iran

  1. JamiiForums Tanzania Trump aionya Iran dhidi ya kuua waandamanaji, asema USA itashambulia

    Ayatollah ameonywa athubutu kuua hao waandamanaji, atashushiwa mavitu na kuwahishwa kule kwa mabikira, aache watu waikomboe nchi yao kutoka kwa uzombi wa dini. ======================================= Trump warns Ayatollah ‘we will start shooting if you do’ as Iran rocked by another night of...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X wabadili bendera ya Iran

    https://x.com/NiohBerg/status/2009742024384147606 Ndugu zangu hakuna namna ya kuimboa Tanganyika, zaidi ya Kupandisha bendera ya Tanganyika, hatutaki Muungano, Walizuia Sherehe za Muungano lakini wameenda kufanya sherehe za Mapinduzi
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini masheikh wa Iran hawawakemei Waislamu wafanya maandamano?

    Iran kuna Baraza la maulamaa la Ayatollah linaloitwa Guardian Council na masheikh viongozi mbalimbali wa kidini ila mpaka sasa hakuna masheikh wowote waliothubutu kujitokeza kuwasomea watu vifungu vya Quran na Biblia kuwasisitiza Uislamu ni dini ya amani na kwamba amani ni muhimu zaidi ya Haki...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

    Raia wa Iran wamamua liwalo na liwe, hawataki kuongozwa na dini ya muarabu.... Wanataka uhuru. Kawaida Waajemi, yaani Persians huwa watu wenye akili sana, ukisoma historia yao kabla dini ya muarabu walikua wanafanya mengi makubwa, ile dini imewadumaza sana. ============ Watch: Buildings in...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi wa Yanayoendelea Iran, Historia na Hatima yake

    Hapa chini ni muhtasari wa historia ya hivi sasa na yanayoendelea nchini Iran — hasa jinsi ilivyofikia hali ya sasa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, pamoja na harakati kubwa za umma: 1. Asili ya mgogoro wa sasa Uchumi uliharibika Iran imekuwa ikipigana na msongamano wa uchumi kwa zaidi ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yazima Internet wakati maandamano yakiendelea, (Yaani kama yaliyotokea Malawi)

    Maandamano makubwa yalizuka kote Iran huku serikali ikikata huduma ya intaneti karibu nchi nzima, kulingana na makundi ya ufuatiliaji. Hatua hiyo ilikuja wakati wananchi wakipaza sauti wakidai uhuru na kuondoka kwa utawala wa Kiislamu, licha ya onyo kali kutoka kwa viongozi wa vyombo vya usalama...
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano Iran katika picha!!

    Wananchi wa Iran wanaingia wiki ya pili katika maandamano yao ya kutaka kuung'oa utawala wa kinabavu wa Ayatollah Ali Khamanei!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iran: Miaka 50 ya ukandamizaji wa dola ya kiislamu, sasa raia wanapigania uhuru lakini media kubwa hasa AL jazeera haziwapi airtime ya kutosha

    Ni miaka karibia 50 ya ukandamizaji wa raia wa Iran nasa sasa wameamua kusema imetosha, wamejitoa muhanga kuikomboa nchi yao lakini media kubwa zinawapa airtime ndogo sana. Yalianza kama maandamano ya mfumuko wa bei lakini kwa sasa yamekuwa ya kuikomboa Iran
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran Kuzima Internet:

    Huyu aliyezima internet Tanzania ndiyo amemshauri Ayatollah kuzima internet? Mwisho wa utawala wa kidhalimu na kipumbavu umekaribia.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Cheo cha juu wa Jeshi la Polisi Auawa Iran, Kulipiza Kisasi cha Mauaji ya Polisi kwa Waandamanaji

    Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan. Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida. Na hakika, kama...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Kishetani wa Ayatollah wa Iran, Umeua Uchumi wa Iran. Dollar 1 sasa inabadilishwa kwa Rials milioni 1.46. Funzo kwa Utawala wa Tanzania

    Iran, nchi ambayo kabla ya mapinduzi ya Kiislam, ilikuwa ndiyo nchi pekee yenye uchumi mzuri uliokuwa unakua kwa kasi Mashariki ya kati, leo wananchi wake, chini ya utawala shetani wa Ayatollah, zaidi ya nusu ya wananchi hawawezi kupata hata milo miwili kwa siku. Rial ambayo kabla ya mapinduzi...
  12. JamiiForums Tanzania Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari Jamhuri ya Kiislam ya Iran kuanguka

    Maandamano yanakuwa kwa kasi Wairan wanashusha bendera ya Jamhuri ya Kiislam na kupandisha bendera ya Jua na Simba. Kobazi wanajukumu gumu mbele yao, 1. Kuua watu kama Samia alivofanya 2. Kukubali kuaguka https://x.com/ShayanX0/status/2009024757883371597...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Marekani inajiweka tayari kuishambulia Iran

    Ndege nyingi za Jeshi la Anga la Marekani zimeonekana zikiondoka katika kambi mbalimbali nchini Marekani na pia kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Uingereza, zikielekea Mashariki ya Kati. Ndege hizo ni pamoja na za kujaza mafuta angani na ndege kubwa za kusafirisha wanajeshi na vifaa...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya IDF kuwapiga kwenye mshono Iran leo wamelalamika!!

    Baraza la Ulinzi la Kitaifa la Iran limetoa taarifa inayopendekeza kwamba linaweza kuanzisha shambulio la mapema dhidi ya Israeli(Preemptive-Strike)‼️ "Usalama, uhuru, na uadilifu wa eneo la Iran ni mstari mwekundu ambao haupaswi kuvukwa. Uchokozi wowote au tabia yoyote ya uadui inayoendelea...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wairan Wakiunda Bendera ya Iran kabla ya Mullahs, Watanganyika mnakwama wapi?

    https://x.com/ShayanX0/status/2007597953394061390 Ukiwa ndani ya nyumba yako tafuta vitambaa vitatu shona bendera ya Tanganyika.
  18. JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  19. JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tamko la IRAN kwa Marekani baada ya kuvamia Venezuela na kumkamata Rais Maduro

    In a statement posted on X, Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei wrote, “What’s important is when one realises an enemy wants to force something on one’s govt. or nation with false claims, they must stand firmly against that enemy.” “We won’t give in to them. With reliance on God & confidence...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…