iran

  1. 89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

    Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
  2. Trump amehamisha magoli ya vifo vya Corona kwa kuitisha Iran

    Trump ameamua kujaribu kuhamisha mjadala wa vifo vya wamarekani 5,112 waliokufa na Corona kwa kuitishia Iran. Trump, kwenye akaunti ya tweeter amedai kuwa Iran na mawakala wake wanapanga kushambulia majeshi ya Marekani nchini Iraq Trump ameshindwa kabisa kupambana na Corona sasa ameamua...
  3. Rais wa Iran alaani shambulio lililofanywa na Marekani

    Iraq has condemned overnight US air strikes on Friday, with its military saying they killed six people and describing them as violation of sovereignty and a targeted aggression against the nation's regular armed forces. President Barham Salih said such "repeated violations" could cause Iraq to...
  4. K

    Iran wa dola za Kimarekani bilion 5 kutoka IMF kukabiliana na Covid 19

    Hatimaye leo serikali ya Iran wameipigia magoti IMF ili iwapatie fedha zaidi ya $5bil za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona sasa sijui IMF watawapatia masharti gani. === The Governor of the Central Bank of Iran said he has asked the International Monetary Fund (IMF) for a $5 billion...
  5. Iran: Naibu Waziri wa Wizara ya Afya agundulika kuambukizwa Virusi vya Corona

    Naibu Waziri Iraj Harirchi ambaye amekuwa mstari wa mbele nchini humo katika kupambana na #coronavirus amegundulika kuambukizwa virusi hiyo Msemaji wa Wizara hiyo amethibitisha hayo alipokuwa anafanya mahojiano na chaneli ya runinga ya Taifa na kusema Naibu Waziri huyo amewekwa sehemu maalumu...
  6. Wanajeshi wa Marekani walioathirika ubongo kutokana na shambulio la Iran wafikia 109

    Idadi ya wanajeshi wa Marekani wanaougua majeraha ya ubongo kufuatia shambulio la Iran dhidi ya wanajeshi wa Marekani katika kambi moja nchini Iraq mwezi Januari imefikia 109, kulingana na maafisa wa Marekani. Idadi hiyo iliongezeka kutoka wanajeshi 64 walioripotiwa hapo awali na Pentagon. Rais...
  7. B

    Misaada ya kibinadamu ya Uswisi kwa Iran, Marekani yaafiki

    Kitanzi cha vikwazo kwa Iran chapata mwokozi kunusuru mamilioni ya Wairan Uswiss yajitwisha kuokoa jahazi baada ya Iran kuelemewa na vikwazo walivyowekewa na Marekani. Katika msaada huo wa kibinadamu kwa Iran, Uswiss imeihakikishia Marekani kuwa haitavunja vikwazo zilivyotangazwa. Misaada...
  8. Trump minimizes severity of head injuries in Iran attacks

    WASHINGTON (AP) — President Donald Trump on Wednesday minimized the severity of head injuries sustained by U.S. troops during an Iranian missile strike on an Iraqi air base as he was pressed on why he'd claimed no troops had been injured in the attack. “I heard they had headaches and a couple...
  9. Trump amuonya Ayatollah Khamenei wa Iran. Amtaka kuchunga kauli zake

    Rais wa Marekani, Donald Trump mnamo Ijumaa alimuonya kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kuwa "mwangalifu sana na maneno yake," baada ya kiongozi huyo wa Iran kuitumia hotuba adimu kwa taifa hilo "kuidharau Marekani" na kulitetea jeshi la Iran. Trump aliandika katika ukurasa wake wa...
  10. Iran: Nchi zilizopoteza raia katika ajali ya ndege zadai fidia

    Mataifa yaliyopoteza raia katika ajali ya ndege ya Ukraine iliyodunguliwa na Iran yameitaka Tehran iwajibike kikamilifu, uchunguzi wa kimataifa uanzishwe na familia za wahanga zilipwe fidia. Mawaziri wa mambo ya nje wa Canada, Uingereza, Ukraine, Sweden, Uholanzi na Afghanistan wamekutana...
  11. Iran: Aliyerekodi video ya kuangushwa kwa ndege ya Ukraine akamatwa

