Israel yasambaratisha kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
22,488
23,324
Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao

Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini:

SOURCE:
 
View attachment 3165750

SOURCE:
Kuna Mossad Ndani ya hizibula.
 
Kumbe yaliositishwa ni mapigano ya ardhini tu, huko kwa anga kipondo bado kipo pale pale
Hadi Ardhini wanakula kichapo wakivuka mstari.

Hezbollah now wameshindwa wafanye Nini wabaki Lebanon au wakamsaidie Assad Syria.

In short Israel ameua ndege kadhaa kwa Jiwe moja.

Kapiga
Hamas,
Hezbollah
Assad, kamrudisha Iran nyuma Hadi Iraq..

Huko Syria Israel indirect anamsaidia Uturuki na kila mtu anayegombana na vibaraka wa Iran
 
Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao

Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini:

View attachment 3165750

SOURCE:
Hizi excuse kila siku,ye aingie tu lebanon kama bado ana nyege na vita,maana inaelekea bado muwasho upo
 
Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao

Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini:

View attachment 3165750

SOURCE:
Mnanikumbusha ile story ya pesa na dhahabu za Nasurlah zipo chini ya Hospital hahaha, same Storage System Architecture ile ya dhahabu zipo chini ya Hospital mpa US secrets of defence akasema hawaoni dalili na wewe bado unamuamini Israel.

Israel anafanya vile sababu Jeshi la Lebanon ndio wao sasa wako mipakani na Hezbullah hawezi ingilia hio issue, mpa serekali ya Lebanon ikiri Israel kabreak ceasefire. Hapo naona jeshi la Lebanon ni mafala, waseme hatuwezi kupambana na Israel bora Hezbullah irudi hapo uone kama Israel atapiga risasi moja.

Nimefatilia story Israrl anadai yeye katika siku 60 ana haki ya kushambulia kama kaona Hezbullah analeta hatari, na anasema US kampa green light. Je ni kweli au Israel kaona waisrael hawajapendezewa na peace aliyo kubali Shetanyahu, sa anataka aivuruge hio peace.

Je Hezbullah ataendelea kunyamaza au atawambia jeshi la Lebanon rydini nyuma. Siku zitaongea

View: https://youtu.be/ihEnrJRL1dM?si=IP7xcQaxXykl6Rhq

Kosa alilo kosea Rais wa Parliament ya Lebanon na PM wa Lebanon kumuamini US, awape Israel siku 60 za ku pull out. Pia kama kuna hatari wafyatue risasi hapo ndipo US na Israel wameona wawaonyeshe ubabe. Huyo PM na Rais wa Parliament vipi wamemuamini US kumpa 60days chance za kushambulia object ambayo wanaona itawadhuru Israel, hilo ni kosa kama ni kweli wanacho ongea Israel.

US siwakumuamini kachora draft we siku 60 umpe chance Israel afanye alitakalo, hi point navyo jua ni ku pull out sio afanye alitakalo. Kama ni kweli Lebanon wameingia cha kike vipi ukubali ujinga huo, Israel atasema nimeona kuna hatari inabidi nishambulie. Sijui nani Muongo hapo Israel au mkataba.
 
Mnanikumbusha ile story ya pesa na dhahabu za Nasurlah zipo chini ya Hospital hahaha, same Storage System Architecture ile ya dhahabu zipo chini ya Hospital mpa US secrets of defence akasema hawaoni dalili na wewe bado unamuamini Israel.

Israel anafanya vile sababu Jeshi la Lebanon ndio wao sasa wako mipakani na Hezbullah hawezi ingilia hio issue, mpa serekali ya Lebanon ikiri Israel kabreak ceasefire. Hapo naona jeshi la Lebanon ni mafala, waseme hatuwezi kupambana na Israel bora Hezbullah irudi hapo uone kama Israel atapiga risasi moja.

Nimefatilia story Israrl anadai yeye katika siku 60 ana haki ya kushambulia kama kaona Hezbullah analeta hatari, na anasema US kampa green light. Je ni kweli au Israel kaona waisrael hawajapendezewa na peace aliyo kubali Shetanyahu, sa anataka aivuruge hio peace.

Je Hezbullah ataendelea kunyamaza au atawambia jeshi la Lebanon rydini nyuma. Siku zitaongea

View: https://youtu.be/ihEnrJRL1dM?si=IP7xcQaxXykl6Rhq

Kosa alilo kosea Rais wa Parliament ya Lebanon na PM wa Lebanon kumuamini US, awape Israel siku 60 za ku pull out. Pia kama kuna hatari wafyatue risasi hapo ndipo US na Israel wameona wawaonyeshe ubabe. Huyo PM na Rais wa Parliament vipi wamemuamini US kumpa 60days chance za kushambulia object ambayo wanaona itawadhuru Israel, hilo ni kosa kama ni kweli wanacho ongea Israel.

Sawa msemaji wa Hizibolla
 
Back
Top Bottom