injinia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mpira ya Dk. Mshindo Msolla inajulikana tokea 1980's Injinia Hersi Said atuambie yake ni ya lini?

    Wana Yanga SC sio Wajinga (Mangumbaru ) au Wapumbavu (Mapopoma) wampe Mtu ambaye kaanza Kuujua mpira mwaka 2019 (Injinia Hersi Said) halafu tumuache Mtu mwenye Rekodi iliyotukuka katika Medani ya Kandanda (Soka) nchini Tanzania tena akiwa amefanya makubwa halafu ni Msomi vilevile tena wa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sikumbuki ni lini Injinia Hersi Said amekuwa mwana Yanga SC Wenzetu. Tumchague Dk. Msola kwa Urais Yanga SC

    Wenye Yanga yetu tunaenda na Msomi Dk. Mshindo Mbwete Msolla na siyo Matapeli wengine halafu ni wana Simba SC kindakindaki. Tutanuniana sana Mwaka huu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi Injinia Hersi na yanga kutikisa dunia

    Jamani mkiambiwa Yanga sc ni mabingwa wa CAf champions league msimu wa 2022/23 msibishe na klabu bingwa ya dunia lazima wafike fainali kama siyo kuwa team ya kwanza Afrika kuchukua kombe hilo. Habari za ndani ndani zinadai Kiungo mtaalamu wa PSG Idriss Gueye anatua jangwani na amekubali...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Senzo + injinia Hersi wapindua meza kwa Luis, Ahly wakubaliana na Yanga

    Injinia Hersi baada ya kudaka saini ya KI aziz Stephanie , Peter shalulile huku ikisemekana wanamtumia Ibenge kuharibu deal la Adebayor ili wamchukue amefanya matusi makubwa sana ...................Tiririka nayo kutoka kwa Fabrizio Romano wa Jamii forums.............................. Unaambiwa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wote wa JF msijifanye hamjamsikia aliyewawekeni Mfukoni mwake Injinia Hersi Said hasa juu ya hili......

    "Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokisikia kwa wenye Yanga SC yao na kinachokuja, nawaomba Haji Manara na Injinia Hersi Said waachane nayo upesi

    Kati ya Kesho Jumatatu mpaka Jumatano au Alhamisi kuna Zengwe la Awali linaenda Kuibuka Klabuni Yanga SC ambalo litawahusu hasa Watu Wawili Msemaji mpya Haji Manara na Injinia Hersi Said. Hata hivyo Zengwe hilo.litazimwa kwa muda ila litaibuka kwa Nguvu mpya Weekend ijayo pale ambapo Yanga SC...
  7. mshale21

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

    Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza. Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo...
Back
Top Bottom