Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani.
Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere.
I beg you by five books of...
Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame .
https://m.youtube.com/watch?v=OKCQOPb1DkM
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo.
Zawadi hiyo...
Wakuu kwema?
Hii imekaaje? Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi au wanasiasa au watu mashuhuri zipewe majina ya mkandarasi aliyejenga pamoja na anuani ya makazi yake, akivurunda tu tunajua pa kumpata.
Nakuhakikishia kiwango kwenye ujezi wa barabara kitaimarika mara moja. Maana...
Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto.
Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi...
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amezungumza kuwa baada ya Kamati ya Hadhi na Haki za Wachezaji kumtaka Fei Toto kurejea Yanga, mchezaji huyo hajarejea klabuni licha ya kushindwa katika shauri la kuvunja mkataba wake na Yanga.
Amesema baada ya hapo wao wanaendelea kumlipa mshahara na stahiki...
"Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio ya Kuhamasishana na Kufundishana jinsi ya Kushangilia" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC muda...
Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki.
Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema mna Hela? Sasa mbona mnamsumbua mno Tajiri wa NATION GAS Rosti Tamu ukila na Aziz pamoja na Mzee...
Ndugu zangu
Natumai nyote muwazima wa afya
Tunapoelekea katika Chaguzi za Jumuiya na Chama kama Vijana na wanachama tunao wajibu wa kukisaidia Chama na Jumuiya zake kupata Viongozi wenye sifa za ziada,
Kutokana na Maelekezo, Ushabiki na makundi huenda tukaangukia pabaya tukachagua Viongozi...
"Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said.
Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo.
Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati.
Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
Engineer Kisaka ameyasema hayo leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo Waziri wa Habari na Mawasiliano.
"…lazima tumsikilize kila mmoja anasemaje. Muafaka uliofikiwa ni kuwa...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia.
Jana tu Rais wa Yanga...
Kwa mwelekeo ulivyo na akili ya Manara ya kunyea kambi kawanyea mpaka tff.... bado kwako yatakukuta muda utaongea.
Akili ya Manara ni ya hovyo tena ya kishetani na mpaka hapa mtaungana namie!
1) Kamtukana Mo Dewji na kusema anamwonea wivu kwa umaarufu wake.
2) Kagombana na Babra na kumtolea...
Uko vizuri sana kwenye Kuzungumza, Kujisifia Kwingi na kuegemea zaidi katika 'Engineering Theories' zako ila sina uhakika kama utaweza hata kufanya 25% ya Uliyojimwambafai nayo katika Interview yako na Sports Extra ya Clouds FM jana Usiku.
Kitu pekee ambacho Injinia Hersi Said umekisahau ni...
Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona.
Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa...
Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi kutoka nchini Rwanda na niitoshe 'Press Conference' ya Kutangaza rasmi...
Wana Yanga SC sio Wajinga (Mangumbaru ) au Wapumbavu (Mapopoma) wampe Mtu ambaye kaanza Kuujua mpira mwaka 2019 (Injinia Hersi Said) halafu tumuache Mtu mwenye Rekodi iliyotukuka katika Medani ya Kandanda (Soka) nchini Tanzania tena akiwa amefanya makubwa halafu ni Msomi vilevile tena wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.