iran

  1. Watu wanaiongelea ndege ya B-2 “Spirit” ya US inavyofanya mashambulizi huko Iran, unajua ina balaa gani?

    Sio mara ya kwanza hivi karibuni umeona sehemu mbalimbali kwamba Marekani kutumia B-2 Spirit Stealth Bomber kufanya mashambulizi ya “precision” dhidi ya Iran. Lakini je, tunafahamu B-2 ni nini? Inaweza kufanya nini? Ina gharama kiasi gani? Na je, kama taifa kama Tanzania, tunaweza hata...
  2. Iran ilikuwa inafanya nini hasa kwenye vinu vyake vya nyuklia. Mbona imechukua muda mrefu sana

    Ipo haja ya kuamini kuwa vinu vya nyuklia vya Iran ilikuwa ni kwa ajili ya matumizi ya kiraia na tafiti za kielimu. Inashangaza sana kuwa mataifa kadhaa yameweza kumiliki silaha za nyuklia kimya kimya na bila kutangazwa Kwa upande wa Iran imechukua miaka mingi mpaka udoro huo umewatilia fitna...
  3. Papa Leo azitaka Iran na Israel kuwajibika na matendo yake

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya...
  4. Iran yaalaani matamshi ya Trump 'ya kukosa heshima na yasiyokubalika' kwa Khamenei

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amelaani siku ya Jumamosi, Juni 28, 2025, matamshi "ya kukosa heshima na yasiyokubalika" yaliyotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye alidai "aliipiga Iran" na kumuepusha Kiongozi wake Mkuu Ali Khamenei "kifo cha kutisha na cha aibu. Ikiwa...
  5. Kumbe kilogram zote 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa na Iran kwa asilimia 60 ziliyeyushwa na mabomu ya Marekani na Israel

    Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran. Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
  6. I

    Trump amsuta Khamenei, asema ataishambulia tena Iran ikiwa shughuli za nyuklia zitaanza tena

    Rais Donald Trump amekashifu madai ya Ayatollah Ali Khamenei kwamba Iran ilishinda vita vyake vya hivi majuzi vya siku 12 na Israel na kusema Marekani "itaipiga kwa mabomu tena nchi hiyo ikiwa itatafuta silaha za nyuklia. Rais wa Marekani alizindua mkondo wa matusi kwa kiongozi mkuu wa Iran...
  7. Iran ilipigwa ikapigia na Ayatollah kama sio huruma ya Trump ....

    https://x.com/nicksortor/status/1938647871361884347?t=nY3Bp7FRmCkZSn9grx3Fpg&s=19
  8. U

    Maelfu wahudhuria Mazishi ya majenerali wa Iran waliouawa na Israel kwenye mapambano ya siku 12

    Thousands line streets to mourn Iranian generals, nuclear scientists killed during war with Israel By AP Today, 8:34 am Mourners gather in Enghelab Square to attend the funeral ceremony of the Iranian army generals, nuclear scientists and their family members who were killed in Israeli strikes...
  9. Trump: Nimemuokoa na Kifo kibaya kwa Ayatollah, Pia nimezuia maangamizi ya jiji la Tehran

    Trump: Nilimuokoa Khamenei kutokana na kifo kibaya sana Katika chapisho kwenye Ukweli wa Kijamii, Rais Trump alimkosoa Kiongozi Mkuu wa Iran kwa kudai ushindi dhidi ya Israeli, akisema aliokoa maisha ya Khamenei na kusitisha shambulio kubwa la Israeli huko Tehran. Trump pia anafichua kuwa...
  10. W

    Iran hawana jeshi, wana mgambo, ona orodha ya viongozi wakubwa wa jeshi waliouawa kwa siku chache na marubani wa kike wa Israel

    Vita ya siku chache zilizopita Israel walitoa kipaumbele kikubwa kwa marubani wa kike, Hivi ni vichwa vilivyoliwa na marubani wa kike kwa siku 12 tu. Jenerali Mohammad Bagheri – Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Iran Aliyesimamia vikosi vyote vya kijeshi vya Iran na ulinzi wa kitaifa. (hapa kwetu...
  11. Iran: Haina nia ya kujadili mpango wake wa nyuklia

    Iran imekanusha kurejea kwenye meza ya mazungumzo na Marekani kuhusu mpango wake wa nyuklia, baada ya kumalizika vita vya siku 12 kati yake na Israel na kuishutumu Marekani kuchochoea vita hivyo kwa kuishambulia. Mzozo ulioibuka kati ya Israel na Iran, ulivuruga ratiba ya mazungumzo hayo kati ya...
  12. H

    Wizara ya IranYasema Mashambulizi Ya Israel Nchini Iran Yaliua Watu 627.

    Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627. Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo...
  13. Iran yakili baadhi ya maeneo yake ya nyuklia kuharibiwa vibaya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekiri kwamba uharibifu mkubwa na mkubwa ulifanyika katika maeneo ya nyuklia ya nchi hiyo katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na Israel. Abbas Araghchi aliambia shirika la utangazaji la serikali Alhamisi kwamba tathmini ya uharibifu huo inafanywa na...
  14. Trump kuipa Iran dola bilioni 30 iachane na mpango wake wa nyuklia

    🚨 BREAKING NEWS 🚨 Rais wa Marekani, Donald Trump, anadaiwa kufikiria kutoa Dola Bilioni $30 (shilingi trilioni 78 za Tanzania) kwa Iran ili iachane na mpango wake wa nyuklia. Je, kiasi hiki cha pesa kinaweza kuifanya Iran kusalimu amri au ni mbinu nyingine ya kisiasa ya Trump kutafuta...
  15. Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    SERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 42 KUTOKA NCHINI IRAN NA ISRAEL. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea...
  16. Serikali ya warejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  17. Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchi Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  18. B-2 Spirit: Ndege Inayoweza Kuiangamiza Nchi ya Iran Kwa Siku Moja

    Inasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa. Kwa nini B-2 Spirit inaweza kuangamiza nchi ya Iran kwa siku moja? 1. Uwezo wa Kusafiri Kila Kona Bila...
  19. Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  20. Kwa nini Israel iliishambulia Iran je Malengo yametimia??

    Nyota zilijipanga': Kwa nini Israeli ilianza vita dhidi ya Iran, na nini ilichopata. IDF iliona kuongezeka kwa tishio la nyuklia, pamoja na kuanguka kwa vikundi vya Hamas,Hezbollah na Houth, na utayari wake wa kuchukua hatua kufikia kilele; ‘tishio lililopo’ limeondolewa, lakini Iran itaendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…