israel

  1. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Benjamini Netanyahu awatakia wakristo wote Krismasi njema

    Marafiki zangu wapendwa Wakristo, mnapokusanyika pamoja na familia na marafiki zako Krismasi hii, ninawatakia jumuiya ya Wakristo katika Israeli na ulimwenguni kote baraka za Krismasi Njema kutoka Nchi Takatifu. - BENJAMINI NETANYAHU...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Magaidi 15 wa Israel ambao wanaua watoto Gaza maiti zao zimepelekwa Israel

    Wanaukumbi. ⚡️15 Israeli terrorists were eliminated by the resistance since the start of December according to Israeli announcements (the real number is more). =============== Magaidi 15 wa Israeli waliondolewa na upinzani tangu mwanzo wa Desemba kulingana na matangazo ya Israeli (idadi halisi...
  3. Bams

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Aapa Kutumia Nguvu Kubwa Kuwapiga Houthi; Mkuu wa Mossad Ataka Israel Ianze Kuipiga Iran.

    Baada ya shambulio la kombora la Houthi tokea Yemen kutua eneo la wazi, na kujeruhi kiasi watu 16, huku mitambo ya ulinzi wa anga ya Israel ikishindwa kulizuia, jana Jumapili 22 Oktoba 2024, Baraza la vita la Israel lilifanya kikao na kuufikia uamuzi kuwa Houthi wa Yemen wapigwe kwa nguvu kubwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Iran kutumia njia ya anga kupelekea silaha kwa magaidi ya Hezbollah, njia ya ardhini kupitia Syria imedhibitiwa na Israel baada ya kuangushwa Asad

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Iran sasa imeamua kutumia njia ya anga kupitia uwanja wa ndege wa Beirut kusafisha silaha nzito kwa washirika wao ambao ni magaidi ya Hezbollah Mazungumzo mazito yanaendelea muda huu huko tehran Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Live Update arrow...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa picha Abdul-Malik al-Houthi Kiongozi Mkuu wa waasi wa kihouthi huko Yemen wanaopambana na Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwawekee angalao picha yake mumfahamu Anezaliwa 22 May 1979 Nihayo kwaleo, niwatakie siku njema
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

    Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

    Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA. Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI. Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa...
  8. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran haitaacha Kutoa sadaka waarabu katika malengo ya kuifuta Israel

    Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili. Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani ✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa ✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake...
  9. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Je,Taifa la Israel limeshatimiziwa ahadi na Mungu wa Yakobo?

    Sijatambua ni mungu wa aina gani ambaye anaabudiwa na wanawaisrael sababu kubwa ni kwamba. Kipindi yakobo anatokewa na Mungu beer sheba kama sikosei aliweka jiwe la agano,je hatuoni kiwa kinachoabudiwa ni mizimu ya Israeli?kama tunavyotambua kiwa Mungu ni nguvu na ipo kila mahala inakuwaje lile...
  10. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Tukio la Nabii Musa kuona Moto unawaka kwenye kichaka cha majani mabichi kujirudia tena tarehe 20&21 Dec2024 nchini Israel Mlima Karkom! Je tulipigwa?

    Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la shabaha kwa silaha za moto la IDF, tarehe 20-21. Desemba 2024 Watu wataruhusiwa kuzuru Mlima Karkom...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Damascus: Shambulizi la anga la Israel lasababisha tetemeko la aridhi nchini Syria

    Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800. Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo. Jeshi la...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Je Israel imeshindwa kuwaokoa mateka?

    Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
  13. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania Israel yamuua Kamanda wa Hamas Fahmi Salami

  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Iran ndiyo ingekuwa Israel, Ritz na FaizaFoxy wangekuwa wanajidai hao

    Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote. Aah Israel ni Israel tu, yani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure

    15 December 2024 Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure https://m.youtube.com/watch?v=FeeoVkgzMv0 Na Musonda Mwewa ZNBC Timu ya madaktari maarufu wa kimataifa wamewasili nchini Zambia kufanya upasuaji wa kuokoa maisha ya watoto 25 wanaougua matatizo ya...
  16. ward41

    JamiiForums Tanzania KILA KUNDI, TAIFA LINATAKA AMANI NA ISRAEL, (Silaha Zote Zimeshindwa).

    Hili ni taifa teule la Mungu. Pamoja na Kuzingirwa na maadui pande zote yaani Hezbollah, Houth, Hamas, Iran, Russia na silaha kutoka kila upande wa dunia, bado Israel imeibuka kidedea. Ushindi huu Sisi wengine mapema tuliona. Tulionya pia kwamba hawa maadui watapigwa. Kweli dunia imeshuhudia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Gaza: Mpango wa amani kati ya Israel na Hamas uko karibu kufanikiwa

    Matumaini mapya ya kusitisha vita vya GAZA yaanza kuonekana mara baada ya Wapatanishi (Misri na Katari) kueleza kuwa, kundi la wapiganaji la HAMAS limebadili Msimamo wake wa awali wa kutotoa orodha ya mateka walioko hai mpaka sasa. Kundi la wapiganaji la HAMAS limekubali wanajeshi wa ISRAEL...
  18. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Utawala mpya wa Jawlani nchini Syria waiandikia barua UN Security Council wakilalama kuhusu Israel kuendelea kujitwalia maeneo ya ardhi yake zaidi

    Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Assad alikuwa spy wa Israel nchini Syria

    Nimeona barua inayodaiwa kupatikana kwenye kavazi la aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad ikimhusisha kuwa alikuwa akitumiwa na intelijensia ya Israel kufanikisha baadhi ya mipango yao. Lugha iliyotumika nimeshindwa kuielewa maana si mjuzi wake.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

Back
Top Bottom