information technology

  1. NecZec

    Kati bachelor of technical education in computer science na bachelor of science in information technology kozi ipi bora

    Naomba msaada wa mawazo kati ya kozi hizo mbili nichague ipi ni nikasome chuo kikuu Bachelor of technical education in computer science au Bachelor of science in information technology?
  2. Tanzanian kid

    Ajira za watu wa information technology (IT)

    Habari za muda huu watu wa JF. Samahani kwa kuwachosha pia poleni na majukumu ya kazi za hapa na pale Nauliza kuhusu nafasi za kazi kwa mtu aliyesoma diploma ya information technology au degree maana nimepitia nyuzi nyingi sana humu sijaona wakiongelewa huenda wengi wamejiajiri tofauti na...
  3. Jamii Opportunities

    Head of Information Technology – Ports and Terminals at DP World April 2025

    Job Function: This role is responsible for planning, design, implementation and maintenance of the Port’s information technology (IT) systems, network connectivity, application and data servers, workstations, communications systems, cyber security protection and backup solutions, user training...
  4. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-02

    JINSI YA KUPATA ELIMU YA MAMBO MBALIMBALI KUPITIA DIGITALI YA TEHAMA Jiku Tech Tips itakufundisha njia za kutokana na wewe. Njia za kutokana na wewe hapa maana yake kama unavyofahamu kila mtu ana uwezo wake wa pekee ambao ikiwa itakuwepo taarifa moja na watu wawili basi matumizi ya taarifa...
  5. jikuTech

    Information Technology (IT-TEHAMA)-01

    UTANGULIZI JIKU TECH TIPS ni Software Developer na mkufunzi wa hatua za awali na kati za kujifunza , kufanya na kuishi Tehama ya awali, kati na juu. TEHAMA kirefu cha maneno Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, huwakilisha teknolojia ya kompyuta na mitandao ya mawasiliano. Ili uendelee na...
  6. M

    Kati ya science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili?

    Hivi Kuna tofauti kati bachelor of science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili
  7. jikuTech

    Information Technology [TEHAMA]ni Taaluma Pana

    Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo anajiskia furaha sana, ningekuwa Mimi ningekuwa na furaha pia. Lakini kuwa nalo jambo hilo au kuwepo...
  8. F

    Kazi za mtu wa IT

    Nisaidieni kazi ambazo mtu aliyesoma IT anazifanya kwa upana zaidi.
  9. julaibibi

    Vijana wenye uwezo wa kutengeneza Control number ni bora wapewe ajira rasmi badala ya kuachwa mtaani

    Tumesikia huko Arusha kuna mfumo wa control number umebainika tofauti na wa kihalali. Sasa hizi akili za ma genius watoto wa IT. Nashauri hawa wapewe ajira ni hatari sana kuwacha mtaani. Bora wawe wanapewa kazi toka vyuoni huko
  10. Hu Jintao

    Computer science na Information Technology

    Habari wadau, poleni na kazi. Hivi mwalimu aliyesoma Mathematics na IT chuo anaweza kufundishia Computer science Kwa ngazi ya A-Level? Nawasilisha mada.
  11. MINING GEOLOGY IT

    MINING GEOLOGY IT: Uwanja wa kipekee ambapo jiolojia inakutana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) katika tasnia ya uchimbaji madini

    UTANGULIZI "MINING GEOLOGY IT" ni uwanja wa kipekee ambapo jiolojia inakutana na teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) katika tasnia ya uchimbaji madini. Hii inajumuisha matumizi ya teknolojia ya habari kusaidia katika michakato yote ya uchimbaji madini, kutoka utafiti wa awali hadi...
  12. Jamii Opportunities

    System Analyst–Information Technology at Jubilee Insurance October, 2023

    Position: System Analyst–Information Technology Job Ref. No: HRJLICT1023 report to the: Administratively: Chief Operating Officer Technically: Senior Manager – Long-term Applications Role Purpose The analyst is responsible for identifying and implementing application solutions to solve...
  13. M

    Msaada: Anayejua kuhusu Kozi ya Instructional Design and Information Technology anijuze

    Anayejua kuhusu Kozi ya Instructional Design and Information Technology anijuze Nauliza juu ya hii kozi, mwenye kujua juu ya hii anihabarishe.
  14. M

    Kati ya information technology na accountancy nichukue ipi?

    Naomba ushauri: Nimechaguliwa Chuo cha CBE kozi ya information technology IT na chuo cha TIA kozi ya accountancy nichague kozi gani yenye soko kubwa la ajira?
  15. partsonamani

    Natafuta kazi, nimemaliza (UDOM) Bachelor degree in instructional design and information technology(IDIT).

    Kazi ambazo naweza kufanya ni: ✅Graphics Design(Logo design, posters design....nk) ✅Motion graphics ✅Video editing ✅Photography ✅2D animation ✅Design learning content for adults ✅Online courses development ✅Mobile maintenance ✅Computer maintenance ✅Maintain daily website activities Email...
  16. J

    Information technology Secretary Anahitajika

    Msaidizi wa kazi za IT Anahitajika. Vigezo Awe anajua kusoma na kuandika vizuri kiingereza Awe na simu ya smart phone Awe na uelewa kiasi jinsi ya kutumia computer Awe anajua kutype kwenye computer Ofisi ipo Makumbusho Dar es salaam Kwa alikwepo tayari atume message inbox ikiwa na maelezo...
  17. Jamii Opportunities

    Information Technology Officer at WFT-Trus May, 2023

    Post Title: Information Technology Officer Interesting Career Opportunities at WFT-Trust WFT-Trust is the first and only women’s rights fund in Tanzania that has been in existence since 2008 and has been at the forefront championing gender equality, equity and women and girls’ rights through a...
  18. Next Elon Musk

    Natafuta field ya IT diploma

    Greetings guys of JF nimepost Uzi huu natafuta field ya IT katioa level ya diploma nimetafuta field jimekosa nimeona nije umu kwa ajili ya msaada wenu mkoa was Dar au Dodoma Niko tayari kwenda.
  19. K

    Bachelor of science in business information technology UDSM-COICT.

    Kuna katoto ka dada yangu kamechaguliwa hiyo kozi udsm.ila naona kama ni kozi mpya hivi. Kwa wanaoifahamu hii kozi,wanipe abc zake please.
  20. Jamii Opportunities

    Information Technology Intern at WiA Company Limited

    Information Technology Intern Internship Dar es Salaam WiA Company Limited WIA is a System Integrator, leader specialized in providing Enterprise and government with innovative, reliable and cost effective ICT solutions. Job Description: We are looking for a competent Junior IT engineer...
Back
Top Bottom