Inakuwaje!
Makaburi mengi mapya yanachimbwa huko Tehran. Kwanini wanaandaa makaburi mapema. Kweli sababu ni korona? Ndio style gani hii ya msiba?
Aidha wanasayansi wote wa nyuklia Iran wameamua kudanganya fani zao wengine kujitambulisha kama wahasibu, wakulima, wana historia, wanajiologia...