iphone

  1. JamiiForums Tanzania Apple wamezindua socks kwaajili ya iPhone yako kwa Tsh 560,000/= tu!

    Yap! Hujakosea kusoma. Socks kwa Laki 5 na Elfu 60 tu ($230), hapo ni US bado usafiri, kodi na faida ya muuzaji. Apple wamezidua phone pocket aka iPhone socks kwaajili ya kubebea iPhone yako yoyote kuanzia mpya 17 series kurudi nyuma. Kwa kushirikiana na designer wa Japan, Issey Miyake...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Jamaa kapata iphone 17 kiugumu sana

  3. JamiiForums Tanzania Gharama za iPhone mpya kuanzia 2007-2025!

    Hapo mwanzo, iPhone zilikua na bei ya kawaida tu. Ila sahivi.
  4. JamiiForums Tanzania Uzi wa iphone cases/covers za aina mbalimbali

    Tunauza covers za iphone mbalimbali kuazia iphone 11 na kuendelea. Tupo kariakoo mtaa wa msimbazi Horizon tower.
  5. JamiiForums Tanzania Tesla ni kama iPhone. Wanawaibia wateja wao kwa updates ndogo ndogo kila toleo jipya na kuongeza bei!

    Inaonekana Wamarekani na kuwaibia wateja ni kitu cha kawaida. Tesla wanataka kuzindua new Model Y ili week, wenyewe wanaiita Striped Model Y kwamba imeondolewa baadhi ya features na kuuzwa bei nafuu, ila sio nafuu kuliko Model 3. Hawa jamaa naona kabisa wanaleta utapeli. Kuanzia updates ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nchi imebadilika sana, watu wanamenya maganda ya iphone mpya za milioni 5 kama karanga

    Tulikotoka ni wachache sana walikuwa na uwezo wa kununua iphone latest matoleo mapya ya milioni 3 hadi 6 Ilikuwa ni risk kubwa sana kuweka simu hizi dukani kwasababu hakukuwa na soko la uhakika Hali ya sasa imebadilika, mizigo ipo wa kutosha, watu hawaoni shida kununua iphone 17 mpya kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Tesla 5G Smartphone Mpya – Pi Max Kuchukua Soko la iPhone na Samsung?

    Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto wazuri na zawadi ya iPhone

    Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani. Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru. Yani unapewa kwa moyo wote na hapo ndio utaona utam wa mwanamke. October tunatiki kumuunga mkono mama...
  9. JamiiForums Tanzania App za kudownloadia youtube kwene Iphone

    Wakuu wa iphone
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Iphone ni wana shida fulani ya akili

    Watumiaji wa iphone wana kautindio flani hivi nimeona kwa watu kumi na hii ndiyo researvh finding yangu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki iphone

    Habari wakuu Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/= Naombeni ushauri wenu wakuuu. Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa...
  12. JamiiForums Tanzania NANUNUA KUKU WA KIENYEJI

    📢 TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI 🐔 Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka. 💰 Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku 📍 Eneo: Dar es Salaam ⏱️ Nahitaji haraka iwezekanavyo! Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja! 📞...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Iphone Xs mtumba kama mpya ya Dubai Gb64 inauzwa,haina kipengele chochote

    Imetumika kwa mwezi mmoja tu,imenyooka.Njoo na 350K tu.piga au WhatsApp namba 0769618684
  14. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  15. JamiiForums Tanzania iPhone X plain GB 64 inauzwa 270k

    Iphone X Storage 64Gb Clean No True Tune✅ No Face Id 🔋BH 100% 💰Bei 270,000/= KARIBU
  16. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 7 plain

    Iphone 7plain Storage 32Gb Clean Double line Bei 165,000/= Ubungo daraja 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  17. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 7 plain

    Iphone 7plain Storage 32Gb Clean Bei 165,000/= Ubungo daraja 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  18. JamiiForums Tanzania iPhone 17 pro max zinapatikana Makumbusho kwa Tsh 290,000 tu

    Karibuni kwa mahitaji ya iPhone 17 Pro max. Tupo Makumbusho, Nigeria Street, house #12 Bei NI Tsh 290,000 **Mzigo bado wa moto sana
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa watumiaji wa iPhone

    Mnaotumia iPhones mnafanyaje kudownload nyimbo bila kuzinunua na ku save kwenye sim zenu na kusikiliza muda wowote pale mnapojiskia? Kama inavyofahamika kwamba iPhone vitu vingi huwezi download bila kununua. Naomba msaada
  20. JamiiForums Tanzania Hivi hizi iphone 17 zitakazo toka mbona kama siwaelewi

    Iphone 17 itatambulishwa tarehe September 12, 2025. Naona kampuni imejiweka sana na kamera kuliko lolote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…