israel

  1. G

    JamiiForums Tanzania Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  2. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Kabila la Kiarabu la Druze huko Syria milimani Golan wanataka eneo lao lichukuliwe na Israel.. Wasema bora kuishi na Shetani umjuaye kuliko usiyemjua

    Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli. Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria wameamua Israel iwatwae, Israel 'wanauovu mdogo' mbele ya uwezekano wa kunyakuliwa na waasi wa Syria...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Engineer Hersi analeta utani, kweli Kibabage na Israel Mwenda ndio wakakabe mawinga wa Esperence wakiwa wanatafuta goli? Yanga tunatapeliwa na gsm

    Habari wadau Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana. Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana Engineer amebadilika kama zuwena Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda. Nawazaa...
  4. ward41

    JamiiForums Tanzania Netanyahu ni roho ya mfalme Daudi

    Ujasiri na Uhodari wa Benjamin Netanyahu kwenye ulimwengu wa kivita ni copy and paste ya King David. Mfalme David alikuwa hodari na jasiri Sana linapokuwa suala LA Vita. Utawala wa mfalme David ulijaa vita miaka 40. Na ni nadra Sana David alipigwa. Kutokana ni hilo kwenye bendera ya Israel...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel Iajiandaa kushambulia mitambo ya kuzalisha silaha za nyuklia ya Iran, ni fursa muhimu kufuatia kuangushwa utawala wa Asad wa Syria

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Usiku mwema inshallah IAF continues preparations for potential strikes in Iran IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

    Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na kuharibu uwezo wa Iran wa kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa mwaka mmoja. Ndege za...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wapiganaji waliompindua Assad hawaishambulii Israel iliyoingia ndani mwa nchi walioyoiomboa

    Israel imeingiza vifaru kwenye eneo la kijiografia la Syria. Kinyume cha utaratibu. Inashambulia uti wa mgongo wa jeshi lililoshindwa la Syria. Kana kwamba wanataka serikali itakayokuja hata kama ni yawa wanamgambo wasiwe na kifaa chochote cha kijeshi cha maana. Kwa nini hawa waasi...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Gaza haitamaniki imepigika haswa, Israel wanaendelea kufumua mitaro ya mahandaki na kushusha majengo

    USIAANZISHE VITA USIYOIWEZA, UKILIANZISHA USILALAMIKE UKIKANDWA !! N:B: Majengo yanayolipuliwa kwenye video hayana watu, kama wamo ni magaidi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa anachokifanya Israel huko Syria, nimehitimisha kuwa Bashar al Assad alikuwa mtu sahihi ila wananchi walipatwa tu na mzuka na wivu

    Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria; Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote. Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika...
  10. ward41

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi walipanga kuliaangamiza taifa la Israel

    Matamshi ya kutaka kuliaangamiza taifa la Israel hayakuanza Leo. Viongozi wengi Wamefanya hivyo tangu zamani. Baadhi ya hao viongozi ni 1) Pharaoh 2) Haman 3) Nebuchadnezzar 4) Belshazzar 5) Sennacherib 6) Saddam Hussein 7) Ahmadenajad 8) Raisi 9) Adolf Hitler 10) Iddi Amin Pamoja na hayo...
  11. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Huyu Israel Mwenda amshindia nini Kibabage? Mi Yanga sasa yanchanganya

    Mi sasa nshachanganyikiwa. Yaani si hatukona mchezaji mwingine mpaka enda chukua hii mibaki ya Simba? Aaah huyu alikuwa akikaa bench pale Singida. Kweli viongozi wangu mwatuletea mtu mwenye jina la Israel kwel kwenye team yetu? Aaah huyu acheza mpira na Simba walimwacha?
  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

    Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east. Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS. Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kiongozi gani anaweza kushtakiwa kama anavyoshitakiwa Waziri Mkuu wa Israel?

    Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani? Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi. Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Israel inaachiwa ifanye itakavyo hapo Mashariki ya Kati

    Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati? Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi? Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

    Wanaukumbi. Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus. Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia...
  17. ward41

    JamiiForums Tanzania Taifa la Israel ni msingi wa Kanisa

    Hii ni elimu ya juu Sana. Kama uelewa wako ni mdogo, utabaki kupolomosha matusi. Taifa LA Israel limejengwa juu ya watoto 12 wa Yakobo. Miongoni mwa wale watoto, alikuwepo mtoto kwa jina la YUDAH. Kutokana na huyo mtoto, Yesu alizaliwa kwenye huo ukoo. (Ndiyo maana anaitwa Simba wa Yudah)...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania 'The Greater Israel' inakuja ,hizi ni rasharasha

    Kwa Wayahudi, Nchi waloahidiwa, kihistoria inaenda mpaka kuchukua sehem za Syria,Jordan, Uturuki ,Misiri, Lebanoni. Mnaweza msiamini, ila Israel tayari ndo kaifuta Palestina, Baada ya Trump kuanza kazi Rasimi, Israel anaenda kuchukua WEST BANK, NA GAZA. Kwa mara ya kwanza Ndani ya miaka 50...
  19. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania After the fall of Assad ,the evil U.S. and Israel governments bombing Syria to remove all evidence and kill any one who can testify against them

    The United States Air Force has begun bombing Syria. After the fall of the Syrian government, and the resignation of President Bashar al-Assad, who fled to Moscow, Russia earlier today, the United States has commenced bombing targets inside the defenseless country. This is the true nature of...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
Back
Top Bottom