irani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wairan wanafurahia msaada wanaopewa, Wanafurahia viongozi wao kuuawa, Ina maana sisi wengine ndio tunaijua Iran kuliko raia wa Irani ?

    Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe. Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Week hii imechangamka ghafla sana. Huku Israel na Irani wanadundana, ukiangalia kule Pakistan na Afghanistan napo pamoto.

    Warmongers msiishiwe mabando tu ila kazi kwenu😂😂
  3. I

    JamiiForums Tanzania Irani yaondoa meli zake kwenye medani Afrika Kusini

    Iran iliombwa, baada ya siku kadhaa za majadiliano nyeti ya kidiplomasia, kujiondoa katika mazoezi ya kijeshi ya nchi za BRICS yaliyokuwa yakifanyika kwenye pwani ya Afrika Kusini na kukubali kushiriki kama mwangalizi tu, vyanzo vyenye taarifa sahihi vimethibitisha kwa News24. Ombi hilo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hadi Sasa utawala wa Kiislamu katika nchi ya Irani umeanguka kwa asilimia 75%. Tanzania tutafanya kama wairani

    Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na sehemu nyingine nyeti karibia miji yote ya Irani. Khomenei ameukimbia mji mkuu wa Irani(Tehran)...
  5. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Haya maandamano ya Iran ndio anguko la taifa la Kiislamu?

    Kuna Video nimeona inasambaa ikionesha maandamano Nchini Irani kwa siku nne mfululizo je ndio anguko la taifa la Kiislam la Irani Video hii hapa chini
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kama vita vya Israeli na Irani vinaisha, nyie watu wa humu mnao gombana kisa dini lini mtanyamaza

    Acheni hayo mambo ya dini .Nchi yetu ina uhuru wa kuabudu. Wahusika wajirekebishe Uzi tayari.
  7. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

    Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel Na Ile kazi yote...
  8. Singasinga

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la USA kwenye vinu vya nyuklia vya irani lilianza kusukwa miaka 15 nyuma

    Akizungumza leo kwenye press Gen Caine akiwa na Waziri wa ulinzi amesema kwamba shambulizi la jumapili iliyopita kwenye vinu vya nyuklia vya irani lilianza kusukwa miaka 15 iliyopita kwa kufanyia utafiti kila kitu kuanzia mazingira,miundombinu na siraha gani iundwe kwa ajili ya kufanikisha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Kiintelijensia yasema kuwa Marekani Imerudisha Program ya Nyukilia ya Irani miezi mchache tu nyuma

    Taarifa ya vyombo vya Intelijensia vya Marekani imesema kuwa Shambulio la Marekani huko Fordow limerudisha mpango wa Iran wa Nyukilia miezi michache nyuma. Imesema kuwa yale mabomu hayakupenya ipasvyo na kugusa chini kabisa ndani ya mlima Taarifa zaidi unaweza kuipata hapa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Trump anaishukuru Iran kwa kutoa notisi ya mapema ya Marekani, Nina furaha kuripoti HAKUNA Wamarekani waliojeruhiwa

    Trump anaishukuru Iran kwa kutoa notisi ya mapema ya Marekani, anasema sasa ni wakati wa amani "Iran imeitikia rasmi Ufutaji wetu wa Vifaa vyao vya Nyuklia kwa jibu dhaifu sana, ambalo tulitarajia, na tumekabiliana kwa ufanisi sana," Rais wa Marekani Donald Trump alisema katika chapisho kwenye...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumwambia Irani mchezo anaocheza dhidi ya marekeni ni hatari sana kwa Irani?

    Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili: Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo...
  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Marekani yaiomba China iisihi Irani isifunge Strait of Hormuz

    The United States says China should pressure Iran not to close the Strait of Hormuz. WASHINGTON, June 22 (Reuters) - U.S. Secretary of State Marco Rubio on Sunday called on China to encourage Iran to not shut down the Strait of Hormuz after Washington carried out strikes on Iranian nuclear...
  13. MoroGent

    JamiiForums Tanzania Kwanini URUSI haimsaidii IRANI kwenye hii vita?

    Salamu wakuu, Huu ni mshangao wangu na watu wengi kuona Irani inapigwa alafu Urusi yupo kimya hajasema lolote mpaka sasa. Kwangu mimi nilitegemea mashambuluzi ya marwkani itakuwa ndo sababu ya Utusi kumkingia kifua Irani na ingeweza kupelekea WW3, lakini haijawa ivo. Nafikiria sababu nne...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa shambulio hili la Marekani kwenye vinu vya nyuklia vya Irani limehitimisha rasmi vita kati ya Israeli na Irani

    Amesikia Rais wa Marekani Donald Truph akisema hivyo mara baada ya kukamilisha zoezi, na kusema kuwa sasa ni muda wa amani, vita imeisha. Binafsi nimefarijika kusikia hivyo, maana vita sio kitu kizuri. Wananchi wa Irani na Israeli walikuwa wanahaha. Bora vita imeisha.
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Je, waarabu hawaipendi Irani au kuna mapandikizi katika nchi zinazoizunguka Iran?

    Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa muda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba, kila nchi pale Mashariki ya kati itapigwa kwa mda wake. Israel ni taifa mkakati la Marekani dhidi ya jamii ya kiarabu,wao hawajitambui...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Irani yazionya USA, UK na Ufaransa kuacha kuisaidia Israeli kwenye vita

    Iran imezitahadharisha Marekani, Ufaransa na Uingereza kwamba atashambulia kambi zao za kijeshi pamoja na meli zao iwapo zitatoa msaada wowote wa kijeshi kwa Israel. Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itaisaidia Israel kujilinda, huku vuongozi mbalimbqli wa Marekani wamenukuliwa katika...
  17. Maria Nyedetse

    JamiiForums Tanzania Ni nini tunajifunza; vita vya Israel na Marekani kwa upande moja na Irani kwa upande wa pili

    VITA VYA ISRAEL NA IRAN Vita hivi kwa Wachambuzi wengi wa mambo ilikuwa ni jambo lililokuwa likitarajiwa kwa muda sasa hasa ikizingatiwa kampeni ya Israel dhidi ya HAMAS, HESBOLLAH kuanguka kwa utawala wa Syria na Kikundi cha Houthi cha YEMEN. Kampeni hii ililenga kuhakikisha kuwa Israel...
  18. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Irani yalipua banda la kuku Waisrael wanahaha kuzima moto kuokoa Kuku Tzvi

    Timu nyingi za zima moto kutoka kituo cha Hadera zinapambana na moto kwenye banda la kuku huko Ma'ayan Tzvi. Banda la Kuku - Ma'ayan Tzvi Huduma ya zima moto na uokoaji Timu nyingi za zima moto kutoka kituo cha Hadera, chini ya uongozi wa Reshef Idan Khaliva, kwa sasa wanapambana na moto...
  19. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Irani ilijitegea kitendawili cha Kifo tangu siku ya kwanza ya mapinduzi… Cult of death

    Chuki mbaya sana…. Mission zako zikiongozwa na chuki mwisho wa siku Unajinasa kwene mtego wako mwenyewe. Toka 1979 Iran ilivopindua serikali ya kifalme na kuweka serikali ya kiislam Ambayo misingi yake yote kumi ni Death to Israel. 1.Death to Israel 2.Dealth to Israel 10. Death to israel...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyorudisha nyuma Ujasusi wa Marekani kwa miongo mingi nyuma baada ya mapinduzi ya 1979

    Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe. Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa ujasusi wa marekani katika nchi nyingi duniani cordination hufanywa katika balozi za nchi hizo, basi...
Back
Top Bottom