    Iran imesema kuwa imemkamata mtu aliyerekodi kipande cha video kinachoonesha tukio la kutunguliwa kwa ndege ya abiria ya Ukraine. Inaaminika, mtu anayeshikiliwa atakabiliwa na mashtaka yanayohusiana na usalama wa taifa. Ndege ya Ukraine PS752 iliangushwa muda mchache baada ya kupaa kutoka...
  12. Iran yawakamata walioidungua kimakosa ndege ya Ukraine

    Serikali ya Iran imetangaza kuwakamata watu kadhaa waliohusika kulipua kombora kimakosa na kuangusha ndege ya Ukraine. Tukio hilo lilisababisha watu wote 176 waliokuwapo ndani ya ndege hiyo kufariki wakitokea Uwanja wa Ndege wa Tehran. Tangazo hilo limetolewa leo Jumanne Januari 14 muda mfupi...
  13. Tukio la kutia hamasa waandamanaji Iran walivyokwepa kukanyaga bendera ya Marekani na Israel

    Mzuqa, Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala dhalimu wa Ayatollah na kumshinikiza ajiuzulu. Ni kawaida Iran kuchora bendera za Marekani na Israel...
  14. Katika hili, Marekani imeshamkamata Iran

    Hapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya...
  15. Wananchi wa Iran waandamana baada ya Serikali kukiri kuitungua ndege ya Ukraine

    Tehran. Muda mfupi baada ya Serikali ya Iran kukiri kuitungua ndege kwa bahati mbaya, kundi la waandamanaji nchini humo limejitokeza kutaka kiongozi wa juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao. Ndege aina ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la...
  16. Ukraine kuwalipa fidia wahanga wa ajali ya ndege

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky Ukraine imetangaza leo kuwa itazilipa fidia ya dola 8,000 za Marekani familia za raia wake waliokufa kwenye ajali ya ndege iliyotokea Iran mapema wiki hii. Mpango huo umetangazwa na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ambaye amesema pia atalazimisha Iran kutoa...
  17. MH17 ilitunguliwa huko Ukraine mwaka 2014 mwaka 2020 Boeing ya Ukraine imetunguliwa Iran

    Zote mbili ni ndege za abiria, zote mbili kwa nyakati tofauti zimetunguliwa na kile kinachodhaniwa kuwa ni makombora ya kutungulia ndege vita. Tatizo la ndege zote mbili ni kupita eneo la Vita. Ile ya MH 17 inadhaniwa ilitunguliwa na waasi wa Ukraine wanaoungwa mkono na Urusi kwa silaha...
  18. Video: Cheki bongo star search ya Iran na Ayatollah ndio jaji

    Mzuqa! Hizi sankshen za Marekani dhidi ya Iran balaa na zina effect kubwa sana. Pia ukitazama kwa makini utamuona Qassim Solemani kwenye mstari wa mbele akilia sana enzi za uhai wake huku kafunika uso wake kwa kiganja. Inaonekana hii ni kama bongo star sech yao ama X Factor yao. Nimecheka...
  19. Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

    Iran imetangaza kuwa jeshi lake "bila kukusudia" liliitungua ndege ya Ukraine, iliyoanguka na kuua watu wote waliokuwemo ndani yake huku wengi wao wakiwa ni raia wa nchini Iran. Taarifa hiyo mnamo Jumamosi asubuhi inalaumu "kosa la kibinadamu" lililofanyika katika tukio hilo. Ndege ya Ukraine...
  20. Mke wa rubani wa ndege ya Ukraine iliyoanguka nchini Iran, alimuonya mumewe kutosafiri siku ile

    Kateryna Gaponenko ambaye ni mke wa rubani wa ndege ya abiria ya Ukraine iliyoanguka muda mchache baada ya kuondoka kutoka uwanja wa ndege mjini Tehran amesema kuwa alimuonya mumewe asisafiri na anaamini ndege hiyo iliangushwa. Kateryna Gaponenko alikiambia kituo cha runinga cha Sky News kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…