israel

  1. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yanyong'onyea, Yawaomba Msamaha Nchi Jirani. Trump Asema Marekani Itafanya Shambulizi Kubwa Leo

    Iran, baada ya kauli za kibabe kuwa atapiga nchi zote marafiki wa Marekani Mashariki ya kati, baada ya kurusha makombora hovyo hovyo kwa nchi za kiarabu, na Waarabu kuamua kuwa na kikao kesho ili kupambana kwa pamoja dhidi ya Iran, leo Rais wa Iran ameyaomba radhi mataifa jirani. Iran's...
  2. JamiiForums Tanzania Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  3. JamiiForums Tanzania Esmail Qaani aliyemchomesha Ayatolla Khamenei yuko hai Israel

    Esmail Qaani Yuko Hai Israel: Siri ya Usaliti Mkubwa Mashariki ya Kati Ripoti za kijasusi zimeibua tetesi nzito zikidai kuwa Esmail Qaani, mkuu wa Kikosi cha Quds, yuko hai nchini Israel baada ya kutoroka Iran kwa siri. Inadaiwa Qaani alishiriki kikamilifu kutoa ramani na siri zilizopelekea...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Israel Yawatangazia Wananchi Wake Nchi Nzima Kuwa Hakuna Haja ya Kukaa Tena Kwenye Nyumba Za Kujikinga

    Israel, kutokana na kuzungukwa na mahasimu imewekeza sana kwenye kuwalinda wananchi wake, ambapo katika nchi nzima kuna nyumba za ardhini ambazo hata kama bomu likipigwa, waliopo chini wanakuwa salama. Hivi karibuni, Israel ilipoanza kuishambulia Iran wananchi wake waliambiwa kuwa tayari...
  5. JamiiForums Tanzania TB Joshua alitabiri kichapo cha Iran tokea Israel miaka 12 iliyo pita

    KWELI UNABII LAZIMA UTIMIE ============ Tarehe 5 Februari 2012, mchungaji marehemu Temitope Balogun Joshua (TB Joshua) alitoa unabii akizungumzia mvutano kati ya Iran na Israel, akionya kwamba mvutano huo unaweza kugeuka kuwa vita kubwa na kuhusisha mataifa mengine duniani kama vile United States.
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel

    Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
  7. JamiiForums Tanzania Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda President Museveni Recounts Conversation with Iranian Leaders on Israel Recognition

    President Yoweri Kaguta Museveni has shared insights from a past diplomatic conversation with Iranian leaders regarding the long standing tensions in the Middle East. Speaking in a video shared by Uganda Broadcasting Corporation (UBC TV), Museveni recalled asking Iranian officials why their...
  9. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Iran na Israel: Media za Tanzania kaeni kimya tu

    MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA. Tukubali tukatae ila Tanzania tuna media za kipuuzi kuwahi kutokea, sio Clouds, IPP Media, mwananchi ila Media za Tanzania kwa 90% ni utumbo kabsa. Mwaka uliopita, wakati Tanzania ikipitia kipindi kigumu cha mvutano wa kisiasa baada ya uchaguzi, taarifa...
  10. JamiiForums Tanzania Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran

    Niaje waungwa Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky. Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi...
  11. JamiiForums Tanzania Iran yatishia kushambulia kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel

    Afisa wa jeshi la Iran amesema kuwa jaribio lolote la Marekani au Israel la kujaribu kuupindua utawala wa Iran kupitia “machafuko ya silaha” litakabiliwa na jibu la moja kwa moja ambalo linaweza kujumuisha kulenga kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel. Afisa huyo aliongeza, katika matamshi...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Israel + Marekani vs Iran

    Kwa miaka mingi, Marekani na Israel zimekuwa na hofu kuwa Iran inatengeneza bomu la nyuklia. Israel anaamini bomu hilo likikamilika, Iran italitumia kuifuta nchi yao kwenye ramani, hivyo wamekuwa wakitafuta namna ya kuzuia mpango huo kwa nguvu. madarakani Januari 20, 2025, aliweka msimamo mkali...
  13. JamiiForums Tanzania Israel waonya yeyote atakayekubali uteuzi wa kumrithi Ayatollah, ajiandae kufa

    Yaani kinaitwa kiti moto, kalia hicho kiti ukijua muda wowote utashushiwa kitu kizito, hata ukijificha ndani ya mahandaki kama alivyofanya Ayatollah, kuna aina ya mabomu hufumua handaki. Israel imeteka anga, hivyo ndege zinaruka zikitafuta pakupiga. Iran kwa sasa ipo pabaya sana maana humo...
  14. JamiiForums Tanzania Iran yazionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani. Alisisitiza kuwa hatua yoyote dhidi ya Iran itatafsiriwa kama ushirikiano na wale wanaoishambulia nchi hiyo, na itachukuliwa kama kitendo cha kivita. Kauli yake...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Israel yalipua na kusambaratisha jengo ambalo kulikuwa na wajumbe waliokuwa wakipanga kumchagua mrithi wa Ayatolla

    Kumekuchaaa. Haijulikani kulikuwa na Wajumbe wangapi na wangapi wameuawa. ========= Mashambulizi ya K Израeli na Marekani yamepiga jengo la taasisi inayohusika na kuchagua kiongozi mpya mkuu wa Iran, tayarishwa na vyombo vya habari vya ndani. “Wahalifu wa Kimarekani na Kizayuni walishambulia...
  16. A

    JamiiForums Tanzania USA na Israel wanaomba nchi nyingine ziwasaidie kupigana na Iran

    Kutokana na ripoti za mapema Machi 2026, Marekani na Israel zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa makombora ya kuzuia ulinzi wa anga impamoja na mifumo ya Arrow na THAAD . Kuna hatari sana kupigana kwa mda mrefu na Iran. Wachambuzi na maafisa wanaonya kwamba mashambulio yakiendelea kwa nguvu ya juu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu: Vita na Iran haitadumu kwa miaka, inaweza kufanyiwa maamuzi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema anatarajia vita dhidi ya Iran “haitaendelea kwa miaka mingi,” wakati mzozo huo ukiendelea huku Israel akilenga zaidi kushambulia Hezbollah wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon, na Iran nayo ikishambulia nchi za Ghuba zinazohifadhi kambi za...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Askofu Suguye kuhusu vita ya Marekani, Israel na Iran asisitiza siyo vita ya Kidini

    Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran, Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wapenda Amani na wanaovijua vichwa vya US na Israel ni bora Iran ipigwe chapchap maisha yaendelee

    Ukweli ni kwamba US na Israel hawakubali kuaibika, hawakubali kushindwa. Hakuna sheria inayowazuia kufanya lolote hata kutumia Nyuklia kuangamiza Tehran yote ili waonekane washindi Kuna taarifa zilivuja kwa dakika chache kuonyesha Meli la kivita Abraham likiwa limevurugwa vibaya huko...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…