injinia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chibike

    Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  2. Waufukweni

    GE2025 Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi achukua fomu ya kuomba kuwania ubunge Kigamboni

    Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said leo Jumamosi, Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hersi amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kigamboni na amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kigamboni...
  3. GENTAMYCINE

    Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anajipendekeza Serikalini na CCM kwa Ajili ya Ubunge Kigamboni mkanibeza

    Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hersi amekua miongoni mwa watu mashuhuri wanaokubalika katika jamii kutokana na uongozi wake...
  4. SankaraBoukaka

    Wanasiasa ndo wenye msemo wa mwisho,,, Injinia na Arafat wanawaza Ubunge huku watu wanasema hatuchezi

  5. GENTAMYCINE

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said acha huu Upuuzi ambao Utakugharimu kwani Wewe ndiyo unashirikiana na RS Berkane ili Fainali CAFCC isiwe kwa Mkapa

    Halafu ulivyo wa hovyo unajifanya hujui lolote wakati unatumia Nafasi yako CAF ili Kuiumiza Simba SC kwa hili la Uwanja.
  6. mdukuzi

    Injinia Hersi ana asili ya Clan ya Rahanwein kule Somalia, wanapenda vita, hakuna tofauti ya 'HATUCHEZI' na 'No Reform No Election"

    Kule Somalia kuna koo maarufu tano. Ila koo ya Rahanwein ni koo korofi, inapenda vita, ndio anayotoka injinia Hersi Said. Koo zingine ni Hewiye, Darod, Isaaq na Dir Nasikia anautaka na ubunge, tuwe makini. Hakuna tofauti ya Hatuchezi na No reform no erection,wote wanapimana ubavu. Wote ni...
  7. GENTAMYCINE

    Hersi uwanja uliotuahidi kutujengea wakati wa kampeni, umefikia asilimia ngapi?

    Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
  8. A

    Viongozi wa China ni ma injinia au tuseme Wana sayansi

    Kuendelea Kwa china kiviwanda, Kilimo na uzalishaji kuna tokana na kuwa na uongozi wa Wana sayansi. Ambao wanajua maana kamili ya uzalishaji na sio maneno maneno.
  9. Magwangala

    Hii ni dharau ya Injinia Hersi kwa wapenzi wa Yanga

    Badala ya washabiki wa Yanga kuuponda udhamini wa JayRutty kwa kuonesha kuwa anaongea visivyowezekana,wangemtaka Injinia atimize ahadi yake ya kujenga uwanja na kukamilisha ndani ya kipindi cha uongozi wake.Vinginevyo inaonesha kuwa washabiki wa Yanga ni wepesi mno kudanganywa na kusahau.
  10. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  11. GENTAMYCINE

    Kwahiyo ukaribu wa Mshindi Leonardo na Ommy Dimpoz, Injinia Hersi Said pamoja na GSM ndiyo Kigezo Kikuu cha Yeye Kushinda Tuzo leo Masaki?

    Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
  12. M

    Pongezi kwa Eng. Hersi kwa kuchaguliwa mjumbe Kamati ya Mashindano CAF!

    Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri! Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo dogo; umefanya kazi kubwa na kufanikisha mengi. Nafasi hii inakupa nafasi ya moja kwa moja kushiriki...
  13. GENTAMYCINE

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jifunze Ustaarabu na una mengi ya Kujifunza kutoka kwa Viongozi wa Simba SC

    Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
  14. Jidu La Mabambasi

    Injinia Masauni, utekaji umemuondoa Mambo ya Ndani?

    Waziri Masauni yupo yupo tu. Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa. Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu. Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu. Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku. Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo. Wizara mama...
  15. Msanii

    Waziri Masauni na IGP Wambura, mnasubiri nini kujiuzulu?

    Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea. Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania. Kwa kuwa...
  16. LIKUD

    Kumbe Injinia Hersi alisoma Kayumba?

    Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba👇👇 "Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba. Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga wewe ulikuwaga unachagua upande wa Simba, ila sasa hivi umekua Rais wa Yanga. Hebu tuambie hii...
  17. GENTAMYCINE

    Rais Injinia Hersi hizi za chini chini Mimi niliye mbali Kijiografia nilizonazo na Wewe pia unazo au?

    Kuwa kuna Mtu Kesho Citizens Day anaweza akayakoga Matusi makubwa, kutakiwa aondoke na hata Kupopolewa pia.
  18. The Dictator

    Mjue Beaver, Injinia mbobevu katika nyanja ya ecosystem (ikolojia)

    BEAVERS ni jamii ya panya na niya pili kwa ukubwa kati ya jamii za panya wote waishio kwa sasa. Wanapatikana sana Katika ukanda wa kaskazini kama Amerika ya kaskazini na ulaya ya magharibi. Kimaumbile wana urefu wa kuanzia mita 0.3 hadi 0.5 (kuanzia kichwa hadi mkia), na kiupanna sentimita...
  19. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

    Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
  20. LIKUD

    Ngoma ngumu kwa Mamelody, washusha kiingilio. Injinia awashika pabaya

    Mwanzoni Mamelody waliweka kiingilio Rands 20 . Then Injinia wa mpira, Hersi Said akatangaza kiingilio bure kwa kila shabiki wa Yanga atakae ingia uwanjani loftus kuwaspoti Yanga ( umewekwa utaratibu wa kuwalipia mashabiki wote wa Yanga watakao ingia uwanjani leo) Mamelody wametangaza...
Back
Top Bottom