Habari zenu wana JamiiForums, nimatumaini yangu wote ni wazima na wale wenye changamoto za hapa na pale nawaombeeni mzivuke salamaa..
Sasa basi kwakuwa jukwaa letu hili ,, linatuleta watu toka sehemu mbali mbali za nchi yetu ya Tanzania ,, leo nimeona niwaletee picha mbali mbali za mkoa wa...