iran

  1. JamiiForums Tanzania Israel haikushiririkishwa katika makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran, hadi kufikia hatua za mwisho

    kumekuwepo na chapisho ambalio limesambazwa na chommbo cha habari cha Mwana habari kikiw na kukuu ya kuwa Israel hajafurahishwa na makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran huku Israel === Israel haikujulishwa kuhusu mpango wa Marekani wa kufikia makubaliano ya muda ya kusitisha...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kuchomoa sasa Magaidi wa Hezbollah wanapata Kipondo hasa!!

    Ndani ya dakika 10 na katika maeneo mengi kwa wakati mmoja, IDF ilikamilisha shambulio kubwa zaidi lililoratibiwa tangu kuanza kwa Operesheni ya Roaring Lion, ikilenga zaidi ya vituo 100 vya amri ya Hezbollah na maeneo ya kijeshi huko Beirut, Beqaa, na kusini mwa Lebanon. Malengo yaliyopigwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni mjinga pekee anayedhani America itaondoa bases zake middle East na kumuondolea vikwazo Iran

    Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto. America hajatumia ata...
  4. JamiiForums Tanzania Nani Kashinda Vita ya Marekani (US) vs Iran? Vigezo vya Ushindi ni Vipi?

    Wakati wanaenda kwenye wiki mbili za ceasefire. 👉 Nani kashinda vita kati ya USA vs Iran? Kwa vigezo gani: Military power (nani kampiga mwenzie zaidi)? Survival (nani bado yupo hai kiushawishi mpaka sasa)? Uchumi (nani amemuathiri mwenzie au nani anaiathiri dunia)? Au nani analazimisha...
  5. JamiiForums Tanzania Iran yafanya sherehe, wadai kusitisha mashambulizi kwa muda ni ushindi mkubwa kwa utawala wa taifa hilo

    Serikali ya Iran na vyombo vya habari vya taifa hilo, vinasema kuwa makubaliano ya kusitisha mashambulizi kwa muda ni ushindi mkubwa kwa utawala wa taifa hilo. Katika taarifa iliyotolewa na Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, Iran imesema imeyafikia karibu malengo yake yote ya vita hivyo na kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Israel haiwezi kaa wiki mbili bila kufanya tukio Iran

    Israel sio mtu wa Mazungumzo na magaidi. Kama Iran iliua muisrael yoyote hiyo imekula kwao. Mazungumzo ya Marekani na Iran si chochote kwa Israel. Waziri mkuu kashawapa funguo Wanajeshi wake waue gaidi popote watakapo muona. Yaani Wasisubiri ruhusa. Marekani anakubalije Mazungumzo wakati Israel...
  7. JamiiForums Tanzania Iran yasema Marekani inakubali mpango wa pointi 10 wa kukomesha vita

    Wanaukumbi. Iran ilisema mapema Jumatano kwamba Marekani "kimsingi" imekubali pendekezo la pointi 10 linalolenga kukomesha vita, kulingana na ripoti za mtandao wa Utangazaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) unaoendeshwa na serikali. Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran lilisema katika...
  8. JamiiForums Tanzania Shukrani Iran kwa kuitikia shurti ya Trump na kufungua mlango wa bahari, ilikua Trump afanye kufuru yaani

    Pamoja na kwamba niko upande wa Israel, na kwamba napenda sana kuona ugaidi wa dini ya muarabu ukiangamizwa, ila kwenye hili Marekani walichotaka kukifanya pale Iran, nilikua siafiki kabisa, kupiga umeme utasababisha maafa makubwa sana ukizingatia majokofu kwenye mahospitali na maeneo mengi...
  9. JamiiForums Tanzania Siku Ya kwanza Iran waliposhambuliwa na Marekani na Israel, waliandika hivi

  10. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto zinazotokana na vita Iran ni Fursa kwa waTanzania wanaonyanyaswa

    Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari. Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika hatihati ya matatizo yatokanayo na vita; kama vile changamoto za kiuchumi. Baadhi ya mataifa...
  11. JamiiForums Tanzania Donald Trump akubali masharti yote 10 ya Iran na kukubali kusimamisha vita kwa muda wa week mbili

    Niaje waungwana Habari ndio hiyo waungwana. Hii ni baada ya kuona Iran haitishiki na vitisho vyake, wala mikwara yake. So kaamua bora nusu shari, kuliko shari kamili. Big up Iran.. Kwa sasa Trump ame prove mwenyew kuwa Iran sio Venezuela. Hakika kuamini kwa Toma ni kujionea. Sasa Trump...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  13. JamiiForums Tanzania Iran kuwaambia raia kukaa kwenye vinu vya nishati na madaraja kuzuia mashambulizi ya Amerika ni kiashiria kikubwa vita imeshaisha

    Hamjambo! Iran amedhihirisha hana plan tena yoyote ya maana ya kulinda taifa lake. Yaani adui anakutishia kukushambulia unatoa mkeo na watoto ati wakae mbele ili kumzuia adui asipige. Kwa kweli hii haikutegemewa kabiss. Iran amejitahidi kuonyesha uwezo alionao kupinga dhulma ya Mayahudi na...
  14. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Marekani Itaiangamiza Iran Kwa Ajili ya Hormuz?

    https://youtu.be/X1lTFztINMU?si=7dpeVSJFhmqMFfcX
  15. G

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Iran kuvua magwanda na kukaa kati ya raia kuwa kinga dhidi ya mashambulizi ni uhalifu wa kivita na hao raia watahesabiwa kama jeshi

    Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara. Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele. Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
  16. JamiiForums Tanzania Muda wa kuishambulia miundombinu ya Iran umefika!!!!

    Kauli ya mwisho ya Rais Trump kwa Tehran inaisha saa 2:00 PM saa za Washington (saa 3:30 AM saa za Iran, saa 3:00 Tanzania) usiku wa leo, ikiacha chini ya saa 10 tu. Tarehe ya mwisho, iliyowekwa wiki moja iliyopita kutokana na mvutano unaoongezeka kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, imesababisha...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Trump atishia kuiangamiza Iran usiku wa leo kama hawatofanya maamuzi ya Makubaliano kabla ya muda uliowekwa kuisha

    Kupitia Mtandao wake wa Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump amechapisha kuwa usiku wa leo inawezekana akaangamiza mji mzima wa Iran endapo hawatofanya maamuzi ya mapema ya Makubaliano ikiwa muda uliowekwa ukaisha, pia ametsihia Iran kufungua mlango wa bahari ya Hormuz Trump’s deadline...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea hata kidogo urusi ,china , na korea kuingiza raia wao katika vita vya nuclia kisa iran

    Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
  19. JamiiForums Tanzania Sipendi ugaidi wa Iran, ila hiki Trump anataka kufanya leo ni kosa kubwa

    Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…