israel

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

    Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine? Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo. Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena...
  2. JamiiForums Tanzania Raia walionywa waondoke Tehran, sasa Israel imeanza mapigo rasmi, msije kulaumu, mlipewa muda wa kuondoka

    Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga.... Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT) An evacuation has been issued to...
  3. JamiiForums Tanzania Utawala wa Ayatollah ni muovu sana ila Marekani na Israel wanajichanganya sana pia

    Kabla ya Trump kuingia madarakani awamu ya kwanza, Obama alikuwa amefanikisha kupatikana kwa makubaliano ya udhibiti wa nuclear Iran yaliyojulikana kama Joint Comprehensive Plan of Action(JCPOA) mwaka 2015 ambayo ilikuwa ni kuhakikisha Iran inarutubisha uranium kwa matumizi ya kiraia tu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Iran kurusha video za rubani wa Israel waliyemdungua

    Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko
  5. JamiiForums Tanzania Sababu za mgogoro wa Israel na Iran

    Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu: 1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu mliopo Israel na Iran, ni vyema mkaondoka katika nchi hizo mapema

    Huyu jamaa alikuwa anatafutwa kuguswa kwa bahati nzuri ameguswa,
  7. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

    Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada. Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran. Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena. Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo...
  8. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Iran dhidi ya Israel kunatupa mafunzo yafuatayo;

    Mpo salama! Tunajua kabisa Iran inaonewa na kudhulumiwa lakini ndivyo mambo ya falme na tawala za dunia zilivyo. mdogo kumtii Mkubwa. Na kama mdogo akikaidi basi njia zozote hata zisizo halali hutumika. Mwanadamu ni Mnyama aliyechangamka. Mifumo yake ya utawala haiko mbali na wanyama wa...
  9. JamiiForums Tanzania Israel imemuua Ali Shadmani mshauri mkuu wa Kivita wa Ayatollah

    Hali inazidi kuwa tetes hivi Israel inawapataje hawa? Hili ndo swali ninalojiuliza kila wakati. Maana naona wao wanaua mara moja tu. Sisi tulishamuua sana Benjamini Netanyau kwa mujibu wa Ritz kipindi flani alikuwa kila mara akipost habari za kuuawa kwa Netanyau.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Israel ni mkuu

    Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Israel yaweka udhibiti mkali wa taarifa kuhusu vita yake na Iran

    Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa? Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel. Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari. Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel...
  12. JamiiForums Tanzania Vita vya iran na israel umbali wa nchi hizo unafanywa teknolojia hivi TZ tutaweza.

    Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali. Sasa hapa kwetu tuna uchumi mzuri kuliko marekani na ulaya ndio natafakari. Nimeona aina za makombora wanayotumia...
  13. JamiiForums Tanzania Vita ya Israel na Iran .. tuna safari ndefu kama taifa

    Niliacha kufuatilia au kusikiliza hotuba za rais Samia au wateule wake baada ya kuona hajui anachoongea. Ukifuatilia vita hii utaamini maneno ya Donald Trump kwamba nchi zetu ni Shit-holes (mashimo ya uchafu) Hivi bara la Africa ( nchi zote 52) Zina uwezo kijeshi nusu ya inaonesha Iran au Israel?
  14. JamiiForums Tanzania Je, Vita ya Israel na Iran Inaweza Kugeuka Vita ya Kidunia? – Uchambuzi wa Kijasusi

    Vita kati ya Israel na Iran sasa si tena mivutano ya chini kwa chini. Ni vita ya moja kwa moja, yenye mashambulizi ya makombora, drones, na mashambulizi ya anga yanayoathiri raia na miundombinu. Swali linalozidi kuulizwa sasa ni: Je, vita hii inaweza kusambaa hadi kuwa vita ya kidunia? Huu hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Trump: Iran, Israel zinahitaji 'kupigana' kabla ya kupatana

    Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana "kufikia makubaliano" ya kusitisha mapigano lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji "kupigana" kwanza kabla ya kuafikiana.Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo...
  16. JamiiForums Tanzania Trump aliiambia Israel isimuue kiongozi mkuu wa Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amekataa mpango wa Israel wa kumuua Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, maafisa watatu wa Marekani wameambia mshirika wa BBC wa Marekani CBS News. Trump aliripotiwa kumwambia Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba kumuua Khamenei "si wazo zuri"...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa onyo la kuhama mara moja watangazaji wa vituo vya habari vya Israel vya N12 and N14

    Iran yatoa onyo la kuhama mara moja watangazaji wa vituo vya habari vya Israel vya N12 and N14, taarifa kamili hapo chini kwa kimomboIran issues evacuation warning for Israeli news channels after broadcaster attack: state TV By AFP Today, 10:06 pm 1 Iran has issued evacuation warnings for...
  18. JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu: Kumuua kiongozi wa juu wa Iran ndio kutamaliza mzozo

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema haondoi uwezekano wa kumuua kiongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, akisema hiyo ndio namna ya kuumaliza mzozo baina ya Israel na Iran ambao ni mahasimu wakubwa. Netanyahu amesema hayo kwenye mahojiano na kituo cha utangazaji cha ABC News...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Iran wanauwawa na Israel

    KWANINI VIONGOZI WA IRAN WANAUWAWA NA ISRAEL. Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Monday -16/06/2025 Marangu Kilimanjaro Tanzania. Pengine hili ndio swali la msingi la kujiuliza, toka mwaka 2023 Israel imefanikiwa kuwauwa viongozi wa juu kabisa wa Iran kwa kasi kubwa na kwa ufanisi mkubwa sana...
  20. JamiiForums Tanzania Katika vita ya Israel na Iran, wakati Israel anapiga kichwa cha Iran, huyo Iran anapiga mkia wa Israel

    Mod usifute huu uzu. Sijapendelea upande wowote ila nimesema ukweli. Nimefuatilia kwa karibu huu mzozo lakini nimegundua kitu cha tofauti. Iran inatuma utitiri wa mabomu ilimurani yepenye na kuanguka katika ardhi ya Israel. Wakati huo Israel ina mfumo wa kuyaripua yakiwa angani hivyo machache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…