Rais wa Marekani Donald Trump amewakosoa Viongozi wa Iran baada ya mazungumzo ya kidiplomasia kushindwa kuleta makubaliano kamili kuhusu suala la Nyuklia.
Kupitia ukurasa wake wa Truth Social, Trump amewataja Viongozi hao kuwa “Watu wasiotabirika, wagumu na wenye kubadilika badilika,”...