internet

  1. Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

    Habari ya wikiendi wana JF wenzangu. Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni. Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data. Ile kupiga...
  2. Hii nchi kuna watu itawashinda, Vifurushi vya Internet vimepandishwa kimya kimya

    Kuna mambo lazima tuseme ukweli, hata kama ni ukata lakini si kwa hali hii. Mitandao yote ya simu wamepandisha gharama za bando za internet bila hata kujulisha wateja wake, nini kimetokea ikiwa ni miezi 3 tu baada ya vifurushi kupandishwa wananchi wakapiga kelele sana vikashushwa chini, leo...
  3. Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

    Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe. Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
  4. Internet ilikuwepo kabla ya Kristo?

    Sina tabia ya kusalimia naona ni suala la kupoteza muda tu wakubwa Kuna mzungu flani nimemsikia akisema hayo maneno hapo juu ilinibidi nisogee karibu nimsikilize Alikuwa mzee kwahiyo alivyoona nasogea kwa kuzuga aliacha kuongea Je ili suala ni kweli ?
  5. L

    Maendeleo na usalama wa mtandao wa Internet vinatakiwa kwenda sambamba

    Katika miaka ya hivi karibuni mtandao wa Internet umekuwa ni moja ya maeneo yenye maendeleo ya kasi duniani. Kuanzia ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya internet, vifaa vya mawasiliano kwa njia ya internet kama simu na kompyuta, na hata matumizi ya internet, serikali mtandao...
  6. Internet service provider mkoani Mwanza

    Habari zenu wanajukwaa, naulizia kwa anayefahamu internet service provider anayepatikana jijini Mwanza, nahitaji huduma ya internet iwe ni ya point to point au fiber connection. Internet iwe yenye kasi ya kutosha angalau 10Mbps na kuendelea.
  7. Ushauri: Serikali itengeneza internet hotspot za bure ili vijana waweze kujiajiri kama Freelancers mtandaoni

    Kujiajiri mtandaoni ni field inayokuwa kwa kasi sana. Na malipo yake kwa standard zetu ni mazuri. Yanaanza dola moja hadi kumi kwa saa. Uwekezaji mkubwa wa mtu kufanya kazi hizi ni internet na vifaa vya kazi, hasa kompyuta. Vijana waliomaliza vyuo wanaujuzi mbalimbali wa kufanya kazi hizi...
  8. J

    Matumizi ya Internet ni haki yako; tumia kwa manufaa ya wengi

    Baraza la Haki Za Binadamu la Umoja wa Mataifa mwaka 2016 lilitambua Intaneti (Internet) kuwa ni Haki ya kila mtu. UN inatambua, kila mtu ana Haki ya kupata na kutumia Intaneti bila ya kujali kipato chake, eneo alilopo na hali yake ya mwili (ulemavu au la). Hata hivyo Jamii Forums...
  9. SoC01 Jinsi ya kuanza kujiajiri kwa kutumia internet na mitandao ya kijamii

    Internet ni mfumo wa dunia wa kielektroniki unaounganisha kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vinavyokubali mfumo huo. Mitandao ya kijamii ni teknolojia inayohusisha kompyuta ambayo hurahisisha kugawana na kusambaza mawazo na taarifa mbalimbali katika kujenga mtandao na jamii halisi...
  10. Kwanini intaneti isiwe bure?

    Wanasema tupo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda. Hayo yanategemea sana internet. Kwa hiyo kwa sasa internet ni kama barabara kwa umuhimu wake. Upatikanaji wa internet unawezesha maelfu ya shughuli za kiuchumi kufanyika. Sasa ili kukuza huo uchumi kwanini serikali hazifanyi/haifanyi internet...
  11. Samsung s6 edge+ inafeli ku acces internet data.

