Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake.
Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo.
Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana.
Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
Wakuu niko na iPhone 11 plain hapa naiuza,
128gb,
Face id bado ipo
Battery health now inasoma 73%
Ina crake kidogo kioo cha nyuma,.
Kama unahitaji hit my dm Asap!
Kama uko Songea pia itapendeza zaidi, uje uione mwenyewe
Sijui ni umaskini, ujinga, laana, au ni tamaa mbaya. Ijapokuwa sio wanawake wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake (wengine ni Wake za watu) hawawezi kuwakataa kimapenzi wanaume wafuatao;
1. MWANAUME MWENYE GARI - Sikuhizi ni ngumu sana mwanamke kumkataa mwanaume mwenye gari, hata kama...
Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo.
Kampuni hiyo ya...
Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.
China ndipo vilipo...
Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu nikajua ku jailbreak iPhone na ku install Cydia (3rd part store).
Ilipotoka iPhone 5s ulinzi wa Apple...
Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja
EARPODS 3 kwa 7,000/= tu
Viioo vya SIMU
Charge aina zote
Smart watch
N.k
0748831964 Whatsapp
Je, unataka simu bei chee?
Je, una abudget ndogo na unataka simu?
Je, unataka kufanya Top up au exchange?
Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako.
Exchange na Top up tunafanya!
Simu tulizonazo dukani ni;
📱Google pixel
📱aquous arrow
📱samsung
📱Iphone
📱LG
📱Sonny Xperia...
Wazee wa JF.
Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus.
iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB.
Bei ya juu kabisa ya 6 Plus ilikua ni $499 yenye 128 GB.
Mwaka huu, September yule yule CEO wa Apple...
Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa.
Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...