na Israel?

    Katika mgogoro wa Israel na Wapelestina ni wazi mpango wa mataifa mawili kama umeshakufa kimya kimya. Fursa moja kubwa iliyobaki ni uwepo wa taifa moja lenye kujumuisha jamii zote mbili za Wayahudi na Wapalestina kama raia walio sawa katika taifa moja. Inawezekana Siku moja Wapestina wakakubali...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu: "Maafa makubwa zaidi katika historia yetu yalitokea wakati wa utawala wa Netanyahu. Hakuna makubaliano na Hezbollah yanayoweza kufuta uzembe huu. Mkataba lazima uhitimishwe haraka kuwarudisha wafungwa na kuwarudisha...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

    Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini? Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa. Ni mingi...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

    Wanaukumbi. Yerusalemu CNN - Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba...
Back
Top Bottom