    Asalam wakuu natumaini wazima. Kuna simu Samsung s6 inazingua accessibility ya internet kila nikijaribu ku surf inanambia unblock Samsung internet first hata nikitumia wi fi mziki ni uleule,naombeni ushauri kabla sija restore factory au kuiflash nifanye nini?
  12. Maisha ndani ya Manga Kissa: Internet Café za ajabu nchini Japan

    Manga ni riwaya picha (Kwa Kiingereza comics au graphic novels) zenye mtindo wake wa kipekee kutokea nchini Japan. Manga ni maarufu sana nchini humo kiasi kwamba kuna mamia ya maktaba zilizojaa Manga tu. Maktaba hizi huitwa Manga Kissa Manga Kissa nyingi ziko karibu na vituo vya treni...
  13. Kuna tofauti kati ya network ya kupiga simu na network ya internet?

    Simu infinix ina line ya tigo. Ikiwa kwenye 4G au 3G ukiipigia haipatikani. Hata kama umezima data. Ila ikiwa kwenye 2G simu ukiipigia inapatikana hata kama umezima data. Sasa nimeshindwa kuelewa hii kitu inakuwaje. Naomba ufafanuzi kwenye hili. Cc. reyzzap na Chief-Mkwawa
  14. Nawezaje kupata walau GB 10 za internet kwa siku kwa bei nafuu?

    N.B: NI KWAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA ELIMU NA TAALUMA. Si ajabu wengi wakiwemo hata viongozi wanadhani internet ni kwajili ya upuuzi tu maana wengi kwenye hutumia internet kufanya vitu visivyo na faida mfano kudiscuss umbea kwenye magrupu, kufanya umalaya, video za x, kuwa waraibu wa muvi...
  15. Internet: Kifurushi (bundle) vs salio

    Wajamvi, Jana wakati nashusha movies kadhaa kwa simu, nilikua na bando la internet kwenye simu ambalo nilijiunga kwa ajili ya saa 5usiku-12asbh. Mara kadhaa nilikua nafuatilia kasi ya internet ambapo ilikua ikicheza kati ya 300-500kbs/sec. Kwenye mida ya saa 8usk hivi nakuja kucheki speed...
  16. Huduma ya internet

    Naomba kuuliza wakuu, kwa wale mliopo Dar Kuna jengo karibu na Mlimani City linapangishwa je Kuna huduma za Internet ya fiber maeneo zimefika huko?
  17. Je, Tanzania hakuna 4G? Hii tunayotumia ni 3.5G na tunadanganywa tu na makampuni ya simu?

    Je, ni kweli kwamba Tanzania hakuna 4g?hii tunayotumia ni 3.5g na tumedanganywa na makampuni ya simu? Wakuu nasikia hii 4g ya Bongo ni ya uongo na kwamba walichofanya wameleta tu 3g ya ulaya Marekani au China na kutuaminisha kuwa na ni 4G Wanasema hii 4g ya Bongo ni chenga tu na ni sawa na 3G...
  18. Kenya to increase Internet speed by June

    Kenyans will from June start experiencing faster Internet speeds as the government completes plans to increase capacity by up to tenfold. ICT Principal Secretary Jerome Ochieng’, during a visit at the Telkom Kenya offices in Mombasa, said due to the increased Internet usage in the country, the...
  19. Kuhusu TCRA na huduma za internet bundle mitandao mbalimbali: Mbona haiko kama tulivyoambiwa?

    Kwenu TCRA na waziri wa mawasiliano na uchukuzi, mbona mambo hayako kama ambavyo mlitaka tuamini kuwa yatakuwa? 1. Gharama ya bundle bado zinatofautiana kutoka mtandao mmoja na mwingine japo mlisema mnaweka uniformity (Sera ya Ujamaa na Kujitegemea) 2. Hakuna kushea bando kama ambavyo...
  20. Internet Censorship in Tanzania: A Gentle Lift?

    In 2020, Tanzania ranked as position 124 out of 180 countries in the World Press Freedom Index. In 2019, it was position 118 out of 180, which is 93 positions down, compared to 2018. Tanzania has witnessed a consecutive fall in the Index each year since 2016. The article “Bulldozing the Media”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…