Kulikoni, Makaburi mengi mapya yanachimbwa Tehran Iran

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Inakuwaje!

Makaburi mengi mapya yanachimbwa huko Tehran. Kwanini wanaandaa makaburi mapema. Kweli sababu ni korona? Ndio style gani hii ya msiba?
Screenshot_20201202_054618.jpg

Aidha wanasayansi wote wa nyuklia Iran wameamua kudanganya fani zao wengine kujitambulisha kama wahasibu, wakulima, wana historia, wanajiologia, mabwana shamba, mabwana afya, walimu kwa kuhofia kuwa target kutoka taifa teule la Mungu wa kweli.

RTI
 
Ata sisi huku inaweza kuja kutokea tuombe Mungu Dunia ina mengi sana sana yaliyo fichika.
 
Back
Top Bottom