israel

  1. Wayahudi halisi ni weusi , wale waliopo pale Israel ni wamchongo, mda ukifika wayahudi halisi (weusi ) watakuja kuchukua nchi yao

    Unajiita nchi teule alafu eti, mnaua watu wasio na hatia ( hasa watoto wadogo )....alafu mnajitetea kwa kivuli cha kuwa nyie ni TEULE, hapana hapana!!, tumeshtuka. Mimi naamini kwenye maandiko ya Biblia takatifu, hawa wa Israel wa sasa ni wa mchongo, waisraeli halisi bado wapo utumwani(...
  2. Trump na Netanyahu wamalizia mpango wa kuifuta Gaza na Hamas nao waidondoshea kombora 5 nzito miji miwili ya Israel ambayo yameleta madhara.

    Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo. Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
  3. Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikaribishwa white-house na rais wa Marekani Donald Trump

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii amepokelewa White-house na Rais wa Marekani Donald Trump Wakiwa kwenye kikao chao watazungumza mambo mbalimbali yakiwemo vita vinavyoendelea na Hamas na Saula la Iran kushutumiwa kuwasaidia magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth huko Yemen. Ma...
  4. Mtambo wa mfumo wa ulinzi wa anga wa thaad watua israel tayari kwa kazi maalum!!

    Marekani imepeleka mtambo wa pili wa mfumo wa ulinzi wa anga wa THAAD kwa Israeli huku kukiwa na mvutano unaoongezeka juu ya mpango wa nyuklia wa Iran, kulingana na Saudi Al-Hadath. Mfumo huo ulitolewa kupitia ndege ya usafiri ya Jeshi la Anga la Marekani C-5M Super Galaxy. Mfumo wa ulinzi wa...
  5. Majeshi ya Israel kikosi cha vifaru vikivinjali katikati ya Jenin leo hii

    Majeshi ya Israel leo hii yameingia na vifaru huko Jenin ambako majeshi hayo yamekuwepo huko kufanya Operation za kuwafyeka magaidi
  6. Hassan Masana, Gaidi aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7, aangamizwa Khan Younis

    Gaidi aliyejifanya kuwa mwandishi wa habari, Hassan Masana, aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7 na ambaye aliongozana na magaidi hao naye ameangamizwa baada ya mashambulizi ya ndege za israel huko Khan younis kumjeruhi vibaya baada ikaripotiwa katutoka Mwandishi huyu alikuwa na nafasi ya kuzuia...
  7. Maroketi ya Hamas yapiga shabaha ashkelon Israel

    Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu yaliyotengenezwa na kwa malighafi laini kuliko mifupa na minofu ya binadam ndiyo yaliharibiwa vibaya...
  8. Defense Minister Katz reveals: Iran funded Hamas with $500 million to destroy Israel

    Defense Minister Israel Katz revealed for the first time documents found in Hamas tunnels, proving a direct connection between Yahya Sinwar and Muhammad Deif and the commander of the Iranian Quds Force. In the documents, senior Hamas officials demand $500 million from Iran for the destruction...
  9. Imekuwaje Iran Dhaifu KUWA na Vikundi karibu na Israel wakati Israel/US hawana hata migambo wa kukodi ili kuisumbua Iran?

    Kiuwezo US/Israel wako juu mara mia KWA Iran. Wanawashirika karibu Kila nchi ya kiarabu. Inasemekana hata kiongozi wa ISIS Albagdad alikiwa ni Mossad. Osama alikuwa CIA. Najiuliza nchi kama Israel/US wameweje kuruhusu Iran ikatengeneza Hesbullah karibu na Israel, Ikawapa nguvu Hamas karibu na...
  10. Kabla kumalizana na Hamas na Hizbullah, kwa Israel kuingia Syria na kuichoza Uturuki ndio kupagawa kwenyewe huko na kujitumbukiza shimoni.

    Sio kificho kusema Hamas na Hizbullah wameumizwa sana kijeshi japo kuna tofauti kati yao.Na vile vile ni wazi kuwa Israel imepagawa ikijiona kama imeshinda. Kupagawa kwa Israel kunaonekana kwamba wamejiamini kuendelea kushambulia maeneo ya Syria kwa visingizio na bila kizuizi.Karibuni kabisa...
  11. Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  12. Heche anapolinganisha Israel na mikoa ya Tanzania ni uchovu wa kufikiri, Israel inalelewa na Marekani kama last born,wachumi wamjibu!

    Kama kuna mahali mabilioni kama sio matrilioni ya dola yanamwagwa, ni Israel. Kila wanachokifanya asilimia 95 ni mmarekani ndiye anafanya. Nashangaa kiongozi wa kitaifa wa chama anashindwa kujua hilo. Hata risasi zinazoua Gaza ni za Marekani. Wachumi wamsaidie. Mmarekani anacholeta Tanzania...
  13. Maadui wa Israel popote hawana usalama

    Maadui wa Israeli hawako salama popote. Kiongozi wa Namba 1 wa Hamas, Sinwar, aliangamizwa Gaza 🇵🇸. Kiongozi wa namba 2 wa Hamas, Haniyeh, aliangamizwa Iran 🇮🇷. Kiongozi nambari 1 wa Hezbollah, Nasrallah, aliondolewa nchini Lebanon 🇨🇦. Israeli itaendelea kuwawinda magaidi popote walipo!!
  14. R

    Israel anafanya extermination ya Wapalestina huko Gaza, dunia imenyamaza

    Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel. Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza. It is very disheartening indeed...
  15. Waziri mkuu wa Israel akitoa maelezo yanayojiri huko Gaza

    Sasa tunapitia Ukanda wa Gaza, na tunaongeza shinikizo hatua kwa hatua, kuteka maeneo na kuwaondoa magaidi." https://x.com/vividprowess/status/1907465451640115531?s=61
  16. Israel Yatangaza Kuchukua Maeneo Gaza Ikiwaamuru Raia Kuyahama Makazi Yao

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza upanuzi mkubwa wa operesheni ya jeshi huko Gaza inayohusisha unyakuzi wa maeneo makubwa ya ardhi ambayo "yatajumuishwa katika maeneo ya usalama ya Israeli." Katika taarifa hiyo, Katz amesema operesheni hiyo pia itahusisha uhamishaji mkubwa wa...
  17. Marekani kuilazimisha Iran iachane na nyuklia wakijua wao na Israel wanazo.Si ndio kulazimisha ujinga huko.

    Kisingizio kikubwa cha Marekani kutaka kuipiga Iran ni kwamba eti lazima iingie makubaliano mapya nayo katika muda uliowekwa na Marekani ili ipokee masharti mapya au ikishindwa ipigwe. Iran imesema hata wakitaka kufanya majadiliano mapya basi si kwa njia ya vitisho kama hivyo.Na kwamba wakipigwa...
  18. Hongera sana majeshi ya Israel kwa kuwabana magaidi wa Hamas mpaka wamekubali kuwaachia mateka wote

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema "Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya. Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
  19. Tv channel-14 ya Israel ikitoa uchambuzi jinsi atakavyopigwa Iran!

    Israel Channel 14: "Shambulio kubwa dhidi ya Iran litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili."
  20. Uchambuzi : Marekani na Israel inakuza na kulea Ugaidi na Magaidi

    Moja kwa moja... Kabla sijaanza mada yangu ningependa kuweka wazi msimamo wangu wa tokea awali katika yale yanayoendelea Gaza ; 1. Siwaungi mkono Hamas na njia wanazotumia ambazo hazikubaki kidini wala kikawaida tu , ukijumlisha utekaji wao wa watoto , Wazee , wanawake na makandokando yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…