irani

  1. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Irani itatekeleza hukumu ya kifo kwa watuhumiwa hawa 7 ambapo 2 wanauraia wa Uingereza?!

    Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi, Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
  2. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Maandamano Irani: Ayatollah Ali Khamenei azinyooshea kidole cha lawama Marekani na Israel kwa kuchochea machafuko nchini kwake

    Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani. ============================ Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuwa Taifa kubwa kwa Intelijensia baada ya kumuua Mkuu wa Nyuklia wa Iran

    Niaje niaje, Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo. Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
  4. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Irani kutangaza kuwa Itajibu mapigo yoyote ya Israel nchini Syria, yagongwa tena

    Na kichapo cha Jana kimeharibu maghara mengi ya silaha ambazo ndizo Irani ilijitapia nazo kuwa itazitumia kujibu mashambulizi ya hit and run ya Israel... Nadhani ni wakati wa Iran kufuata ule msemo if you can't fight them join them.. Yasemekana Wafuata mkumbo 8 wa Iran wameuawa... Irani...
  5. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

    Katika hali ya Kutisha iliyoikumba Nchi ya Iran... sasa Wameomba Po na kuomba Marekani iwaondolee Vikwazo katika idara ya Afya ili iweze kupambana na Gonjwa Jipya la Mafua linaloua kwa kasi raia wa Iran ambapo hadi kufikia leo mapema ni Raia 413 walishadanja huku raia zaidi ya elfu kumi wakiwa...
  6. Bf Tulinagwe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Irani wafanya maandamano ya ghasia kushinikiza viongozi wa nchi kujiuzulu

    Maandamano ya amani ambayo baadae yaligeuka yenye vurugu yafanywa na wananchi wa Irani hasa wanafunzi wa vyuo kulaumu kitendo cha kudungua ndege ya abiria ya ukraine kimakosa., Wanahoji ni kwa nini kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatollah Ali Khamenei asiachie ngazi. Balozi wa United...
  7. Ack

    JamiiForums Tanzania Mambo yameiva: Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza

    Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza, mambo yameiva https://youtu.be/mbuRGf5cfNM
Back
Top Bottom